juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Itunze tuHii naitunza hii
Itunze tuHii naitunza hii
Christeansen nahisi uongozi uliopita ulizingua uliposhindwa kumuongezea mkatabChelsea sio sehemu nzuri kwa wachezaji wa academy kuja kuchezea timu ya wakubwa ya Chelsea
Mkuu unataka wazeekee kwenye club? Tami, Loftus, Ake, Andre, Mount, Gallagher, Tomori wamecheza vya kutosha Chelsea...popote pale hakuna club inakaa na Academy wake wote.Chelsea sio sehemu nzuri kwa wachezaji wa academy kuja kuchezea timu ya wakubwa ya Chelsea
Hilo litasaidiaje katika uchumi wa Tanzania?
Mkuu unataka wazeekee kwenye club? Tami, Loftus, Ake, Andre, Mount, Gallagher, Tomori wamecheza vya kutosha Chelsea...popote pale hakuna club inakaa na Academy wake wote.
Ngoja tuone this season itakuaje manake kwenye pre season tumeongea magoli mnoNaona wenzenu wapo bize kufanya usajili hafu kuna nyie sasa mpo bize kununua mazagazaga.
We acha tu mkuu. Timu yangu sasa imebaki ya kununua wachezaji kwa mafungu yani zoa zoaNaona wenzenu wapo bize kufanya usajili hafu kuna nyie sasa mpo bize kununua mazagazaga.
Na Chelsea ni moja ya club zenye academy bora zaidi duniani za kuzalisha vipaji , tunazalisha talents sana , tunapofail ni kwenye retention ya hizo talents na kuziingiza kutumika katika first teamChelsea sio sehemu nzuri kwa wachezaji wa academy kuja kuchezea timu ya wakubwa ya Chelsea
Mamamaee hii squad ikiclick kwenye mfumo , kila fala atakayepita mbele zetu atajuta kukutana na sisi ,Acheni kututisha nyinyi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Naona kama mda mwingine rules ndio zinafanya hali hii iwe hivyo.Na Chelsea ni moja ya club zenye academy bora zaidi duniani za kuzalisha vipaji , tunazalisha talents sana , tunapofail ni kwenye retention ya hizo talents na kuziingiza kutumika katika first team
Kama alivyokua Drogba.Naona chalkenge mmemchukua shabiki wa arsenal
Timu gani ni nzuri kwa academy, au umeishiwa point l;eo mkuuChelsea sio sehemu nzuri kwa wachezaji wa academy kuja kuchezea timu ya wakubwa ya Chelsea
Wachezaji wanakuja kukomaa nje ya Chelsea, mfano Mo Salah baada ya kushindwa Chelsea yeye alijitahidi kuprove Chelsea wrong nje ya Chelsea. Hata KDB ni hivyo hivyo. Sasa kwa timu yenye ushindani mkubwa kama Chelsea haiwezi msubiri mchezaji hadi akomae. Je tunajua atakomaa lini? muda huo wa kumsubiri akomae si tutakuwa tumeshuka daraja kama tukidevote kuwategemeawao?Christeansen nahisi uongozi uliopita ulizingua uliposhindwa kumuongezea mkatab
Olise na Rice hao walikatwa since academy kwenye u15
Solanke alishindwa hata liverpool, some player naona kama Team mkubwa ningumu kufanikiwa
Solanke ni Kama Abraham tu,
Kuuza wachezaji ni sehemu ya kuifanya timu ifanikiwe. Kuna watoto wengine ukiwasubiri wakomae unakwenda na majiNa Chelsea ni moja ya club zenye academy bora zaidi duniani za kuzalisha vipaji , tunazalisha talents sana , tunapofail ni kwenye retention ya hizo talents na kuziingiza kutumika katika first team
Mimi nikadhani ile operation ilisaidia kumbe bado tuko square zeroReece James has suffered minor hamstring injury this week, as
@SJohnsonSport
has reported.Not serious injury but Chelsea staff will be careful to have Reece in best conditions possible when back.
Naomba kuwasilisha.
Reece James has suffered minor hamstring injury this week, as
@SJohnsonSport
has reported.Not serious injury but Chelsea staff will be careful to have Reece in best conditions possible when back.
Naomba kuwasilisha.
Yaani hata msimu haujaanza kasha enda kitandani , huyu ni wa kuuzwa .Reece James has suffered minor hamstring injury this week, as
@SJohnsonSport
has reported.Not serious injury but Chelsea staff will be careful to have Reece in best conditions possible when back.
Naomba kuwasilisha.
Bahati nzuri alifungiwa mechi nneIsije ikajirudia trend ya msimu uliopita ,unakuta nusu ya kikosi majeruhi
Alifungiwa mechi nne so kwa hizo mechi atakuwa yupo fitiReece James has suffered minor hamstring injury this week, as
@SJohnsonSport
has reported.Not serious injury but Chelsea staff will be careful to have Reece in best conditions possible when back.
Naomba kuwasilisha.