Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pedro Neto to Chelsea, here we go! Wolves accept bid worth €60m fixed fee plus €3m add-ons as almost matches initial price tag.Neto’s agent Mendes has agreed on personal terms with Chelsea.Medical tests booked for Pedro at #CFC with Wolves keen on Ajax’s Carlos Forbes.
@FabrizioRomano
 
Imenishutusha sana sikutegemea kwa kweli tukisajili na osimen tumemaliza kazi kwasababu sioni Chelsea ikisajili beki
 
Naona usajili huu ni kama last chance msim huu kwa Mudryk or Sterling naona mmoja wao akiondoka next summer.
Kama Mudryk akifanya vizuri au kuonyesha kuboresha mpira wake atakayeuswa asipofanya vizuri sana niu Sterling na namuona msimu huu Sterling akitumiaka zaidi kulia
Namuona pia Guiu akipelekwa mkopo kama Osimhen akisajiliwa
 
Guiu kocha ameshawaambia uongozi anataka abaki
 
Mambo yanaweza badilika maana Kama unampata Osihmen unategemea unakuwa 4 striker(Osihmen,Jackson,Samu,Guiu), Hapo mmoja lazima aondoke Tofauti na hivyo sio tukimsajili Osihmen
 
Guiu kocha ameshawaambia uongozi anataka abaki
Hakurule out mkopo pia na amsheongea na mchezaji. Usajili wa Osimhen na uwepo wa Jakcson unaweza ukashawishi apelekwe kwenye mkopo ila ni 50/50
 
Najaribu kuwaza tu!

---------------Osimhen----------------------

Neto-------------Nkunku ---------------Palmer

----------Lavia ------------Caicedo----------

Cucurella ------Tosin------Disasi------James

----------------Filip--------------------
1723224605443.png
 
Uchezaji wake ni kama wa Gallagher na tofauti na Gallagher yeye ana maono kwenye kushambulia hadi akawa anaitwa Game Changer kule Wolves
Tukiweza kumuweka fit aweze kuchezaa 75% ya mechi zake msimu mzima tumempata game change atakayeiwezesha Chelsea kuingia top 4

Ufungaji wake usikutishe sana, kwa sababu wengine wasiojua soka wataenda google halafu watarudi hapa kusema angalia misimu mitanu kafunga goli 11 tu. Sifa yake kubwa ni kuinfluence game na ushindi, hata magoli yake machache anayofunga ni kama ya Rodri, yaani wakati timu ionahitaji mtu wa kubadili matokeo yeye ndie anajitokeza

Historia kamili ya majeruhi ya Pedro Neto
1723230645776.png
 
View attachment 3065657
Aisee 😂
 
Hope usajili wa Neto ni mapendekezo ya Kocha kuboresha eneo la Wingas.

Sajili lundo la wachezaji toa mkopo Kiholela na sugua bechi Lundo la wachezaji ni indicator ya vuruga vuruga project
Sterling na Mudryk wanazingua Sana.
Sterling na experience yote hiyo ila anacheza kama mtoto wa kindergarten ,
 
wapinzani washasnza kuogopa😂😂😂😂😂
 
Attachments

  • 20240809_233737.jpg
    20240809_233737.jpg
    84.3 KB · Views: 11
Najaribu kuwaza tu!

---------------Osimhen----------------------

Neto-------------Nkunku ---------------Palmer

----------Lavia ------------Caicedo----------

Cucurella ------Tosin------Disasi------James

----------------Filip--------------------
View attachment 3065584
Acheni kututisha nyinyi
 
Chelsea sio sehemu nzuri kwa wachezaji wa academy kuja kuchezea timu ya wakubwa ya Chelsea
 
Attachments

  • Screenshot_20240806_191754_Instagram.jpg
    Screenshot_20240806_191754_Instagram.jpg
    217.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240806_191736_Instagram.jpg
    Screenshot_20240806_191736_Instagram.jpg
    235.1 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240806_191724_Instagram.jpg
    Screenshot_20240806_191724_Instagram.jpg
    213.3 KB · Views: 7

Similar Discussions

Back
Top Bottom