Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii timu imetoka kwa mmiliki shabiki wa mpira kwenda kwa wafanya biashara ya mpira
Sometime nahis hata wamiliki sidhan kama watakiwa wanashida ila watu wanaongoza ndio wenye shida hasa hasa hawa Wakurugenzi wa michezo.

Yani wanasahau kuwa each year kuna vipaj vinavumbuliayani kwa hali hii tutafikisha 50 player😂😂
 
Mwaka 1 nyuma nilishauliza hapa nini hatma ya kusajili kindergarten wengi ili hali tunayo academy yetu pia inazalisha vijana?. Mkanijibu kwamba huwezi kuacha kusajili kindergarten huko nje wenye uwezo mkubwa kuliko tunaozalisha.

Nikauliza inakuwaje wanasajiliwa kindergarten wengi lakini hawapati muda wa kutosha wa kucheza? Mkajibu wanatolewa mikopo club mbalimbali wanaendelea kukua. Lakini sasa hivi tunashuhudia wakiuzwa ovyo ovyo.

Kiufupi Wakurugenzi hawawezi kufanya mamuzi ambayo ni kinyume na matakwa au maelekezo ya wamiliki/Waajiri wao

Hii sajili ya makindergarten wengi ndio unaakisi maono ya wamiliki kwamba kwao biashara sasa na zaidi baadae.

Kocha unapewa kikosi chenye wachezaji 43 ambao wengi ni kindergarten na bado uongozi wanaendelea kukuletea mbarara zaidi, hapo ni changamoto kubwa sana kwenye kuorganise team kwa haraka na kupata matokeo chanya.

Mbarara tulizosajili ni nyingi zinatosha sasa ni kufocus kwenye kuzikuza kiuwezo zaidi na uzoefu.
 
Kocha unapewa kikosi chenye wachezaji 43 wengi ni kindergarten na bado uongozi wanaendelea kukuletea mbarara zaidi, hapo ni changamoto kubwa sana kuorganise team kwa hataka na kupata matokeo chanya.

Mbarara tulizosajili ni nyingi zinatosha sasa ni kufocus kwenye kuzikuza kiuwezo na uzoefu.
Nico Williams walisema bei yake ya pound 60M ni kubwa alafu ukijumlisha bei walizonunua makinda wote ni zaidi ya paund 60M+
 
Mwaka 1 nyuma nilishauliza hapa nini hatma ya kusajili kindergarten wengi ili hali tunayo academy yetu pia inazalisha vijana?. Mkanijibu kwamba huwezi kuacha kusajili kindergarten huko nje wenye uwezo mkubwa kuliko tunaozalisha.

Nikauliza inakuwaje wanasajiliwa kindergarten wengi lakini hawapati muda wa kutosha wa kucheza? Mkajibu wanatolewa mikopo club mbalimbali wanaendelea kukua. Lakini sasa hivi tunashuhudia wakiuzwa ovyo ovyo.

Kiufupi Wakurugenzi hawawezi kufanya mamuzi ambayo ni kinyume na matakwa au maelekezo ya wamiliki/Waajiri wao

Hii sajili ya makindergarten wengi ndio unaakisi maono ya wamiliki kwamba kwao biashara sasa na zaidi baadae.

Kocha unapewa kikosi chenye wachezaji 43 ambao wengi ni kindergarten na bado uongozi wanaendelea kukuletea mbarara zaidi, hapo ni changamoto kubwa sana kwenye kuorganise team kwa haraka na kupata matokeo chanya.

Mbarara tulizosajili ni nyingi zinatosha sasa ni kufocus kwenye kuzikuza kiuwezo zaidi na uzoefu.
MONEY LAUNDERING FOOTBALL CLUB
 
Nico Williams walisema bei yake ya pound 60M ni kubwa alafu ukijumlisha bei walizonunua makinda wote ni zaidi ya paund 60M+
Issue ya Nico William, sio ada ya usajili, issue yake kubwa ni wages , maana mpaka sasa nico willian anapokea 200K kwa wiki pale Bilbao.

Sasa Chelsea sqhiv wapo strictly kwenye Wages, hawataki kutoa kiasi hicho au zaidi zaidi ya wachezaj waliopo wanataka mtu atakaeanzia kwenye wages ya kwaida hata ya 100-150K. Halaf performace yako ndio itakufanya uongozewe kama Palmer tu
 
Labda wameona hii biashara ya kununua makinda na kuwatoa kwa mkopo then kuwauza inawalipa .
Doesn't make sense Una Lundo la wachezaji na huwapi chance , mfano ni yule Daivid Washington , Santos nk
Wale madogo wana talent ,mi naona kuwapeleka kwa mkopo huko na kuwashughulisha benchi kila siku ni kama kuharibu prospects zao .
Wale madogo wangekuwa Liverpool , Arsenyetoz nk wangekuwa fire .
Una galasa kama Broja ambaye kaprove kuwa ni failure , why wasimuuze Broja na nafasi hiyo Daivid Washington apate chance ya kucheza hata mechi za FA au carabao ili apate confidence , kudevelop na kuprove ubora wake ?
Tuna timua ya hovyo sana kuwahi kutokea
 
Kama Lengo ni kuwa na Club zaidi ya moja basi hizi sajili zingefaa zisubiri mpaka hapo Multi Club model ikamilike.

City Footbal Group ambao niwamiliki wa Man City wanamiliki zaidi ya Club 5, Girona,Troyes,Palermo,New York City,Melbourne, Montevideo, Lommel so unakuta sajili zao kwa wachezaj wenye potential zinafanyika kupitia hizo Club na si City direct, Then hizo club unaweza kuta wanamtoa kwa mkopp kwa club zao au nyingine ili adevelop kama Savio

Savio ni mchezaji wa Troyes ila akapelekwa kwa mkop Girona baada ya kufanya vizuri City wamemsajil kutoka Troyes

Sasa sisi sajili zote tunazifanya tunazifanya kama Chelsea huku tukiwa na club moja tu (Strasbough) hii inakuwa ngumu sana

Sajili zote za hawa madogo wanaojitafuta zingefanyika kwa club zingine pindi pale watakapofanya vizuri tunakuwa na uwezo wa kuwachukua taratibu. Sisi mfumo wetu bado haujakamilika ila tunafanya vitu kama mfumo uliokamilika
 
Ndio maana huwa nasema uongozi wa club ni tatizo.
 
Issue ya Nico William, sio ada ya usajili, issue yake kubwa ni wages , maana mpaka sasa nico willian anapokea 200K kwa wiki pale Bilbao.

Sasa Chelsea sqhiv wapo strictly kwenye Wages, hawataki kutoa kiasi hicho au zaidi zaidi ya wachezaj waliopo wanataka mtu atakaeanzia kwenye wages ya kwaida hata ya 100-150K. Halaf performace yako ndio itakufanya uongozewe kama Palmer tu
Wage kubwa ni moja ya sababu

Sababu ya kwanza ni Ada ya Euro 58M inatakiwa kulipwa kwa mara moja na Atletic Bilbao hawako tayari kupokea nusu
Sababu ya Tatu ni ya mshahara mkubwa ambao Nico anataka. Anataka kulipwa pauni 250,000 kwa wiki pamoaj na ad-ons za kucheza uwanajani, itakaribia kwenye pauni 300K/wiki

Sababu ya pili ni Comisión kubwa wanayodai agent wake

Sababu tatu ya Williams ni kufanya maamuzi ya kuja London, anapendelea zaidi kubaki Spain na kama akihama Atletic Bilbao basi target yake ni Barcelona. Barcelona wakishindwa kumchukua yuko radhi abaki Bilbao ambao wako radhi kumboreshea mkataba wake.

Barcelona hawawezi kumsajili kwa sababu tayari wana deficit ya Euro 130m kwenye vitabu vyao vya pesa na kumpata Nico ni lazima kwanza wamuuze mchezaji mwenye kuleta pesa nyingi.
 
Sometime nahis hata wamiliki sidhan kama watakiwa wanashida ila watu wanaongoza ndio wenye shida hasa hasa hawa Wakurugenzi wa michezo.

Yani wanasahau kuwa each year kuna vipaj vinavumbuliayani kwa hali hii tutafikisha 50 player😂😂
Hii ya kuwanunua wachezaji wengi ni ya wamiliki
Wanawanuanua ili wawauze
'Shida nionayo mimi watauzaje kwa bei nzuri wachezaji ambao wengi wao hawatacheza first team wala hawatapata nafasi ya kwenda kwenye mkopo?

Ili mchezaji auzike kwa bei kubwa na ya faida ni lazima apate dakika za kutosha kwenye first team yake au ile ya mkopo
 
Nico Williams walisema bei yake ya pound 60M ni kubwa alafu ukijumlisha bei walizonunua makinda wote ni zaidi ya paund 60M+
Release clause yake ni Euro 58m sawa na Pauni kama 48M hiviau Dola 60M na inatakiwa kulipwa yote
 
Wage kubwa ni moja ya sababu

Sababu ya kwanza ni Ada ya Euro 58M inatakiwa kulipwa kwa mara moja na Atletic Bilbao hawako tayari kupokea nusu
Sababu ya Tatu ni ya mshahara mkubwa ambao Nico anataka. Anataka kulipwa pauni 250,000 kwa wiki pamoaj na ad-ons za kucheza uwanajani, itakaribia kwenye pauni 300K/wiki

Sababu ya pili ni Comisión kubwa wanayodai agent wake

Sababu tatu ya Williams ni kufanya maamuzi ya kuja London, anapendelea zaidi kubaki Spain na kama akihama Atletic Bilbao basi target yake ni Barcelona. Barcelona wakishindwa kumchukua yuko radhi abaki Bilbao ambao wako radhi kumboreshea mkataba wake.

Barcelona hawawezi kumsajili kwa sababu tayari wana deficit ya Euro 130m kwenye vitabu vyao vya pesa na kumpata Nico ni lazima kwanza wamuuze mchezaji mwenye kuleta pesa nyingi.
Mkuu inapokuka swala la pesa ya usajili Chelsea hatuna shida, Tushavuka viunzi kama hivyo kwa sajili ya Enzo ambayo ilikuwa ni mara 2 ya hiyo.

Sababu kubwa ni Wage kubwa, Nico anapokea 200K na Chelsea kwa sasa wakostrictly kwenye hiyo wage,
Ndio maana tumekuwa tukimonitor situation ya nico tu

Kingine ni hiyo Sababu ya Nico kuendelea kuipenda Bilbao . Ndio maana hata kwa Barce imekuwa ngumu
 
Pedro Neto ni mchezaji mzuri changamoto yake ni Majeruhi tu

Kama usajili wake ukikamilika naona kabisa Mudryk o Sterling msim huu lazima waprove kama wanastahili kubakia naweza kuona hapo mmoja wao akiondoka msim wa 2025-2026 👀
 
Mkuu inapokuka swala la pesa ya usajili Chelsea hatuna shida, Tushavuka viunzi kama hivyo kwa sajili ya Enzo ambayo ilikuwa ni mara 2 ya hiyo.

Sababu kubwa ni Wage kubwa, Nico anapokea 200K na Chelsea kwa sasa wakostrictly kwenye hiyo wage,
Ndio maana tumekuwa tukimonitor situation ya nico tu

Kingine ni hiyo Sababu ya Nico kuendelea kuipenda Bilbao . Ndio maana hata kwa Barce imekuwa ngumu
Barca sio upendo kwa Bilbao, Barca hawawezi kulipa hiyo RC na Commission fee + wage kubwa hadi wamuondoe mchezaji kama Frenkie De Jong tena wamuuze kwa bei kubwa na aongoe mzigo wa mshahara ndipo waweze kumuaccomodate Nico
 
Rasmi: Kutoka kwa David Ornstein

Chelsea wamefikia makubaliano ya kumsajili Pedro Neto kwa ada ya £51•4M + 2•5M add ons
Mchakato huu umefanywa kwa siri kubwa sana.
Chelsea na Spurs wote walikataliwa ofa za mchezaji pamoja na pesa kwa Pedro Neto. Chelsea ilikataliwa ofa nyingine ya pesa taslimu na Wolves kabla ya ombi la mwisho kukubaliwa. Spurs walimpa Oliver Skipp kama sehemu ya ofa yao kwa Neto.
SIRI KUBWA, waandishi wanakuja kugundua Neto amepangiwa vipimo vya afya yake London leo
 
Inasadikiwa kuwa Chelsea bado wanaendelea na mazunguzmo ya siri ya kumsajili striker wa Napoli Victor Osimhen kama walivyofanya kwa Pedro Neto wa Wolves

Hili dili likikamilika sasa mashabiki tutakuwa tunawadai hawa wamiliki CB mmoja au wawili wenye uzoefu na hii ligi ya EPL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom