Busara nzuri ni kumpoa mchezaji nafasi nkama Brojan tumemvumilia wee, wengine wakasema ni majeruhi yamemharibu wapi. sijawahi kumuona mchezaji so lazy kama Broja
Huu uongozi wameamua kubadili gia kabisa, hawataki tena risk kwa wachezaji wenye majina makubwa na bei kubwa.
Yale matakataka yaliyouzwa ukichanganmya na Lukaku ni mfaqno halisi ambao mimi unanipa kusita kuwalaumu wamiliki na SD
Ukimnunuia Osimhen kwa milioni 100 na kumlipa mshahara mkubwa halafu akaflop, huna pa kumpeleka, inabidi tu ubebe mziggo wako hadi mkataba wake uishe
Angalia Sterling katika umri wa miaka 29 na mshahara wa laki 325/wiki anancheza 1v1 kama mtoto wa miaka 16, hata Paez hawezi cheza kama yeye. Kumuuza ni ngumu kwa sababu ya mshahara
Kumnunua Samu na urefu wake ule na mwili wake ule na agrersiveness yake ile ikitiki ni faida kubwa sana kwa timu na hata isipotiki sio mzigo kumuuza kwa sababu anauzika