juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Gusto yuko vizuri, ni tofauti na James bado badoVipi kuhusu James na Agusto performance zao zilikuaje? au walichezeshwa kwa namna ipi na kocha?
Gusto yuko vizuri, ni tofauti na James bado badoVipi kuhusu James na Agusto performance zao zilikuaje? au walichezeshwa kwa namna ipi na kocha?
Hata James alicheza vizuri, tofauti ni kwamba, James anakuwa mzuri zaidi kwenye FB kuliko kwenye kiungo,Gusto yuko vizuri, ni tofauti na James bado bado
Ungesema hivi tusiposhuka namba 6 basi, Chelsea siyo timu ya kuwaza kushuka darajaTusipo shuka daraja ni bahati sana
Chelsea sio team yakushuka daraja hata kama tuna dhaifu kwenye defenceTusipo shuka daraja ni bahati sana
Mancity mbali hii defensive pattern hata Brentford anajipigia si chini ya goli 4. Watu wanarusha lawama kwa individual player wanasahau ni ujinga wa kocha pia kulazimisha timu ikabie katikati ya uwanja ili hali haina wachezaji na uzoefu wa kufanya hivyo.Hao weupe ni chelsea na wekundu ni opponent team. Angalia hiyo space kati ya mabeki angalia idadi ya wachezaji wa timu pinzani katika zone ya Chelsea. Utaona huruma sana. Hapo ishu siyo wachezaji bali mpangalio wa wachezaji ambao kocha ameuchagua.
Nawambia haya ili mjiandae kisaikolojia tutakapo kutana na Man City ikiwa na Rodri, KFB, Halaand, Forden na Doku
View attachment 3063954
Wewe umeongea kama mtu anayeutazama mpira siyo wale wazee wakutafisiri tweets na posts za huko X. Yaan Psy au Conn akisema jambo huwaambii kituMancity mbali hii defensive pattern hata Brentford anajipigia si chini ya goli 4. Watu wanarusha lawama kwa individual player wanasahau ni ujinga wa kocha pia kulazimisha timu ikabie katikati ya uwanja ili hali haina wachezaji na uzoefu wa kufanya hivyo.
Pili na wasiwasi na approach ya kocha ni kama ana arrogance ya kutokuheshimu mpinzani wake huwezi wakabili timu kama City na Madrid kwa kuacha space kubwa then utegemee matokeo eti unakomaa uwe na possession kubwa .Real Madrid anapocheza na city ni tofauti na anavyocheza na Bayern,Chelsea etc mpinzani wako anapokuwa proven superior kwenye tactics fulani kocha mwenye akili plan A ni kuzuia kwanza strength ya adui yako then unatafuta weakness yake sasa makocha wenye flat approach ya game kwa kizazi hiki nawachukulia kama makocha wa timu ndogo.
Kingine ambacho kocha anamtihani ni kusimamia nidhamu za wachezaji mfano jana Madueke na Sterling walikuwa wanacheza kama bonanza la veteran na sikuona reaction yoyote ya kocha
Kitu positive angalau kutoka msimu uliopita ni kujaribu kwenda mbele kwa kasi pindi tunapowin mpira otherwise na predict kuna mechi tutafungwa goli 6 kama kocha asipokuwa flexible na falsafa zake
Mkuu sometime tuache chuki, angalia game zote, na hiyo hali ukiambiwa sisi ndio tuliokiwa na mpira tunaanza.Hao weupe ni chelsea na wekundu ni opponent team. Angalia hiyo space kati ya mabeki angalia idadi ya wachezaji wa timu pinzani katika zone ya Chelsea. Utaona huruma sana. Hapo ishu siyo wachezaji bali mpangalio wa wachezaji ambao kocha ameuchagua.
Nawambia haya ili mjiandae kisaikolojia tutakapo kutana na Man City ikiwa na Rodri, KFB, Halaand, Forden na Doku
View attachment 3063954
Hii ni Pre season huwez kwenye Pre season ukaamza kupark bus au ukaanza kucheza kwa tahadhari au ukabe kwa nguvu kisa.Mancity mbali hii defensive pattern hata Brentford anajipigia si chini ya goli 4. Watu wanarusha lawama kwa individual player wanasahau ni ujinga wa kocha pia kulazimisha timu ikabie katikati ya uwanja ili hali haina wachezaji na uzoefu wa kufanya hivyo.
Pili na wasiwasi na approach ya kocha ni kama ana arrogance ya kutokuheshimu mpinzani wake huwezi wakabili timu kama City na Madrid kwa kuacha space kubwa then utegemee matokeo eti unakomaa uwe na possession kubwa .Real Madrid anapocheza na city ni tofauti na anavyocheza na Bayern,Chelsea etc mpinzani wako anapokuwa proven superior kwenye tactics fulani kocha mwenye akili plan A ni kuzuia kwanza strength ya adui yako then unatafuta weakness yake sasa makocha wenye flat approach ya game kwa kizazi hiki nawachukulia kama makocha wa timu ndogo.
Kingine ambacho kocha anamtihani ni kusimamia nidhamu za wachezaji mfano jana Madueke na Sterling walikuwa wanacheza kama bonanza la veteran na sikuona reaction yoyote ya kocha
Kitu positive angalau kutoka msimu uliopita ni kujaribu kwenda mbele kwa kasi pindi tunapowin mpira otherwise na predict kuna mechi tutafungwa goli 6 kama kocha asipokuwa flexible na falsafa zake
Umeongea vizuri sanaHii ni Pre season huwez kwenye Pre season ukaamza kupark bus au ukaanza kucheza kwa tahadhari au ukabe kwa nguvu kisa.
Unatumia nafasi hiyo kujiimarisha na kubaini makosa yako,.
Hakuna mtu anayeyetea ila naona watu wengi ni kama tunamdharau Maresca vile.
Ndio maana Wengi humu hatutaki kutoa maamuzi kwa sababu ya pre season league ikishaanza sindio tutajua.
Makosa yale yale bado yanajirudia au vipi?
Pre season ya mwaka jana Poch alitupa matumaini ila kwenye league kila mtu aliongea.
Kuimplement idea zako ni overnight process na si kitu cha siku moja tutegemee error za hapa na pale sometime wachezaji kujisahahau. Ila wataelewa .
Kila shabiki humu huwa anakocha wake wengi now wanataka makocha wakubwa so anapokuja kocha ambae hakutegemewa na makosa kama hayo yanaonekana tunachukulia nafasi hiyo kumwrite off,
Wengi wetu tunasahau nini maana ya Pre Season, mnataka Kocha hadi kwenye Pre season acheze kwa tahadhari hicho kotu huwa akipo
Hakuna mtu anayetafsiri Tweet. Watu hawatafsiri tweet ni vile katika kuangalia mpira tunatofautiana kuna watu wapo wanafocus kwenye kuangalia Negative tu ila wapo tunaoangalia both Positive na NegativeWewe umeongea kama mtu anayeutazama mpira siyo wale wazee wakutafisiri tweets na posts za huko X. Yaan Psy au Conn akisema jambo huwaambii kitu
Busara nzuri ni kumpa mchezaji nafasi kama Broja tumemvumilia wee, wengine wakasema ni majeruhi yamemharibu wapi. sijawahi kumuona mchezaji so lazy kama Broja.Hakuna mtu anayetafsiri Tweet. Watu hawatafsiri tweet ni vile katika kuangalia mpira tunatofautiana kuna watu wapo wanafocus kwenye kuangalia Negative tu ila wapo tunaoangalia both Positive na Negative
Tunatofautiana kwenye kuangalia, Ndio maana sisi wengine kuangalia mpira banda umiza hatuwez kwa sabab tunataka mpka tuangalie match build up, au vile vipindk vya baada matchday live kuisha ili tuskilize kwa watu wanaojua .
Na ndio maana mimi humu utakuta hata mchezaji ambae simjui au namjua siwez kumslander bila kuumpa nafasi.
Hao wakina pys,con,dailycfc, etcmara ngapi wanawaslander wachezaji ambao wengi unakuta hawajui. Kisa tu wanataka big name signing,
Kwanza Fanbase ya chelsea twitter ni worse fanbase. fanbase ya ajabu kuliko fanbass ya team zingine imejaa toxic sana.
Kila mtu anaplayer wake player tofauti akija tu maneno hakuna support
Ni kama sasa hiv wengi wanavyomwrite off Samu, Wanashindaa kuumpa support
Kuna sehemu niliandika huko nyuma hata kuwa kapteni kabisa anafaa kwa sababu anakuwa active uwanjani, ni mfano wa kuigwa kwenye uchezaji, mentality yake ni positive, ana mapenzi ya kweli na timu. Ana hekima. Angalia hata suala la ubaguzi alivyolishughulikia hadi ikafa kifo cha mende. Natamani angekuwa Kampeni kwa sababu sioni James akiwa na impact yeyote yeye tangu awe kapteni.Enzo Fernandez anategemewa kutangazwa kuwa Vice Captain.
Source:The Times-Gary Jacob
Utashangaa hata huyu Colwill ambaye anacheza hovyo ligi ikianza atakuwa sio yeye wa preseaosnHii ni Pre season huwez kwenye Pre season ukaamza kupark bus au ukaanza kucheza kwa tahadhari au ukabe kwa nguvu kisa.
Unatumia nafasi hiyo kujiimarisha na kubaini makosa yako,.
Hakuna mtu anayeyetea ila naona watu wengi ni kama tunamdharau Maresca vile.
Ndio maana Wengi humu hatutaki kutoa maamuzi kwa sababu ya pre season league ikishaanza sindio tutajua.
Makosa yale yale bado yanajirudia au vipi?
Pre season ya mwaka jana Poch alitupa matumaini ila kwenye league kila mtu aliongea.
Kuimplement idea zako ni overnight process na si kitu cha siku moja tutegemee error za hapa na pale sometime wachezaji kujisahahau. Ila wataelewa .
Kila shabiki humu huwa anakocha wake wengi now wanataka makocha wakubwa so anapokuja kocha ambae hakutegemewa na makosa kama hayo yanaonekana tunachukulia nafasi hiyo kumwrite off,
Wengi wetu tunasahau nini maana ya Pre Season, mnataka Kocha hadi kwenye Pre season acheze kwa tahadhari hicho kotu huwa akipo
Ebu akina Badiashile, Colwill, Tosin, Fofana na Disasi waangalie goli linavyolindwa na waache kututosa kila mechi hapa
View attachment 3063875
Nadhan msimu huu ndio ukawa wa mwisho kwa baadhi ya wachezaji kama wakishindwa kuperform.Utashangaa hata huyu Colwill ambaye anacheza hovyo ligi ikianza atakuwa sio yeye wa preseaosn
Mimi ninaw wasiwasi na Badiashile tu, naona kama huyu dogo amepotea kabisa hajui afanye nini kama beki, mzito, hasomi mchezo, habashiri ahatari inatokea wapi. Chalobah kinachomsaidia mechi zake baada ya kurudi majeruhi amekuwa mzuri kwenye kusoma na kubashiri danger inapita wapi kwenye backline. Hii tabia ndio iliyompa ujiko Silva