Kwa muda uliojiunga JF then hujui tofauti ya £ na € unatakiwa ujitafakari sana uwezo wako wa kuchanganua na kufikiri mamboView attachment 3063292
Source hiyo hapo sky sport, tena hapo ni plus add ons
kapitiwa, pound 88.5m ni sawa na euro 100m kwa wakati huoKwa muda uliojiunga JF then hujui tofauti ya £ na € unatakiwa ujitafakari sana uwezo wako wa kuchanganua na kufikiri mambo
Wapi umeongelea EuroKwa muda uliojiunga JF then hujui tofauti ya £ na € unatakiwa ujitafakari sana uwezo wako wa kuchanganua na kufikiri mambo
Tunatengeneza nafas nyingi za kufunga ila umaliziaji bado.FT
Madrid 2 - 1 The Blues
Chelsea siwaelewi kwa kweli why wanataka kumsajili yule samu mwenye goal 8 season nzimaMaresca: “We are trying to drop the defensive line a little bit, usually about four or five metres, just to have some advantage. Last year, we already conceded many goals with this problem. Hopefully we can solve it very soon.
Nadhan kuna vitu wanaviona labda sisi hatuvioni,Chelsea siwaelewi kwa kweli why wanataka kumsajili yule samu mwenye goal 8 season nzima
Kizuri umejibu mwenyewe kwenye aya ya mwisho ndio maana mimi siielewi hii management inakuwaga inafikiri niniNadhan kuna vitu wanaviona labda sisi hatuvioni,
Baadhi page nilizopitia wanasema anapotential ya kuwa number 9 mzuri sana kwa sifa alizonazo powerful,aerial threat,movement zake, na finishing
Changamoto iliyopo ni he is still raw. So tutegemee makosa
Kufunga goal 8 naona sio sababu ya kumfanya mtu asisajiliwe huwa kuna factor nyingi za mtu mpaka anafunga hzio goal, Alaves msim mzima wamefunga goal 35 kama sijakosea
Kitu nachoweza kusema ni bado tutahija kumpa mda, hapo ndipo tunapokesea maana Jackson,Guiu wote hawa bado wanahitaj kuendelea kupewa mda
Tungempata mtu kama Osihmen, nadhan ingekuwa rahisi kwa Jackson na Guiu kuendelea kukua vizuri maana pressre wasingekuwa nayo.
Nadhani tusilalamike sana tusubiri tuone huenda akaja akafanya vizuri kuzidi waliokuwepo.Kizuri umejibu mwenyewe kwenye aya ya mwisho ndio maana mimi siielewi hii management inakuwaga inafikiri nini
Badiashile hapa alizingua,Hii ndio chelsea ya kina Todd na wenzake
Sterling naye anaimarika??Tunatengeneza nafas nyingi za kufunga ila umaliziaji bado.
Positive- Tunapokuwa na mpira tunaenda vizuri sana na hata tukiwa kwenye pressure tukipata mpira utulivu unakuwepo wa kuondoka hapo
Wachezaji wanazidi kuimarika except Mudryk naona kama yeye ndio yuko nyuma.
Negative- defensively bado sana, team nzima kwenye swala la kujilinda bado hat CB.
CB kuna mda wanapishana kwenye maamuzi ya kuchezaza offside trap.
Na uzuri hilo swala zima la ulinzi Maresca ameliona na ameliongea natumai kwemye league tutakuwa vizuro defensively
Hakuna cha kuchambua hapo sana sanaMliongalia naombeni mtuchambulie
Huyo mchawi na mganga wake ananguvu sana, al;itakiwa hata asiwepo kwenye kikosi, anajaza uchafu tu kwenye kikosiBadiashile hapa alizingua,
Thiago Silva za hiv alikuwa anazitoa sana ila kwa badiashile baada ya kumuona tu kipa katoka nayeye akaslow down badala awah golini ila yeye akapunguza speed .
Vipi kuhusu James na Agusto performance zao zilikuaje? au walichezeshwa kwa namna ipi na kocha?Hakuna cha kuchambua hapo sana sana
Mudryk, Badiashile na Sterling wanaboa sana
PIa Defense bado sana, inexperience, aidha viungo wanaachia mashambulizi au mabeki wameshindwa kujipanga kila saa tukishambuliwa wanaweka high line ambayo inapitwa kirahisi
Good news ni kwamba falsafa inaelekea kueleweka, ball control na pasi za haraka haraka zinafanyika ila tu tukipoteza wachezaji wanatembea badala ya kukimbia kukaba
Good news nyingine jana Enzo kacheza vizuri, form yake ya wakati wa Potter inataka kurudi
siwalaumu bado wanajifunza kucheza FB na kiungo kwa wakati mmojaVipi kuhusu James na Agusto performance zao zilikuaje? au walichezeshwa kwa namna ipi na kocha?