Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna uwezekano tukawanunau wote
Samu Omorodion na Victor Osimhen

Chelsea are in POWERFUL POSITION to sign Samu Omorodion and could also bring in Victor Osimhen
@Matt_Law_DT
Hii ya Osihmen sidhan.
Labda Jackson awe anatokea Pembeni LW
Maan tofauti na hivyo tutakuwa na 4 Striker
Osihmen
Jackson
Samu
Gui

Ambacho ni kitu kigumu
 
Factor ni zile zile walizoziona kwa Jackson,Palmer na wengineo Potential
Kwa hiyo zaidi ya $1B kwa ajili ya potential? Timu imeshindwa hata kuwa na uwanja wa above 60k. Ile €100 ya potential Mudryk unaiona? Kila msimu anatafuta potential wakati kuna lundo la wachezaji ambao wahajafikia hiyo the so called potential
 
Mpaka leo Washington hajapata muda wakucheza na cha ajabu pia hatolewi hata kwa mkopo hiyo project yao itakuaje na manufaa?
Washngton yuko u21.

Iko hiv sio wote wanaosajiliwa lazima wacheze chelsea wengine wananuliwa kwa bei ndogo ila wanauzwa kwa bei kubwa.
 
Kwa hiyo zaidi ya $1B kwa ajili ya potential? Timu imeshindwa hata kuwa na uwanja wa above 60k. Ile €100 ya potential Mudryk unaiona? Kila msimu anatafuta potential wakati kuna lundo la wachezaji ambao wahajafikia hiyo the so called potential
Issue ya uwanja ni vizuri ukasome why mpaka sasa Chelsea haina uwanja unaoweza chukua 60K watazamaji,

Kwa ufupi, Issue ya uwanja iko very complicated kuanzia wakat wa Roman mpka sasa japokuwa Viongozi wa sasa wamenunua eneo lingine pemben ya Stamfor Bridge
Uwanja wa Stamford Bridge unamilikiwa na Hawa watu CPO(Chelsea Pitch Owner) na ndio wamiliki wa jina la chelsea so option iliyopo ni kuredevelop stamford bridge, issue ya kutafuta eneo lingine na kujenga huko ni complicated kwa sababu ya hilo

Based na report redevelopment ya stamford bridge atleast inaweza anza 2027 ambao takriban £2BN zinaweza kutumika mpka uwanja ukakamilika

So better uwe unaatafuta taarifa kabla kuongea hilo swala.

Usajili wa Mudryk sio 100 jaribu kufatilia report
 
Tumetengeneza big chances 5 na tukafunga 2
City wametengeneza big chances 2 wakakosa 0
Ukiangalia takwimu Chelsea ilicheza vizuri kila idara ila tu bahati mbaya makosa yalifanyika na kwa sehemu kubwa ilisababishwa na ubovu wa uwanja, mchezaji anapiga pasi halafu haiendi, sisi huku tunadhani ni uzembe kumbe ni uwanja.

Enzo Maresca: "Sometimes when we say something it sounds like an excuse but for sure the pitch doesn't help. This type of pitch slows down the ball."~
@BobbyVincentFL

View attachment 3060908
Uwanja ulikuwa mbovu kwa Man city tu? Absurd!
 
Kwa hiyo zaidi ya $1B kwa ajili ya potential? Timu imeshindwa hata kuwa na uwanja wa above 60k. Ile €100 ya potential Mudryk unaiona? Kila msimu anatafuta potential wakati kuna lundo la wachezaji ambao wahajafikia hiyo the so called potential
Biashara ni kununua na kuuza, BUY AND SALE
Ila watawauzaje kwa faida wakati hawapati muda wa kucheza???
 
Tumetengeneza big chances 5 na tukafunga 2
City wametengeneza big chances 2 wakakosa 0
Ukiangalia takwimu Chelsea ilicheza vizuri kila idara ila tu bahati mbaya makosa yalifanyika na kwa sehemu kubwa ilisababishwa na ubovu wa uwanja, mchezaji anapiga pasi halafu haiendi, sisi huku tunadhani ni uzembe kumbe ni uwanja.

Enzo Maresca: "Sometimes when we say something it sounds like an excuse but for sure the pitch doesn't help. This type of pitch slows down the ball."~
@BobbyVincentFL

View attachment 3060908
Chance 2/5 kwa hii Man City C? Vipi ukiwekekewa KDB, Rodri, Doku, Forden?
 
Today is a match day against Madrid.
Tunategemea kuona improvement hasa kwenye defence hasa kuanzia namba 6 na mabeki 3 wa kati. Mabeki wanaacha nafasi kubwa kati yao kitu kilichotugharimu vs Celtic and Man City.

Pia tunategemea Nico Jackson apate game time. Naamuamini Jackson na uwezo wake. Anaweza kuhold mpira, kulink up na namba 10(Nkunku) and can play from the wing.

Tumebaki na mechi 1 kabla ya kucheza na Man city, hivyo tunategemea kuona marekebisho na maboresho
 
Issue ya uwanja ni vizuri ukasome why mpaka sasa Chelsea haina uwanja unaoweza chukua 60K watazamaji,

Kwa ufupi, Issue ya uwanja iko very complicated kuanzia wakat wa Roman mpka sasa japokuwa Viongozi wa sasa wamenunua eneo lingine pemben ya Stamfor Bridge
Uwanja wa Stamford Bridge unamilikiwa na Hawa watu CPO(Chelsea Pitch Owner) na ndio wamiliki wa jina la chelsea so option iliyopo ni kuredevelop stamford bridge, issue ya kutafuta eneo lingine na kujenga huko ni complicated kwa sababu ya hilo

Based na report redevelopment ya stamford bridge atleast inaweza anza 2027 ambao takriban £2BN zinaweza kutumika mpka uwanja ukakamilika

So better uwe unaatafuta taarifa kabla kuongea hilo swala.

Usajili wa Mudryk sio 100 jaribu kufatilia report
Hiyo report gani nifuatilie au wewe ndio ufuatilie thamani ya mudryk kama sio euro 100mil uje uthibitishe
 
Today is a match day against Madrid.
Tunategemea kuona improvement hasa kwenye defence hasa kuanzia namba 6 na mabeki 3 wa kati. Mabeki wanaacha nafasi kubwa kati yao kitu kilichotugharimu vs Celtic and Man City.

Pia tunategemea Nico Jackson apate game time. Naamuamini Jackson na uwezo wake. Anaweza kuhold mpira, kulink up na namba 10(Nkunku) and can play from the wing.

Tumebaki na mechi 1 kabla ya kucheza na Man city, hivyo tunategemea kuona marekebisho na maboresho
Siku Chelsea wakiwa stable kwenye defence, tuna timu hapo, ila wasiwasi wangu mkubwa ni ulinzi na SD pamoaj na wamiliki wamezima data kabisa hapo, Hata kama Chalobah angebaki, bado tulitakiwa kufanya statement signing kwenye CB
 
Washngton yuko u21.

Iko hiv sio wote wanaosajiliwa lazima wacheze chelsea wengine wananuliwa kwa bei ndogo ila wanauzwa kwa bei kubwa.
Utawauza vipi wakati hawapati nafasi ya kucheza mchezaji anaongeza thamani yake kwa kupata muda mwingi wakucheza na kuonesha kiwango kizuri. Angalia huyo broja mpaka leo hakuna mteja na hii ni tatizo lakurundika wachezaji wengi huyo Washington kasajiliwa kwenye team ya wakubwa unamrudishaje tena academy yetu
 
Hiyo report gani nifuatilie au wewe ndio ufuatilie thamani ya mudryk kama sio euro 100mil uje uthibitishe
1722971755331.png

Source hiyo hapo sky sport, tena hapo ni plus add ons
 
Utawauza vipi wakati hawapati nafasi ya kucheza mchezaji anaongeza thamani yake kwa kupata muda mwingi wakucheza na kuonesha kiwango kizuri. Angalia huyo broja mpaka leo hakuna mteja na hii ni tatizo lakurundika wachezaji wengi huyo Washington kasajiliwa kwenye team ya wakubwa unamrudishaje tena academy yetu
Wapo wachezaji wanauzwa bila hata kucheza team za Wakubwa,

kwa broja sio kweli eti hakuna mteja, Bali fee wanayodemand Chelsea ni kubwa ila wateja wapo (wolves)
Datro Fofana soon atajiunga na Leicester kama wakikubali (Loan + obligation to buy ambacho chelsea wanataka)
 
Siku Chelsea wakiwa stable kwenye defence, tuna timu hapo, ila wasiwasi wangu mkubwa ni ulinzi na SD pamoaj na wamiliki wamezima data kabisa hapo, Hata kama Chalobah angebaki, bado tulitakiwa kufanya statement signing kwenye CB
Mimi swala la statement signing huwa sikubaliani nalo mara nyingi hawa kwetu huwa wanaishia kuwa flop.

Mara nyingi kwetu wanaofanya vizuro ni hawa wabei chee, hizi statement signing or big name signing huwa kwetu zinaenda kuwa flop
 
Hasa kwa striker, ni Diego Costa na Nicolas Anelka tu ndio walifanya vizuri na wengine waliflop ambao ni
  1. Michy Batshuayi
  2. Gonzalo Higuain
  3. Alvaro Morata
  4. Andriy Shevchenko
  5. Mateja Kezman
  6. Romelu Lukaku
  7. Radamel Falcao
  8. Olivier Giroud
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom