lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,488
Aliyekuwa worse ni Mudryk, Caicedo na Enzo bado wako likizo, Madueke naona amedhamiria kubaki first XI,Wachezaji wetu gani walikuwa bora? Sikuicheki game
Sterling kama nilivyosema huko nyuma huu utakuwa msimu wake, atarudi kwenye ile form ya 2018
Wachezaji hawa walicheza vizuri zaidi ya wenzake
- Madueke
- Lavia
- Sterling
- KDH napenda anavyo kimbilia kwenye box, anaijua vizuri falsafa ya Enzo Maresca
- Guiu kidogo, runs zake kama striker ni nzuri sana