lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Yaliyotokea ni kawaidaTumerudi nyuma hayua 10. Tunaanza upya kabisa. Ila nawaambia
1. Lavia, Enzo na Caisedo hawawezi kuanza kwa pamoja na ukapata team balance,
2. Nkunku anaweza kulink up na namba 9 ila hawezi kuwa lone striker na ndiyo mana kipindi cha kwanza alipotea
3. Tumesharuhusu magoli 10 katika mechi 3, hii si dalili nzuri.
4. Tumecheza na Man city C team
Mimi ninachoona tutaimarika haraka tofauti na msimu ujao hata kama tumerudi square zero
Identity ya kocha inaonekana
Error zinazijitokeza ni wka sababu balance hakuna na hiyo balance ni wka sababu kocha bado anatest
Inavyoonekan MAresca anayo akili ya mpira tofauti na yule fisadi wa mpira
Kitu kikubwa tuombe majeruhi yatuepuke msimu huu kwa sababu pamoja na ujinga wa Pochettino pia alizidiwa na majeruhi ambayo ofcourse yeye mwenyewe alichangia kwa sehemu
Pressing ya timu imeimarika sana
Wachezaji ni ving'ang'anizi sasa hivi tofauti na msimu ule walikuwa legelege sana
Natumaini Fillip atakuwa ndie kipa wetu namba moja, Sachez bado anatutia presure japo naye kaimarika
Ni kweli kabisa N kunku anatakiwa acheza kama False namba 9 au second striker, Natural striker anaiweza Haaland peke yake
Sterling msimu huu utakuwa wake
Mudryk naona anazidi kudidimia na msimu huu anaweza akapotea kabisa, itategemea Maresca atampa programu ipi.
Kocha pia anayo kazi ya kutafuta pivot nzuri ya midfield na pia naman nzuri ya kumtumia Enzo. KDH naona yeye anafaa kucheza nafasi zozote kluan zia CM hadi ushambuliaji, yuko vizuri, anatakiwa kuimarisha tu kwenye shabaha ya kufunga magoli. Movement yake mbele ni nzuri sana kama ya Marc Giu, Jackson, Nkunku na Palmer wote hawa wanakuwa wazuri Chelsea inapokuwa haina mpira