Kama kuna ambaye hatakuelewa hapa basi akapimwe mkojo. Ghallager na mwenzie Challoba ni matakataka.Sifa za mpira wa kuposses (Possesional football) ni:
1) kukaba mpira kwa kasi,
2) kupiga pasi sahihi kwa haraka, na
3) kudhibiti mpira.
Kiingereza
1) High pressing
2) Acurate quick passing
3) Ball control
Gallagher anaweza kutekeleza vizuri tu namba. 1 lakini iliyobaki (2 na 3) ni kitu ambacho Gallagher hawezi kutekeleza kwa ufanisi katika mazingira ya presure kubwa. Mipira mingi ya Gallagher hupotea inapokamatwa katika hali ya presure na ndio maana Enzo Maresca hampi Gallagher nafasi kubwa dhidi ya wenzake.
Sasa ninyi mnaomtetea Gallagher lazima mje na tecnical na tactical reasons na mjue mpira zaidi ya kocha na ikibidi zaidi mkaombe kandarasi ya kuifundisha Chelsea kwa masharti ya kucheza possesional football kwa sababu uongozi ndivyo unavyotaka kuwa identity ya Chelsea kuanzia sasa kwenda mbele
Leo Enzo, Caicedo na Lavia wancheza kwa pamoja kwa mara ya kwanza, ebu tuoneWazee hii lineup ya Chelsea ni mfumo gani huu
RW mudrykNabashiri mawazo ya Enzo Maresca hapa
Mudryk-----------Nkunku----------Lavia
KDH-------------Enzo--------------Caicedo
Gusto------Colwill ----Tosin -----James
-----------------Sanchez--------------
Timu ipo, kocha bado anatest mitambo, jhaya magoli sihesabu kama City wametuzidi, magoli ya kupewa kama hizi ni nzuri kwenye pre season ili kocha na wachezaji wajue pa kurekebisha ni wapi kabla ligi haijaanzaHamna timu hapa
Acha kujifariji Mkuu,Timu ipo, kocha bado anatest mitambo, jhaya magoli sihesabu kama City wametuzidi, magoli ya kupewa kama hizi ni nzuri kwenye pre season ili kocha na wachezaji wajue pa kurekebisha ni wapi kabla ligi haijaanza
Halafu ile penalty haikupaswa, Halland alidive baada ya kuona kufunga ni ngumu, ni kwa vile tu VAR hakuna, ile ingebatilishwa
Its a pre season unajaribu uone,Kasoro ya kwanza kocha kachagua kikosi vibaya. There wasn't any balance. Caisedo, Enzo, na Lavia hawawezi kuanza kwa pamoja. Mudueke has been better and is a natural right winger kwa nn umuweke floppy Mudryk Rw position wakato hata LW inamshinda?
Wasijararibu kumuweka Nkunku #9 vinginevyo tutamhatibu kama tulivyofanya kwa Havertz.
Hakuna beki.
Sanchez is shit.
Tosin is of Fulham Level
Tumerudi nyuma hayua 10. Tunaanza upya kabisa. Ila nawaambiaIts a pre season unajaribu uone,
Hayo yote ila stil naona individual error ndio zimetuangusha,
Magoal yote sisi ndio tumekuwa na moira tumepew pressur tumedispossess,
Ila ukiangalia idea ipo nini wanatakiwa kufanya lengo kwa haraka hara ni kutengeneza. Triangle kwa kila pass inayopigwa mwanzoni tutastrugle ila baada ya mda naiman tutaluwa sawa