ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
Mavi kunuka hujui mpira we fala ni bora ukakaa kimya.Unaamuuza Chalobah halafu unabaki na mlipuko BADIaSHELI. Shenzy kabisa
Mavi kunuka hujui mpira we fala ni bora ukakaa kimya.Unaamuuza Chalobah halafu unabaki na mlipuko BADIaSHELI. Shenzy kabisa
Mkuu ulikuwa wapi muda sijakuona jukwaaniMavi kunuka hujui mpira we fala ni bora ukakaa kimya.
Kama kawaida lengo kupunguza tatizo la ajira
We dogo mpaka leo hujakua tu. Unawaza matusi tu utakua hufikishwi kibo na mawenzi vizuri.Mavi kunuka hujui mpira we fala ni bora ukakaa kimya.
Yeye alikuwa anataka long term contract wakati club wanamuona kama squid player kwasababu tayari wana Lavia,Caicedo,Enzo na KDH ndio maana walitaka asign mkataba wa miaka 2Saga la Gallagher, bado halijaanza la Chalobah
- Amepewa mkataba wa miaka miwili na mshahara mkubwa zaidi ya viungo wote akakataa
- Athelitico Madrid wamemkubali kumpa mkataba mrefu na Chelsea imekubali ofa ya ATM pia bado hajatoa majibu. ATM wamempa hadi jpili akikaa kimya watahesabu dili limevunjika
- Kocha Maresca amemkataa Gallagher kwenye timu ya kwanza hata akisaini mktaba mpya
- Uongozi umemnyima Gallagher kufanya mazoezi na timu kuu na kutumia vifaa vya timu kuu
View attachment 3060020
Uongozi wa Chelsea unakwepa kumpa Conor Gallagher mkataba wa muda mrefu kwa sababu kocha mpya hamtaki kwenye kikosi cha kwanza. Mkataba wa miaka miwili ungetosha kuthibitisha kwamba anafaa ikiwa anataka kubaki, pia ikiwa hawezi kufaa, bado uongozi unaweza kumuuza ili asiondoke bure msimu ujao.Yeye alikuwa anataka long term contract wakati club wanamuona kama squid player kwasababu tayari wana Lavia,Caicedo,Enzo na KDH ndio maana walitaka asign mkataba wa miaka 2
MalyUongozi wa Chelsea unakwepa kumpa Conor Gallagher mkataba wa muda mrefu kwa sababu kocha mpya hamtaki kwenye kikosi cha kwanza. Mkataba wa miaka miwili ungetosha kuthibitisha kwamba anafaa ikiwa anataka kubaki, pia ikiwa hawezi kufaa, bado uongozi unaweza kumuuza ili asiondoke bure msimu ujao.
Uongozi sasa umeamua kuwa iwapo atakaa bila kusaini mkataba mpya, hataruhusiwa kufanya mazoezi au kutumia vifaa vya kufundishia vya kikosi cha kwanza. Kwa hivyo atafanya mazoezi na timu ya development squad na kushiriki PL2 badala ya EPL. Hii itakuwa adhabu kubwa kwake, itakuwa bora ikiwa angekubali ofa ya Atlético Madrid ya kucheza UCL na kuifanya brand yake kuwa kubwa zaidi kwa faida ya taaluma yake.
Mbona akiwa Crystal Palace niliona kama alikuwa mzuri kwenye maeneo hayo?Sifa za mpira wa kuposses (Possesional football) ni:
1) kukaba mpira kwa kasi,
2) kupiga pasi sahihi kwa haraka, na
3) kudhibiti mpira.
Kiingereza
1) High pressing
2) Acurate quick passing
3) Ball control
Gallagher anaweza kutekeleza vizuri tu namba. 1 lakini iliyobaki (2 na 3) ni kitu ambacho Gallagher hawezi kutekeleza kwa ufanisi katika mazingira ya presure kubwa. Mipira mingi ya Gallagher hupotea inapokamatwa katika hali ya presure na ndio maana Enzo Maresca hampi Gallagher nafasi kubwa dhidi ya wenzake. Sasa ninyi mnaomtetea Gallagher lazima mje na ttecnical na tactical reasons na mjue mpira zaidi ya kocha na ikibidi zaidi mkaombe kandarasi ya kuifundisha Chelsea kwa masharti ya kucheza possesional football kwa sababu uongozi ndivyo unavyotaka kuwa identity ya Chelsea kuanzia sasa kwenda mbele
Sidhani kama itakuwa kwa sababu City wachezaji wao wengi hawajaripoti, bado wako likizo na ndio maan mechi zao nyingi walifungwaLeo tunacheza na city muda ya saa sita na nusu za usiku , nitaangalia hii game kwa umakini .
Hii itakuwa kipimo kizuri pia
Nadhani itanipa picha ya jinsi hii timu ilivyo kwa sasa .