Wakati wanamsajili poche walimpa mkataba mrefu na jukumu la kutengeneza team mwishoni team ikaanza kujipata wakamfukuza hiyo ni sign ya kutokujitambua. Tumemuuza Thiago silva hatusikii kabisa team inampango wa kuziba nafasi yake badala yake kuna dogo kasajiliwa but atabakia Bocajunior kwa mkopo wakati tuna uhitaji huo mkubwa, unataka kumuuza Chalobah ambaye ameperform vizuri sana msimu uliopita but unawabakisha Bachiashile na Dissasi hii ina maana gani?
Tumemsajili tu msimu uliopita Petrovic leo unasikia wanataka kumuuza wakati huyu kijana katubeba sana msimu uliopita eti kwa kigezo sio mzuri kwenye footwork wakati huo huo unampa nafasi Sanchez kama kipa no 1 ambaye anamakosa mengi kwenye footwork ndio tunaambiwa kamzidi Petrovic hii inatoa taswira gani kwa uongozi inajua kweli inachofanya?
Cha kwanza Thiago Silva hajauzwa, bali mkataba wake uliisha na akataka kwenda kumalizia kwao Brazil
Useme labda tunahitaji beki kiongozi ila sio kuwa tunauhitani wa mabeki
Tuna mabeki 5-6 wakati (Colwill,Badiashile,Disasi,Fofana,Tosin,Achempong)
Huwez sajili beki mwingine bila aliyepo kuondoka
Poch hakusaini mktaba wa muda mrefu alisign kama miaka 2 o 3 kama sijakosea.
kwa chalobah uko sahihi ni mzuri kuliko Disasi ila Disasi mda wote amekuwa akipatikana, na nafasi ya Chalobah amechukua dogo wa Academy Josh Achaempong
Na nafasi ya Chalobah wako wachezaj 4(Tosin Fofana Disasi na Achaempong)
Petrovic ni muhanga wa kocha,If kocha singebadilishwa Petrovic angeendelea kuwepo, Mfano mzuri wakat Pep anakuja City alimkuta Joe Hart yuko kwenye form nzuri ila kwa kuwa hakuwa anaendana na style ya Pep akawa phased out na akamlete Claudio Bravo. Petrovic ni muhanga wa style ya uchezaji Maresca anataka kipa anaeweza kuwa sweeper, anaejua wakati huu nipige long ball au short pass yani anataka kuwa i.e Raya,Onana,Alison,Vicario,Ederson, etc
Issue ya Poch ilikuwa inajulikaba mda mrefu tu kuwa hatokaa aliletwa kutengeneza msingi , ila kwa aina ya wachezaj tulionnao ilikuwa ni tofauti na uchezaji wa poch,
Chelsea now wanataengeneza identity kuanzia academy mpk team mkubwa na hata Strasborg wote kuwe na aina moja ya uchezaji na si hii iliyokuwepo ya kila kocha kuwa na style yake bali team kuwe na style moja inayotambulika hata mchezaji akitoka academy hapati wakat mgumu kwa sasa toka chini anajua team inachezaje