Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Enzk Maresca🎙️
"The result is always important and we need to analyse the game in general. On the ball the team was ten times better than against Wrexham. That's important. We created chances. Off the ball, we need to improve. And sometimes we confused when we need to play short and long."
 
Poche mashavu alikwisha pata dawa ya team ndogo , fluidity yakutosha,tulianza kugawa wastani kwa idadi,angeendelea tungebonda wakina astonvilla, Spurs,westham,everton , Newcastle,nje ndani sasa tumeamua kuanza upya ,tukijipata ni robo ya tatu ya msimu,tabu ipo pale pale
Pre season siku zote huwa haireflect uhalisia, msim uliopita Poch alifanya vizuri pre season ila kwenye league hali ikawa tofauti.

Pre season unajenga fitness ya wachezaji na falsafa zako unataka wacheze vipi na kubain wapi mapungufu yalipo.

Yani ukiangalia game ya jana makosa yapo hasa hasa off the ball na upande wa ulinzi.
Ila ukiangalia kwa chance tulizocreate tumetengeneza nyingi tu za kufunga.

hii ni pre season na nimechi ya 2 wakat hao celtic wako katika mechi ya 5.

Unaweza shinda game zote za pre season ukajihisi uko sawa halaf kwenye league yakatokea yale yale ya poch.

Cha msing ni kujua wapi kuna tatizo na kuanza kufanyia kazi na tunatakiwa tucheze vipi.
Jana kuna mda hasahasa pale mchezaji anapokiwa kafinyiwa man 2 man marking ni kama mchezaji anashindwa kuwa na maamuzi either apige short pass o long pass na ndio kilichotuponza goal 2 badiashile na sanchez ni kama hawakiwa na idea wapige long ball au afanye short pass na wote wakachagua short pass na madhara yake yakaonekana
With time tutaimprove

Kuna baadhi ya wachezaj ndio wanarejea fofana na lavia msim uliopita wote hawalucheza tutegemee kutokuwa sharpness kwa sasa ila kadri.

Tuache kulalamika hadi pre season.
 
Kipara hadi sasa kapoteza mechi zote
Kocha anajaribu vitu vipya na wachezaji wapya na wale wasiopata nafasoi kwenye timu ya kwanza wakiwemo majeruhi humo humo kama akina Fofana misimu miwili hajacheza

Hapa kocha anajua arekebisha wapi na amtegemee nani wapi nk
 
Kwahiyo wewe unajifananisha na man kweli akili huna wewe ndio uchezaki wako huo umefika mwisho hata kwenye ligi utaendelea hivyo hivyo msimu uliopita ulishika nafasi ya ngapi mpaka ujifananishe na man city
Pimbi wewe, umepoitea njia
 
Shida mkuu sio kufungwa issue mnacheza nini uwanjani iko ndicho watu wanataka kukiona city of course kapigwa but hajacheza utumbo kama huu wa kwetu
Jana hawakucheza vibaya, kuna baadhi ya wachezaji wametuzamisha
 
Jana hawakucheza vibaya, kuna baadhi ya wachezaji wametuzamisha
Hakukuwa press ya kutosha wachezaji wanajogging na tulikuwa slow sana kufanya maamuzi na kuufanya mpira uwende haraka kwa mpinzani hili wewe ujaliona
 
Hakukuwa press ya kutosha wachezaji wanajogging na tulikuwa slow sana kufanya maamuzi na kuufanya mpira uwende haraka kwa mpinzani hili wewe ujaliona
Kwa asilimia 80 mabeki tukipoteza mpira hawarudi kuweka shape ya ulinzi, walibaki kwenye high-line na hasa kwenye magoli mawili ya mwanzo na goli la nne. Goli la tatu Badiashile katutoa kafara na Madueke goli la nne kapoteza possesion na mabeki hawakurudi kwenye shape ya kukaba tukalizwa kirahisi hivyo. Jana tulikosa kosa magoli mengi ikiwepo shots on target nyingi bila kupata magoli. Uslow ulikuwepo sana na hasa ile dk ya 10-30 ya kipin di cha kwanza tulipooteza mipiora mingi kwa kutokuwa makini
 
Waandishi wa habari ambao ni mashabiki wa Chelsea ndio wanaoifanya fanbase ya Chelsea ionekane toxic
Wamesha anza kumhukumu Enzo Maresca kwa mechi mbili tu za Preseason.
Inasikitisha sana
 
Kwa asilimia 80 mabeki tukipoteza mpira hawarudi kuweka shape ya ulinzi, walibaki kwenye high-line na hasa kwenye magoli mawili ya mwanzo na goli la nne. Goli la tatu Badiashile katutoa kafara na Madueke goli la nne kapoteza possesion na mabeki hawakurudi kwenye shape ya kukaba tukalizwa kirahisi hivyo. Jana tulikosa kosa magoli mengi ikiwepo shots on target nyingi bila kupata magoli. Uslow ulikuwepo sana na hasa ile dk ya 10-30 ya kipin di cha kwanza tulipooteza mipiora mingi kwa kutokuwa makini
Sasa hilo tatizo ni la mabeki pekee? au mbinu za mwalimu zinawalazimisha kufanya hivyo? Poor approach ya kocha ni 70% ya tatizo. Mechi ya Chelsea na Spurs Ange alijaribu huu uchizi kilichomkuta ndio kitakachotukuta huwezi
 
Kocha jana kwenye conference na waandishi wa habari alilalamikia hilo na sioni kama yeye ndie chanzo. Ila nionacho ni kwamba maelekezo wanayopewa wachezaji bado ni nyingi kama wakati wa Pochettinmo ndio maana wanashindwa kutekeleza
 
Wazo la wiki
Msimu ujao tunahitaji muundo tofauti wa uchezaji, pasi za haraka na mashambulizi ya kushtukiza uyaani counter.
Kwa hivyo, tutahitaji meneja tofauti, wafanyikazi na mchezaji ambaye watafaa kwenye mfumo huo.
Mradi bado unaendelea!
Muda wa Maresca utakatizwa.
Klopp ninm meneja huru, natumai atatufaa kwenye mfumo wetu huo mpya😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hivi mashabiki wenzangu je tunajua preseason lengo lake ni nini?, hii siyo ligi, hakuna makombe ambayo tunawania hapa.
Wachezaji muhimu huwa wanapumzishwa kipindi hiki, ni wale wa majeruhi wa muda mrefu, wapya, wachezaji wa academy, development squad na wale wa benchi wa muda mrefu ndio wanajaribiwa kipindi hiki. Kama kocha ni mgeni angependa kujaribu kila takataka
Sasa mnalalamika nini hapa
Inasikitisha sana
 
Hivi mashabiki wenzangu tunajua preseaqson lengo lake ni nini, hii siyo ligi, hakuna kombe tunalowania hapa
Wachezaji muhimu huwa wanapumzishwa kipindi hiki, wale wa majeruhi, wapya na wa academy, development squad na wale wa benchi wa muda mrefu ndio wanajaribiwa kipindi hiki. Kama kocha ni mgeni atapenda kujaribu kila takataka
Sasa mnalalamika nini hapa
Inasikitisha sana
Uongozi wa team ujui unataka nini ndio tatizo kubwa tulionao na litatutesa sana
 
Sasa hilo tatizo ni la mabeki pekee? au mbinu za mwalimu zinawalazimisha kufanya hivyo? Poor approach ya kocha ni 70% ya tatizo. Mechi ya Chelsea na Spurs Ange alijaribu huu uchizi kilichomkuta ndio kitakachotukuta huwezi
Yani ndio kwanza 2 mechi mnaanza kumuhukumu mwalim anayeanza kuimplement philosophy yake ya uchezaj.

Unategemea ndani ya mechi 2 tena za pre season wachezaji washanasa kila mbinu za mwalim anachotaka kufundisha

Hii ni pre season tegemeeni makosa mara kwa mara kwa sababu wachezaji bado wanajaribu kunasa kile kocha anachojaribu kutaka team ichezeje na kubaini eneo lipi linahitaji kutatuliwa na wapi panahitaji umakini zaidi

Nendenk mkaskie Post match interview ya Maresca, Chelsea tunafan base ya ajabu sana hizi kelele huwez skia fan base ya team zingine, Liverpool alifungwa na Preston and North 1 nil, United kapoteza dhid ya Rosenberg, City kapoteza kwa Celtic na Ac Milan ila huwez kuskia kelele njoo sasa kwasisi We always tunamtafuta mchawi hata katika sehem ambazo wachezaj wanajengewa fitness na kocha anapoimplement falsafa zake za uchezaji
 
Hivi mashabiki wenzangu je tunajua preseason lengo lake ni nini?, hii siyo ligi, hakuna makombe ambayo tunawania hapa.
Wachezaji muhimu huwa wanapumzishwa kipindi hiki, ni wale wa majeruhi wa muda mrefu, wapya, wachezaji wa academy, development squad na wale wa benchi wa muda mrefu ndio wanajaribiwa kipindi hiki. Kama kocha ni mgeni angependa kujaribu kila takataka
Sasa mnalalamika nini hapa
Inasikitisha sana
Mashabiki wengi hawaelewi lengo la Pre Season ni nini
 
Uongozi wa team ujui unataka nini ndio tatizo kubwa tulionao na litatutesa sana
YES, Preseason lengo lake ni ili na wao wajue shida iko wapi
Kwa mechi mbili tumeona kwa mabeki waliopo hakuna kiongozi wala beki wa kuwa wa mfano kwa wengine kama alivyokuwepo Silva. Tutahitaji kumnunua beki mzoefu, umri wa kati na kiongozi pale nyuma. Ukiondoa ukichaa wa Robert Sanchez wa kukurupuka na kuachia magoli ya kizembe, naona anafaa kuwa kiongozi pale nyuma ila bado tutamhitaji beki kiongozi
 
Msimsahau James jamani jana alicheza kama RB lakini muda mwingi alikuwa akicheza kama kiungo. Hafai hafai kabisa kucheza inverted FB, hiyo wamuachie Cucurella tu ndie kaiwezea na alitusaidia sana, Mimi binafsi nimemmiss sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom