Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa mnalialia nini timu ina kocha mpya wachezaji kibao wapya mnategemea nini. Kuweni wapole Mpeni kocha wenu miaka mitano ajenge timu acheni mihemuko
 
Kocha wenu mliyemsema ni bora kuliko Poch hakuna kitu anafanya. Uwezo wa James kuattack unapotezwa kwa kumuinvert, nyuma space kibao, holi kipa hakai kwenye nafasi yake. Ukicheza hv vs Westham au Aston Villa utafungwa saba.

Kitu kilichotengenezwa msimu uliopita kinapotea. Tunaanza upya na bahati mbaya huyu ni kocha wa majaribio.

Anaweza kufix the issue au asiweze kabisa
Ubora wa kocha anaonekana Pre season jamani, Anwajaribu hadi matakataka, wacha kujizima data ndg yangu
 
Mudryk, Sterling Madueke (£88+£47+£32) ndio mawinger tegemezi ? Hii ni complete failure project.
 
Preseason ya 2015 na msimu ulifuata tukashika namba 10 chini ya mou

1722119469763.png
 
Usajili tunaofanya msimu huu una mpango wa kumaliza tatizo la ajira ulaya na America kusini.

Usajili Makhususi
 
Je, unajua kuwa Celtic walicheza michezo 5 mwezi Julai, wakashinda 4 na kutoka sare moja?
Je, unafahamu kuwa katika michezo yote mitano walifunga mabao 19 na kufungwa 9 pekee
Je, unajua pia kwamba Man city walipoteza mechi zao zote mbili za preseason dhidi ya Celtic na AC Milan?
 
mapema kabisa

Msimi huu hatuna kocha pale ni Ten gag wa 2.

huwezi ukaleta kocha ambae hana falsala ya Chelsea utegemee ushind

msimu mwingine wa vipigo
 
Je, unajua kuwa Celtic walicheza michezo 5 mwezi Julai, wakashinda 4 na kutoka sare moja?
Je, unafahamu kuwa katika michezo yote mitano walifunga mabao 19 na kufungwa 9 pekee
Je, unajua pia kwamba Man city walipoteza mechi zao zote mbili za preseason dhidi ya Celtic na AC Milan?
Kwahiyo wewe unajifananisha na man kweli akili huna wewe ndio uchezaki wako huo umefika mwisho hata kwenye ligi utaendelea hivyo hivyo msimu uliopita ulishika nafasi ya ngapi mpaka ujifananishe na man city
 
Nyie mnautani sana huyu Badiashile, Fofana, Madueke ni wachezaji ambao hawastahili kuwa part of Chelsea team.[emoji16][emoji16][emoji16]
Badishile kawaloga makocha wa Chelsea yule,
Fofana tumasamehe, misimu miwili hajacheza soka
Madueke dawa yake iko jikoni
Timu ya kwanza haijacheza
Jana tulicheza vizuri, tulizamishwa na makosa ya mchezaji mmoja mmoja na hasa mabeki
Timu ya kwanza ikikamilika na tukasajili mabeki wazoefu mtumbwi utatulia
 
Poche mashavu alikwisha pata dawa ya team ndogo , fluidity yakutosha,tulianza kugawa wastani kwa idadi,angeendelea tungebonda wakina astonvilla, Spurs,westham,everton , Newcastle,nje ndani sasa tumeamua kuanza upya ,tukijipata ni robo ya tatu ya msimu,tabu ipo pale pale
 
Je, unajua kuwa Celtic walicheza michezo 5 mwezi Julai, wakashinda 4 na kutoka sare moja?
Je, unafahamu kuwa katika michezo yote mitano walifunga mabao 19 na kufungwa 9 pekee
Je, unajua pia kwamba Man city walipoteza mechi zao zote mbili za preseason dhidi ya Celtic na AC Milan?
Shida mkuu sio kufungwa issue mnacheza nini uwanjani iko ndicho watu wanataka kukiona city of course kapigwa but hajacheza utumbo kama huu wa kwetu
 
Shida mkuu sio kufungwa issue mnacheza nini uwanjani iko ndicho watu wanataka kukiona city of course kapigwa but hajacheza utumbo kama huu wa kwetu
Nadhan negative kwa upande wa game ya jana ni pale tunapokuwa hatuna mpira na defensive line.

Kama ni chance tulicreate.
Individual mistake ndio kama zimetugharim

Anyway Hizi ni pre season tu huwa lengo ni kuwapa fitness wachezaj na kubain wapi kwenye makosa na kuyafanyia kazi na kuimprove pale panahitajika.

Mwaka jana kwa Poch tukishinda almost game zote za pre season ila kwenye league kilichotokea hakuna aliyefurah.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom