Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

James kachezeshwa position sio yake ukitaka kumfaidi anatakiwa acheze right back au right wing back
Kacheza nafasi yake, tofauti na siku zingine alipewa jukumu la kucheza inverted RB na huo ndio mfumo wa Mresca kwamba FB wote wanacheza kama viungo
 
Kacheza nafasi yake, tofauti na siku zingine alipewa jukumu la kucheza inverted RB na huo ndio mfumo wa Mresca kwamba FB wote wanacheza kama viungo
Huo mfumo umemnyima uhuru James kupiga ile mipira yake kwenye box niambie mara ngapi umemuona James kapanda upande wa pembeni nakapiga majaro au kumwaga maji mengi kwenye box la mpinzani?
 
Huo mfumo umemnyima uhuru James kupiga ile mipira yake kwenye box niambie mara ngapi umemuona James kapanda upande wa pembeni nakapiga majaro au kumwaga maji mengi kwenye box la mpinzani?
Mfumo wa sasa hautaki kucheza hivyo. Crossing inapigwa mara chache sana, timu zinazoposses mpira haitegemei crosses kufunga mabao. Anagalia city wanavyocheza au angalia stats za wingers au FB wa city kama wana cross nyingi kama hizi timu ambazo haziposses mipira. Maresca anataka wachezaji wapasiane mpira hadi nafasi ya kufunga ipatikane. Huo ndio mfumo tunaotakiwa kuuzoea
 
Kwa style hiyo haitamfanya James awe bora
 
Kwa style hiyo haitamfanya James awe bora
Sio tu James hata Gusto, hawa wawili ni RB wazuri sana kwenye ligi kwa sasa kwenye kupiga crosi za juu na chini na tutakwenda kuzikosa hizo sana kwa sababu mfumo wa kocha unawataka waje ndani zaidi kuliko kucheza pembeni japo hawakatazwi kufanya hivyo ila zitapungua sana
 
Chelsea wanatarajiwa kukubaliana Villareal ada ya takriban £20.9m kwa Filip Jorgensen, huku taarifa za mwisho zikiachwa kuafikiwa.
@TomAllnutt_
@garyjacob
Huyu mzuri kuliko sanchez ambaye brighton aliwekwa benchi tu kwa sababu kila ikipigwa unaikuta nyavuni
 
Huyu mzuri kuliko sanchez ambaye brighton aliwekwa benchi tu kwa sababu kila ikipigwa unaikuta nyavuni
Tatizo walifikia pazuri sasa wameachana na huyo wamerudi kwa Lunin wa Real Madrid, deal swap na Kepa
 
Hawaelewi nini wanataka
Inawezekana hizo taarifa za jana ni za uongo
Leo Fabrizio anadai:

Chelsea wanakaribia kukamilisha dili la Filip Jørgensen, huku makubaliano na Villarreal yakiwa katika hatua za mwisho.

Chelsea wameboresha pendekezo lao baada ya ofa ya awali yenye thamani ya €20m na wanajadili tu muundo wa mkataba wa malipo na Villarreal.

Jørgensen tayari amekubali mkataba pendekezwa kutoka Chelsea.
1721995619568.png
 
View attachment 3052765
Mbona upande wa striker na beki tumekaa kimyq
 
Mbona upande wa striker na beki tumekaa kimyq
Tunasubiri kuofload Lukaku na wachezaji wengine
Hata hivyo sio lazima. Kama hatapatikana striker anayefit kwenye mfumo wa Enzo, Nkunku na Jackson wanaandaliwa kutekeleza majukumu hayo, Pia yuko MArc Guiu ambaye anajribiwa, asilimia kubwa anaweza kwenda mkopo kwa mwaka mmoja.

So Kuna kila dalili kuwa, striker hatanunuliwa na kama atanunuliwa ni mwihoni sana mwa dirisha
 
Chelsea wako tayari kuwaruhusu hadi wachezaji 12 zaidi kuondoka msimu huu:
  1. Conor Gallagher
  2. Trevoh Chalobah
  3. Đorđe Petrović
  4. Ben Chilwell
  5. Kepa Arrizabalaga
  6. Romelu Lukaku
  7. Lesley Ugochukwu
  8. Armando Broja
  9. Cesare Casadei
  10. David Datro Fofana
  11. Harvey Vale
  12. Leo Castledine
(Chanzo: Sun Sport)

Nini maoni yako
 
Shida ya kutimua makocha ovyo ovyo inaanza kuonekana hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom