Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 666
- 1,234
1 Yamal = 30 SakaKuna kondoo zitakwambia Saka na Wali. Hawa vichaa cjui nani kawaroga.
1 Yamal = 30 SakaKuna kondoo zitakwambia Saka na Wali. Hawa vichaa cjui nani kawaroga.
Goli la ushindi la Spain sikuamini kwamba Cucu ndie aliitoa ile pasi, katika pasi 20 anazotoa Cucu, inayokwenda mbele ni moja ikizidi sana ni mbili. Saa nyingine hata winga akiwa yuko pazuri kama kichwa chake hakikuamua kupasi mbele utashutukiza tu mpira unarudishwa ulikotoa hata kuangalia kama Nizo William yuko peke yake haangalii kabisa. Nico William saa nyingine ilibidi abadilishe upande ahamie kulia kwa sababu pasi za Cucu kwenda mbele ni za kipare mno. Pamoja na hayo aliweza kudhibiti sana kupitwa pitwa hovyo kama tulivyocheza mechi ya mwisho na Arsenal. Saka na White walimfanya kama shamba la bibi.Cucurrela ni kati ya wachezaji wachache ambao sio average ni World Class basi tu wachambuzi hawampendi
Halafu anavyosifiwa sa utafikili nini hata uwezo wake mdgoYule kocha ni kiazi, Kama Bellingham alikua nae anarukaruka tu lakini haachi kumpanga. Kati y mchezaji cjawahigi kuwaelewa ni huyo Jude.
Mkuu unachochanganya ni kitu kimoja kukaba na kushambulia. Nico ni attacking minded winger beki wa timu pinzani hawezi kuacha gape kubwa na Nico ukizingatia dogo pia ana pace anaweza achwa. Hivyo inampa nguvu Cucurrela kushambulia na kupasia mipira kwa uhuru kwa midfields na forward. Sio kwamba Nico alikua anamsaidia kukaba.Goli la ushindi la Spain sikuamini kwamba Cucu ndie aliitoa ile pasi, katika pasi 20 anazotoa Cucu, inayokwenda mbele ni moja ikizidi sana ni mbili. Saa nyingine hata winga akiwa yuko pazuri kama kichwa chake hakikuamua kupasi mbele utashutukiza tu mpira unarudishwa ulikotoa hata kuangalia kama Nizo William yuko peke yake haangalii kabisa. Nico William saa nyingine ilibidi abadilishe upande ahamie kulia kwa sababu pasi za Cucu kwenda mbele ni za kipare mno. Pamoja na hayo aliweza kudhibiti sana kupitwa pitwa hovyo kama tulivyocheza mechi ya mwisho na Arsenal. Saka na White walimfanya kama shamba la bibi.
Spain walichofanya Nico alikuwa akimsaidia sana Cucu pale mashambulizi yalipoelekezwa kwake
Huku kwetu yuko na Mudryk na Sterling ambao ni wazembe kwenye kukaba. Labda tukimpata winga mpya anaweza kupatikana anayeweza kukaba na au kocha akiotumia backline ya defender watatu Cucu atapunguziwa mizigo ya kukaba
Enzo pekee yake au timu nzima?
Yeye alienda mbali zaidi akapost kwenye Instagram yakeEnzo pekee yake au timu nzima?
Sasa ubaguzi hapo uko wapi? Si ni kweli ni Muangola? Wewe leo ukachezee France, wakwambie ww ni mtanzania utakua umetukanwa?
Namna inavyoimbwa ndio iliyotafsiri ubaguziSasa ubaguzi hapo uko wapi? Si ni kweli ni Muangola? Wewe leo ukachezee France, wakwambie ww ni mtanzania utakua umetukanwa?
Tatizo ni hao akina Mbape hawapo proud kuwa black, wakati ni blacks. Hao ndio wabaguzi wanaona kuwa mweusi ni kutukanwa.
Enzo kazingua sana
Kwa hiyo yye ni magazine
Namna inavyoimbwa ndio iliyotafsiri ubaguzi
Acha kutetea upuuzi Enzo kaongea kama kejeli na dhihaka ndio imekuwa ni racism but jiulize kushinda kwao Copa America kunahusiana vipi na kuwazungumzia wachezaji wa Ufaransa personal life yaoWimbo huo huo angeimbiwa muingereza au mmarekani, kwamba yy ni muingereza au mmarekani wala isingekua tabu.
Tatizo sisi waafrika wenyewe hatujikubali, mtu muangola hataki kuitwa muangola.
Yaani umesema kweli, hata mimi kule twitter nimetofautiana na wengi. Hakuna ubaguzi hapo kuamb iwa umeotka Angola au Nigeria. Hawa wachezaji weusi ni wajinga sanaSasa ubaguzi hapo uko wapi? Si ni kweli ni Muangola? Wewe leo ukachezee France, wakwambie ww ni mtanzania utakua umetukanwa?
Tatizo ni hao akina Mbape hawapo proud kuwa black, wakati ni blacks. Hao ndio wabaguzi wanaona kuwa mweusi ni kutukanwa.
Mkohoti yuko , je wangeimbwa wachezaji kutoa UJerumani, mama ana uraia wa Uhispania ingekuwa ubaguzi?Acha kutetea upuuzi Enzo kaongea kama kejeli na dhihaka ndio imekuwa ni racism but jiulize kushinda kwao Copa America kunahusiana vipi na kuwazungumzia wachezaji wa Ufaransa personal life yao
Sio natetea, kejeli gani hapo kwani sio kweli ni muangola? Mtu anakataaje utaifa wake, kisa anataka kuwa mzungu. Miafrika ndivyo tulivyoAcha kutetea upuuzi Enzo kaongea kama kejeli na dhihaka ndio imekuwa ni racism but jiulize kushinda kwao Copa America kunahusiana vipi na kuwazungumzia wachezaji wa Ufaransa personal life yao