Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wadau Moderator atumiwe picha nzuri ya Kocha mpya (kwa mwenye nayo) ili aweze kufanya update make naona bado ameweka picha za zamani
 
Zimejaa Google, akumbushwe tu
Pia aongeze picha za kusheherekea UCL ya 2012, Europa legue zote mbili (2023 na ile ya Baku, 2029), ili Arsenal wakipita kwenye hili jukwaa wasema shikamoo mara tatu kwanza kabla ya kuchangia mada
 
Cucurela aka kuku broiler aka Mr manywele katisha Sana hii michuano ,apewe maua yake
Aje awashe moto pale Epl msimu huu pia ili tuwe imara zaidi .
Cole Palmer naye yuko poa ,habaatishi .yule dogo ni kichwa , naamini pia atawasha moto msimu huu .
Southgate alimbamia tu nafasi ya kucheza angeondoka na si chini ya goli tano kwenye hii michuano ya Euro
 
Ili England ichukue kombe yule kocha inabidi asepeshwe
 
Cucurella amjibu Gary Neville

Gary Neville alisema mwanzoni kabisa kabla mashindano ya Euro 2024 hayajaanza hivi"

"Nadhani yeye (Cucurella) ni moja ya sababu ninazofikiria Uhispania labda hawawezi kwenda mbali kwenye haya mashindano"
"I think he (Cucurella) is one of the reasons I think Spain probably can't go all the way"
Majibu ya Cucurella jana haya hapa
"Tulienda njia yote, Gary. Asante kwa msaada wako".
Marc Cucurella replies to Gary Neville:

“We went all the way, Gary. Thanks for your support”.
1721020505592.png
 
Yule kocha ni kiazi, Kama Bellingham alikua nae anarukaruka tu lakini haachi kumpanga. Kati y mchezaji cjawahigi kuwaelewa ni huyo Jude.
Kuna kane, Bellingham na foden hawakutakiwa kuanza foden hakuna chochote alichokifanya kwenye haya mashindano na still anaendelea kumpanga
 
Yule kocha ni kiazi, Kama Bellingham alikua nae anarukaruka tu lakini haachi kumpanga. Kati y mchezaji cjawahigi kuwaelewa ni huyo Jude.
Kane, Belingham na Phode wameburunda karibu michuano yote na wamecheza dakika zote. Yeye na Uingereza ni much know sana na zawadi yao ni hii, kukaa mika nenda rudi hawana kombe

Nafasi ya Kane alistahili Ollie Watkins au Ivan Toney
Nafasi ya Foden alistahili Cole Palmer na nafasi ya Bellingham angecheza hata Gordon
 
Kane, Belingham na Phode wameburunda karibu michuano yote na wamecheza dakika zote. Yeye na Uingereza ni much know sana na zawadi yao ni hii, kukaa mika nenda rudi hawana kombe
Nimefurahi sana kwa wao kuukosa huu ubingwa kwa ujinga wa kocha wao
 
Cucurela aka kuku broiler aka Mr manywele katisha Sana hii michuano ,apewe maua yake
Aje awashe moto pale Epl msimu huu pia ili tuwe imara zaidi .
Cole Palmer naye yuko poa ,habaatishi .yule dogo ni kichwa , naamini pia atawasha moto msimu huu .
Southgate alimbamia tu nafasi ya kucheza angeondoka na si chini ya goli tano kwenye hii michuano ya Euro
Cucurrela ni kati ya wachezaji wachache ambao sio average ni World Class basi tu wachambuzi hawampendi
 
Cucurella amjibu Gary Neville

Gary Neville alisema mwanzoni kabisa kabla mashindano ya Euro 2024 hayajaanza hivi"

"Nadhani yeye (Cucurella) ni moja ya sababu ninazofikiria Uhispania labda hawawezi kwenda mbali kwenye haya mashindano"
"I think he (Cucurella) is one of the reasons I think Spain probably can't go all the way"
Majibu ya Cucurella jana haya hapa
"Tulienda njia yote, Gary. Asante kwa msaada wako".
Marc Cucurella replies to Gary Neville:

“We went all the way, Gary. Thanks for your support”.
View attachment 3042647
Huyu Neville ukocha ulimshinda sasa kageukia uganga wa kienyeji
 
Mchezaji gani wa England anaweza kumuweka benji mchezaji yeyote kwenye hii lineup ya EURO2024?

1721074238085.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom