Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,977
- 125,662
Arsenal ina kocha wa hovyo? Arteta kocha pekee msimu ujao anayekimbizana na kipara ndio unasema wa hovyo?Uzuri sisi hatuna kuremba, nashangaa Arsenal wana kocha wa hovyo bado wanamchekea tu. Mwaka wa sita huu anazurura tu hakuna alichokifanya. Utofauti wake na hao akina Potter sijui ni upi?
Sawa.