Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,164
- 17,070
Like sister, like brother
View attachment 2991344
Dada mwenyewe anayekanyangwa anafurahi. Ningekuwa refa wala nisingempa adhabu LoureenLike sister, like brother
View attachment 2991344
Kama kocha atabaki kuwa huyo mashavu, msimu ujao tujiandae kuangalia mechi pembeni tuna panadol, hedex, dawatatu hata na madrip kabisa. Hakuna kocha humo.Mmechelewa. Timu imekuja kukaa sawa muda ushaenda. Endeleeni kumwamini pocc msimu ujao kutakuwa na matumaini.
Zile signing za Mudrky, Caicedo, Jackson, Disasi, Mukieli nk zilikuwa na matumaini ambayo yamekuja kuonekana mwishoni.
Msimu ujao baada ya Arsenal kujikatia tamaa mtakuwa kwenye kundi la kupambania ubingwa...
Cole Palmer, 23/24 PremierLeague
Mchezaji Bora Chipukizi wa Msimu!
View: https://x.com/ChelseaFC/status/1791534858637881748
View attachment 2992831
Mkuu the blues tunavimba sana,THE BLUES akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani kibabe bingwa wa dunia ameshinda mechi
Sio katikati ya 2025 atajiunga January 2025NI BLUU
🔵 Kijana wa Brazil Estevão Willian ni mchezaji mpya wa Chelsea FC.
💰 Palmeiras itapokea zaidi ya Euro milioni 60 kwa kipengele cha mdororo wa uchumi.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17 atajiunga na timu katikati ya 2025.
KITO 💎
View attachment 2992975
Mechi dhidi ya Sheffield na Burnley. Zile point 4 zinaniuma sanaJe, ni mechi gani kati ya 1-12 ambazo Chelsea ilivuruga na kupoteza pointi zisizo za lazima.
View attachment 2992974
Taja timu yako kwanzaWatu wanamaliza ligi nyie ndio mnaanza.
Sheffield,Burnley,Brentford,Forest,WolvesJe, ni mechi gani kati ya 1-12 ambazo Chelsea ilivuruga na kupoteza pointi zisizo za lazima.
View attachment 2992974
Kama kusoma hujui basi hata picha?Taja timu yako kwanza
Kwahiyo mnalingia nafasi ya pili huku mmetoka patubuKama kusoma hujui basi hata picha?