Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Asante kwa ufafanuzi mzuri, lakini ukiangalia Spain wao wanapeleka timu mbili kwenye Europa League achilia mbali Conference League...kwanini
Point hazitolewi kwa timu kuwa kwenye ucl tu, wanaangalia total performance points hizo timu zimepata kwenye michuano yote ya UEFA zikiwemo UCL, Europa na Conference league. Details ya jinsi hizo point zinatolewa nadhani inahitaji ufuatiliaji wa makini. Natumaini Spain hawakufanya vizuri kwenye ligi hizo zote tatu kama wenzao wa Italy, German nk
 
Nafasi alizopoteza Jackson ni kwa sababu ni mzuri sana katika kukaa katika nafasi za kimkakati ili kufunga mabao. Ikiwa makosa hayo ya kufunga yataisha msimu ujao au msimu mwingine, Jackson atakuwa mshambuliaji anayefunga mabao 20+ na asisti 10+ kila msimu.
1715673488664.png

1715673508913.png
 
Hapana
EPL itatoa timu mbili kwenye Europa
Nafasi ya 5 na 6 wanaenda moja kwa moja Europa Legue kama Man city atatshinda FA
Ikiwa Man United akishinda FA yeye ndie anaenda Europa na aliyeshika nafasi ya 5
Atakayehsika namba sita ataenda Conference kwa mtindo huu badala ya Europa na namba 7 hatashiriki Ligi yeyote ya Ulaya. Habari ndio hiyo

Kwa hiyo Chelsea tuombee Manure afungwe na City ili tuwe na uhakika wa kwenda aidha Europa au Conference

Reference

Which spots in the Premier League table get European qualification?​

Fifth place guarantees a spot in the Europa League group stage.

The team that finishes in sixth will play in the Europa League if Manchester City win the FA Cup, with the Europa Conference League spot moving down to seventh place.

If Manchester United win the FA Cup and finish sixth in the Premier League, they will qualify for the Europa League with the club in seventh going to the Conference League.

However, should Manchester United finish outside of the top six and defeat Manchester City in the FA Cup Final, United will go to the Europa League and the team finishing in sixth will be in the Conference League and whoever finishes in seventh will not qualify for Europe.

Which Premier League clubs could qualify for the 2024-25 Champions League, Europa League, or Conference Leagues?​

Arsenal, Manchester City and Liverpool have qualified for the Champions League via top-four finishes.

Aston Villa have one path left to the UEFA Champions League. They’ll qualify for the Champions League by finishing fourth and can clinch that by winning one of their final two games of the season.

Tottenham‘s only route to Europe is through the league table. Spurs can go to the Champions League by finishing fourth. The Europa League or Conference League would await should they not finish in the top four.

Newcastle United‘s only path to Europe is through the league table. They currently sit sixth, ahead of Chelsea on goal differential and three points clear of Manchester United. They cannot finish lower than eighth.

Chelsea can only reach the Europa League or Conference League through the league table. They cannot finish lower than eighth.

Manchester United can go to the Europa League by winning the FA Cup, and the league table is still a route to Europe as well. The Red Devils may go to the Conference League if they fail to win the FA Cup.

West Ham United, Brighton, Wolves, Bournemouth, Fulham, Brentford, Crystal Palace, Sheffield United, Burnley, Luton Town, Nottingham Forest, and Everton have been eliminated from contention for Europe.

FA ni noma, inamaana hata kama Mwantesa Utd ikifeli kubeba FA cup bado tu itashiriki conference league na timu itayoshika nafasi ya 7 mbadala wa Mwantesa Utd haitahusika kabisa ktk michuano yoyote ya Ulaya?
 
FA ina thamani kubwa sana ya pesa duniani kuliko makombe mengine yote isipokuwa heshima sawa na EPL, ndiyomaana UK inapendelewa kupeleka timu nyingi ktk michuano ya Ulaya kuliko nchi zingine zote Ulaya.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Yani
Pambana kweli/ cotton and true
 
Ushind upo ndo vilevile tunaandaa team tangu mwanzo wa ligi hadi ligi inakaribia ukingoni😂
 
Hii Chelsea akii inakuja kuwa tamu ..wapinzani wajipange msimu ujao tuwalambe lambe haswa😀😀😀🤗
 
Sijawahi ona Captain mjinga mjinga kama James
Ile kwa maoni yangu haikuwa kwenye level ya red card, ni kwa vile refa alilazimishwa tu kwenda kwenye monitor
Ila uko sawa naye James haikutakiwa kufanya ule ujinga, kapteni mzima na uzoefu mwingi anafanya kama mtoto
 
James atakosa mechi nne za EPL
Moja msimu huu na tatu msimu ujao kwa ujinga ule alioufanya
 
Ile ni red kadi ata ingekuwa mimi ningemlima red. Alikusudia kufanya kile kitendo, Captain mzima una shidwa kuji control.
Ile kwa maoni yangu haikuwa kwenye level ya red card, ni kwa vile refa alilazimishwa tu kwenda kwenye monitor
Ila uko sawa naye James haikutakiwa kufanya ule ujinga, kapteni mzima na uzoefu mwingi anafanya kama mtoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom