Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamaa mpira anaujua, tatizo lake ubinafsi na stamina hana
Timu imemvumilia sana kwa ujinga wake
Jackson kumiss chance nyingi inàonyesha kwanza anajua kujiweka kwenye mkao wa kufunga- sifa nzuri ya kwanza
Pili: ànao uwezo wa kuhold mpirà na kuwachezesha wenzake
Tatu: ana uwezo mkubwa wa kupokonya mipirà kwenye final third
Nne: sio injury prone
Tano: ana umri mdogo, wachezaji wengi chini ya miaka 23 hawako vizuri hasa kwenye kufanya maamuzi. Kwa umri huo Jackson bado anao muda wa kukomaa na kuwa na faidà kubwa kwenye timu
Sita: Jackson anamudu kucheza vizuri nafasi nyingi za mbele kuanzia striker, LW, RW, No. 10, CAM etc
Saba: Jackson kashafunga mabao 16 na assists 6 hivi kwenye michuano yote kwa Chelsea
Tumpime msimu ujao na msimu wa tatu. Things will be all right
 
Jackson ku.iss chance nyingi inàonyesha kwanza anajua kujiweka kwenye mkao wa kufunga- sifa nzuri ya kwanza
Pili ànao uwezo wa kuhold mpirà na kuwachezesha wenzake
Tatu: ana uwezo mkubwa wa kupokonya mipirà
Nne: sio injury prone
Tano: ana umrii mdogo, wachezaji wengi chi i ya miaka 23 hawako vizuri hasa kwenye kufanya maamuzi. Kwa umri huo Jackson bado anao muda wa kukomaa na kuwa na faidà kubwa kwenye ti.u
Sita: Jackson anamudu kucheza vizuri nafasi nyingi za mbele kuanzia striker, LW, RW, No. 10, CAM etc
Saba: Jackson kashafunga mabao 16 hivi kwenye michuano yote kwa Chelsea
Tumpime msimu ujao na wa 3. Things will be all right
Ok sawa, lakini average player hata timu yake ya taifa haaminiki
 
Sio average player sema ni mchezaji kijana asiye na experience ndio maana unaona anakosa chance nyingi ila ni mchezaji Mzuri ni suala la muda tu ataanza kuimbwa.
 
Hivi jackson kwa kumuangalia ni kijana mdogo?
Huko hispania amecheza kwa kipindi gani?
 
Unaifunga chelsea isiyo na ice cold palmer ,akiwepo huyu mechi lazima iwe ngumu
Mleteni huyo dogo North London angalau akae benchi kuliko kupoteza kipaji chake kwa walala hoi kama nyie.
 
Acheni kujadili mambo msiyo yajua ya kiufundi. Mchezaji wa miaka 22 mnamhukumu kamà Sterling wa miaka 30?
Hee unatupangia ya kujadili, yaani mchezaji wa miaka 22 hatakiwi kukoselewa?
Palmer ana miaka mingapi ?
 
Jackson ku.iss chance nyingi inàonyesha kwanza anajua kujiweka kwenye mkao wa kufunga- sifa nzuri ya kwanza
Pili ànao uwezo wa kuhold mpirà na kuwachezesha wenzake
Tatu: ana uwezo mkubwa wa kupokonya mipirà
Nne: sio injury prone
Tano: ana umrii mdogo, wachezaji wengi chi i ya miaka 23 hawako vizuri hasa kwenye kufanya maamuzi. Kwa umri huo Jackson bado anao muda wa kukomaa na kuwa na faidà kubwa kwenye ti.u
Sita: Jackson anamudu kucheza vizuri nafasi nyingi za mbele kuanzia striker, LW, RW, No. 10, CAM etc
Saba: Jackson kashafunga mabao 16 hivi kwenye michuano yote kwa Chelsea
Tumpime msimu ujao na wa 3. Things will be all right
Na bado katika ubovu wake huo wanaousema ana goli nyingi kuliko Trossad, Gabriel, Rushford,Nunez, Rasmus na takataka nyingine
 
Chelsea haiwezi kufuzu ligi ya Europa
Sasa kwa matokeo9 ya Mwanitesa United, Chelsea anakabiliana na Newcastle kwenye nafasi ya 6 ma probably hata Spurs kwenye nafasi ya 5
1715029515091.png
 
Hee unatupangia ya kujadili, yaani mchezaji wa miaka 22 hatakiwi kukoselewa?
Palmer ana miaka mingapi ?
Sio fair kama wewe kweli unajua mpira, Palmer yule ni kiumbe mwingine kama walivyokuwa akina Mbape, Mesi na wengine, Special creatures. Huwezi hata siku moja kumfananisha na Jackson
Jackson ni mchezaji anayetakiwa kuadapt halafu akue
Plamer ni Football Genius with natural footbalk IQ
 
Simaanishi kuwa Jackson ni bora kuliko Palmer ila unataarifa kuwa Jackson ana magoli mengi kuliko Palmer ukiondoa penalty za Palmer?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Ila kumbuka Palmer ni kiungo mshambuliaji sio mshambuliaji kazi yake kuu ni kutengeneza nafasi na amelifanya kwa ubora ana assist 12+ suala la kufunga magoal mengi limekuwa extra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom