juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
DahKuweni na akili na muwe mnaelewa tunayotasema mjinga mwenyewe. Huwa nasema siku zote matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake kama mnavyoshupalia. Sijui mmejifunzia wapi mpira nyie. Anyway endeleeni na litimu lenu mkiamini kocha peke yake ndio tatizo Pumbav
Imeshakua confirmed anaondokaVipi kuhusu silva anaongeza mkataba au anasepa????
Na wao wanahitaji points tatu muhimu Ili wafufue matumaini ya kucheza UEFA...mwny nguvu ashindeLeo tunacheza dhid ya Spurs ni mech muhim kama tunania yoyote ya kushiriki Europa msim ujao
Alama 3 za leo ni za muhim sana
Mh2nd half naona kuna dalili za goal kurudi, ni kama hakuna chochote tunachoki
Team yetu kama Ina homa ya vpindiJackson 2-0
Poch kaamua arudi kwenye mfumo wake wa pre season aliokiwa anautumiaTeam yetu kama Ina homa ya vpindi