Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,196
Mkuu huu ndio ukweli wachezaji zaidi ya asilimia 60 tulionao ni average. Ni wachache sana unaweza waweka daraja la juu. Huitaji sijui setup wala nini kugundua hili.Mkuu nahisi kuna point umeimiss hapo,
Anyway kwa jinsi nilivyoelewa
Wachezaji wengi wanaonekana average (kama watu wanavyodai) kwa sababu ya setup ya kocha, kukomalia kitu ambacho kishafeli,
Ila setup nzur ya team inawafanya hawa wachezaji waonekane bora na waonyeshe uwezo wao walio nao.
Game 2 za hivi karibun tactical change za poch tunaonekana ni bora kuliko tulivyokuwa huko mwanzo.
Naomba nieleweke average sio tusi au kumaanisha hajui. Hii hata darasani ipo

