Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna wengine humu hawatak kukubali kuhusu poch.
Ni mahaba niue na poch

Subiri uskie akihojia excuse itakuwa injury na kucheza jmosi
No tactical explanation ni mgumu sana kukubali sehem anazokosea
Pole sana Mzee baba mipira inauma sana basi tu watu hawajui
 
Ndani ya miaka 10 ijayo mtakandwa sana na hili timu lenu bovu
 
Mlale na hii kitu itawasaidia sana, uzuri wa football huwa haijifichi ni mchezo unaochezwa kila mtu anaona.

Muishi na haya maneno.
“Good managers give you an edge and ensure you're at least competitive. Bad managers amplify the issues”
 
  1. Petrovic ni golkipa mzuri, makosa yake amdogo madogo ni kwa sababu ya kulemewa, wachezaji hawamlindi
  2. Disasi hata kama tutakuwa naye, ni mchezaji wa kujazia jazia sio starter mzuri - confirmed
  3. Badiashile- tangu atoke majeruhi amekuwa mzito sana na ni mgawaji wa mipira sana, ametutosa sana. Hata kama siku moja atakuja kuwa CB mzuri ila sio hapa Chelsea, huyo auzwe tu tumpate CB wa kule impact haraka sana. Hatatufaa kwenye safari ya kwenda kwenye nchi ya ahadi
  4. Cucurella ni mchezaji anayejituma na hata leo kacheza vizuri ila hatatufaa kwenye hii safari ya kwenda kwenye nchi ya ahadi
  5. Sterling sina maneno mengi, auzwe tu msimu huu akazeekee huko Saudi
  6. Mudryk aidha apewe dakika chache kwenye mechi zisizo na umuhimu au apelekwe mkopo
  7. Madueke - achapwe viboko ili ajifunze kukaba, mchezaji asiyejua kukaba ni mzigo. Akiwa hana mpira Madueke ni wa hovyo sana
  8. Jackson, anajitahidi sana ila wachezaji wa Chelsea hawamuungi mkono. Ila naye akiongeza kuwa agressive atakuwa star mkubwa sana
  9. Viungo sitawaongelea kwa sababu ni tatizo la kocha, muunganiko na balance ya kiungo inaharibiwa na upangaji wa kocha. Enzo alitakiwa apumzishwe, Galagher acheze na Caicedo, aachane kucheza kule mbele
Huwa naamini Mudryk angeenda Arsenal leo hii tungekuwa tunaongea mengine.

Mudryk anakosa kocha wa kumuongoza, naimani chini yq Arteta angekuwa bora

Kwa kuwa yuko chini ya yale mashavu tunamuona takataka

Uhitaji degree kujua hali ya Combo ya Disasi na Badiashile tangu wako Monaco. Ni combo ya hovyo

#Poch Out
 
Pochettino: "We could not approach the game like we started in the first half and we didn't compete the way we needed to compete and then when they scored the third it was easy for Arsenal to control the game.
I think you need to be clinical. Like against Manchester City three days ago, we were not clinical and then today the same thing happened. Difficult performance because it is not nice to see your team play like this when you are mean to have full energy."

Hivi Poch anajielewa kweli huko kuwa clinkcal kwa chance zipi hizo ambazo tumetengeneza au mimi nilikuwa naangalia mpira tofauti?
 
Say my name View attachment 2972272
20240424_010406.jpg
View attachment 2972273
 
Ushindi wetu wa Everton umefutwa na magoli yake. Tunaanza from zero kwa sababu ya Kocha mjinga na wanaomtetea ni wajinga wote

Badiashile anagawa mipira tangu arudi majeruhi hadi leo kocha bado anamuamini tena kwenye mechi kama hizi
Disasi mzito unamuweka na Silva anakaa benchi huku haumwi

Kocha asiyejali hisia za mashabiki ni mjinga sana
bado hamjasema
 
Nilisema tangu mwanzo baada ya ile line up tu nikasema mpaka hapo mna 2+

Ila kwakuwa humj ndani kuna watu huwa hawataki kuelewa acha tuendelee tu

Huwez anza na back 4 ya cucu badiashile disasi Gilchrist ambayo haijawah cheza game yoyote kwa pamoja kitu kibaya zaidi ni combo ya Disasi na Badiashile

Silva na Chalobah walikuwa wanafanya vizuri recently ila katika game muhimu unafanya experiment. Kichwan zero kabisa

City,Liverpool wote wameenda emirates kwa tahadhar yeye sasa

Hamna siku nimeumia kama leo shenzi kabisa huyu mpuuzi na wale wote wanaomtetea poch
Mimi sijaumia kufungwa na Arsenal, ila nimeumia jinsi Pochettino alivyoivuruga timu kwa makusudi akijua wale mazezeta wenzake akina Tod hawatamgombeza. Chelsea iliwadhibiti Arsenal dk 15 kabla ya break ila wamerudi tena wamepewa zile instruction za kichina timu ikasambaratika kabisa
 
Pochettino: "We could not approach the game like we started in the first half and we didn't compete the way we needed to compete and then when they scored the third it was easy for Arsenal to control the game.
I think you need to be clinical. Like against Manchester City three days ago, we were not clinical and then today the same thing happened. Difficult performance because it is not nice to see your team play like this when you are mean to have full energy."

Hivi Poch anajielewa kweli huko kuwa clinkcal kwa chance zipi hizo ambazo tumetengeneza au mimi nilikuwa naangalia mpira tofauti?
Kocha mjinga. yeye milele hajifunzi? Takriban dakika 15 kabla ya mapumziko, Chelsea walidhibiti mchezo na Arsenal walionekana kuchoka kabisa. Walichokifanya ni kujilinda, lakini waliporudi kutoka mapumziko, timu nzima ya Chelsea ilisambaratika na walikuwa wakicheza ngoma ya ajabu isiyokuwa na maana hata kidogo. Najiuliza, Pochettino anawaambia nini wachezaji wakati wa mapumziko? Kama, ni aina gani ya maagizo anayowapa?
 
Mimi sijaumia kufungwa na Arsenal, ila nimeumia jinsi Pochettino alivyoivuruga timu kwa makusudi akijua wale mazezeta wenzake akina Tod hawatamgombeza. Chelsea iliwadhibiti Arsenal dk 15 kabla ya break ila wamerudi tena wamepewa zile instruction za kichina timu ikasambaratika kabisa
wamepewa zile instruction za kichina timu ikasambaratika kabisa
hahahah....... :ClapHD: :ClapHD:
 
Mtakaoendelea kumtetea Kocha ambae hana akili muendelee kumtetea hata kama anakosea sawa
Kuwa na akili dogo nilishakwambia matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake. Hakuna anayemtetea muwe waelewa nyie

Shida mnaweka haya mqbishano kama mashindano
 
Ushindi wetu wa Everton umefutwa na magoli yake. Tunaanza from zero kwa sababu ya Kocha mjinga na wanaomtetea ni wajinga wote
Kuweni na akili na muwe mnaelewa tunayotasema mjinga mwenyewe. Huwa nasema siku zote matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake kama mnavyoshupalia. Sijui mmejifunzia wapi mpira nyie. Anyway endeleeni na litimu lenu mkiamini kocha peke yake ndio tatizo Pumbav
 
Naweza Sema hivi wote wanaomtetea Poch,Akili zao na za Poch wote hawajui chochote wapimwe akili sio bure
Huna unachojua wewe. Mnaangalia mipira kwenye tv mnakuja kutusumbua huku na vi idea vya kina George Ambangile hata kupiga danadana 8 hamuwezi

Kaeni na ushabiki maandazi wenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom