Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna siku nimeumia kama ile fainali ya FA kocha akiwa Lampard tunapoteza kwa Arsenal na hilo ndio lilikua kombe la kwanza kwa Arteta. Leo nimeumia mara ya pili kufungwa hivi na Arsenal.

Hii ni Chelsea gani imekua hivi???
 
Kuweni na akili na muwe mnaelewa tunayotasema mjinga mwenyewe. Huwa nasema siku zote matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake kama mnavyoshupalia. Sijui mmejifunzia wapi mpira nyie. Anyway endeleeni na litimu lenu mkiamini kocha peke yake ndio tatizo Pumbav
Kwani unajishuku kuna mtu amekupoint fingers, kama huna ustaharabu wa ushabiki nenda kalime vitunguu utulie nyumbani kwako na watoto wako. Tired of your nonsense kila siku mnawakazania watoto wasiokuwa na hatia mnamuacha lijibaba lkijinga ambalo halitakaa lielewe kitu
Badiashile uchezaji wake ni ule ule tangu arudi majeruhi anacheza dk 90 hata kama anagawa mipira kwa wafungaji wa timu pinzani. STUPIDITY. Hatuwezi weka rehani hisia zetu kwa watu wazima wajinga wanaowasingizia watoto ambao wanahitaji maelekezo tu

Wewe hata nyumbani kwako inaonekana mtoto wako akikosea hubebi responsibility kama mzazi
 
Atleast hapa unasema ukweli. Kuna uzembe mkubwa unafanyika na wachezaji. Hatukatai kocha ana mapungufu lakini hata aje Alonso au Amorin kwa aina ya baadhi ya wachezaji itakua ni kazi bure tu.

Badiashile, Madueke, Jackson, Mudryk, Sterling, Disasi n.k na hizi mama ndio regular starter kila weekend. Komaeni na timu lenu bwana mi nishachoka aseeh.
Wachezaji wanadhibitiwa na kocha wacheni kujitoa ufahamu, tuache basi kumuajiri kocha, hao watoto wajichezee tu wenyewe
 
Pochettino ni mfahidhina sana kubadilisha mbinu au muundo kumzuia mpinzani asidhuru, imekuwa kila wakati, "twende tukajaribu kuwashinda".

Arteta kwa upande mwingine hatajali kucheza kizuizi cha kati au cha chini kushinda mechi. Kushinda mechi hujenga imani na imani. Ikiwa unataka wachezaji wakue haraka na kuamini, unahitaji kuanza kushinda michezo.

Mfano Saka alizuiuliwa vizuri na Cucurella kipindi cha pili akaja na mbinu ya kumtumia White kumuoverload Cucurella na akafanikiwa kuweka kimiani mabao mawili.

Unawezaje kwenda Arsenal na wachezaji wetu mbaya zaidi wa CB wawiuli ndio wanaoongoza kuruhusu magoli mengi. Mfano Badiashile tangu arudi majeruhi amekuwa akiongoza kupoteza mipira maeneo ya hatari? Unaenda Emirate kuwachezesha mawinga wabaya zaidi wa ulinzi kama Madueke na Mudryk? Ikiwa mawinga hawatoshelezi, ongeza viungo na utumie diamond au 3 au mfumo unaofanana na huo? kuna 343, 352, nk. Angalau fanya kitu kumzuia mpinzani wako asikudhuru kama huwezi kumshambulia.

Moja ya masuala yetu makubwa msimu huu, ni wachezaji wa kushambulia kutorudi haraka kuweka mfumo wa ulinzi, hasa mawinga, huwa ni wazembe na wavivu na kocha anaona tu hayo sawa.

Ili kuepusha hilo, kwa nini usitumie muundo ambao utaruhusu wachezaji kudumisha nafasi zao kanda au kupata yadi chache ili kurudi katika umbo la ulinzi?

Kwa jinsi tulivyopata majeraha na timu ni changa, Pochettino amekuwa mkaidi sana kutafuta muundo bora ambao utaficha mapungufu ya wachezaji wake.

Na tukutoa amelezo yote haya kuna watu wanaelekeza shutuma kwa wachezaji ambao ni kama kondoo wanahitaji kupangwa tu
Au kama askari vitani wanahitaji kupangwa na kupewa maagizo tu

Gamu ya Arsenal an Chelsea kuanzia dk ya 30 Chelsea waliwadhibiti Arsenal na almanusura bao lile kurudishwa. Arsenal walbaki wanajilinda tu lakini cha ajabu baada ya mapumziko kocha alienda akawapa maagizo mapya, kila kitu ikavurugika, balance ya timu ikapotea, mabao yakaanza kumiminika na hali hii ya Pochettino kutoa maelekezo mabovu baada ya mapumziko imekuwa ni desturi inayojirudia kila wiki na hata ajirekebishi
 
"Kwa mara nyingine tena, nasisitiza:

Pochettino anafanya kazi nzuri sana Chelsea.

Ndiyo, sana.

Tena anaifanya kwa kutisha sana"

1713926481934.png
 
Alama za uchezaji kwa wachezaji wa Chelsea dhidi ya Arsenal jana

-Mauricio Pochettino - 0
Hakuwa na mbinu yeyote ya kujilinda wala kufunga magoli, kazembea makosa ya wachezaji hadi tukafungwa mabao matano bila
-Djordje Petrovic - 6
Alifungwa mabao matano, lakini kwa uungwana, aliokoa mabao kama 8, yaani asingeokoa tungefunkwa mabao 13-0.
-Alfie Gilchrist - 3
Kutupwa katika kina cha maji marefu huku hana uzoefu wa kuogelea
Axel Disasi - 3
Sehemu ya safu ya ulinzi iliyoruhusu mabao matano, bila kupata hakiki nzuri.
Benoit Badiashile - 4
Ilianza vizuri ila baadaye akaanza kupoteza mipira hovyo na kuonyesha ulegevu katika kumkabili adui anaposhambulia
Marc Cucurella - 5
Ilionekana kufanya vizuri mapema katika kipindi hicho cha kwanza tulipokuwa kwenye mchezo. ila baadaye alizidiwa na Saka na White kwa pamoja bila wenzake kumsaidia
Moises Caicedo - 4
Kapotezwa na kasi ya wachezaji wa Arsenal na hakukuwa na lzaidi kufanya kwenye tim u ya Chelsea ambayo haikuwa tayari kutoa ushirikiano kwenye kukaba
Conor Gallagher - 5
alijitahidi sana kucheza ila uwezo wake haukuunmgwa mkono na wenzake
Enzo Fernandez - 4
Tena kama Caicedo, kapotezwa kabisa
Noni Madueke - 3
Angalau alijaribu kuchukua watu wachache hapa na pale lakini hakuweza kusaidia timu kujilinda
Nicolas Jackson - 6
Alijitahidi sana kupeleka mashabulizi mbele lakini alijikuta yuko peke yake mbele kama mgeni aliyepotea porini
Mykhailo Mudryk - 2
Hakuonyesha chochote. Hakuna akili ya mpira, kama vile hakuwa na hamu ya mpira, hakimbii, hakabi wala kukimbia uwanjani. Alitisha sana.
 
Kuweni na akili na muwe mnaelewa tunayotasema mjinga mwenyewe. Huwa nasema siku zote matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake kama mnavyoshupalia. Sijui mmejifunzia wapi mpira nyie. Anyway endeleeni na litimu lenu mkiamini kocha peke yake ndio tatizo Pumbav
Kipigo kidogo tu mmeanza kutukanana
 
Pochettino: "We could not approach the game like we started in the first half and we didn't compete the way we needed to compete and then when they scored the third it was easy for Arsenal to control the game.
I think you need to be clinical. Like against Manchester City three days ago, we were not clinical and then today the same thing happened. Difficult performance because it is not nice to see your team play like this when you are mean to have full energy."

Hivi Poch anajielewa kweli huko kuwa clinkcal kwa chance zipi hizo ambazo tumetengeneza au mimi nilikuwa naangalia mpira tofauti?
Kai Black (Jackson) alishindwa kufunga free header kwa sababu alikuwa pia anajaribu kuficha sura na mkono. Mpira ukamgonga mkono ikawa handball.

Madueke alimpa bonge la pass akabaki na kipa ila bahati mbaya akapiga nje.

Alitoka nduki na kumpita Saliba kuanzia nusu uwanja hadi ndani ya box letu lakini hakuingia ndani zaidi ili ajaribu kufunga au akiguswa iwe penati, badala yake akaenda kwa pembeni na kujaribu kucross, mpira ukamgonga Gabriel na kidogo tu ingekuwa own goal, ukogonga post na kutoka.

Jana nilisema Arsenal hatutahangaika na kumkaba Jackson, na kweli Benny Blanco akaamua kuacha kupoteza muda wake kumkaba jamaa na kusepa zake mbele kujipatia magoli.
 
Mimi sijaumia kufungwa na Arsenal, ila nimeumia jinsi Pochettino alivyoivuruga timu kwa makusudi akijua wale mazezeta wenzake akina Tod hawatamgombeza. Chelsea iliwadhibiti Arsenal dk 15 kabla ya break ila wamerudi tena wamepewa zile instruction za kichina timu ikasambaratika kabisa
Kinachoumiza sio kufungwa bali ni performance
Huwez kwenda emirates sasa hiv na lime up
Ya vile kama vile unaenda cheza na plymouth

Mgumu sana kubadilika na hawez badilika
 
Gamu ya Arsenal an Chelsea kuanzia dk ya 30 Chelsea waliwadhibiti Arsenal na almanusura bao lile kurudishwa. Arsenal walbaki wanajilinda tu lakini cha ajabu baada ya mapumziko kocha alienda akawapa maagizo mapya, kila kitu ikavurugika, balance ya timu ikapotea, mabao yakaanza kumiminika na hali hii ya Pochettino kutoa maelekezo mabovu baada ya mapumziko imekuwa ni desturi inayojirudia kila wiki na hata ajirekebishi
Kwanini usiseme Arteta alimsoma Pochetino?
Yani hizo dk 15 ndo unaona unastahili kuwafunga arsenal.

Haujui Arsenal ndo the best team off the ball, kamuulizeni Gardiola
 
Kai Black (Jackson) alishindwa kufunga free header kwa sababu alikuwa pia anajaribu kuficha sura na mkono. Mpira ukamgonga mkono ikawa handball.

Madueke alimpa bonge la pass akabaki na kipa ila bahati mbaya akapiga nje.

Alitoka nduki na kumpita Saliba kuanzia nusu uwanja hadi ndani ya box letu lakini hakuingia ndani zaidi ili ajaribu kufunga au akiguswa iwe penati, badala yake akaenda kwa pembeni na kujaribu kucross, mpira ukamgonga Gabriel na kidogo tu ingekuwa own goal, ukogonga post na kutoka.

Jana nilisema Arsenal hatutahangaika na kumkaba Jackson, na kweli Benny Blanco akaamua kuacha kupoteza muda wake kumkaba jamaa na kusepa zake mbele kujipatia magoli.
Mkuu ukitoa hizo chance kuna chance nyingine tena unahisi zilitengenezwa.

Angalia Arsenal Chance ngapo wamecreate halaf sisi sasa

Ni rahisi sana kumtabiri Poch.

Katika chance ulizozisema hapo mbili zimepatikana 1st half na 1 second half

Poch anapenda mbio mda wote na arteta alichofanya kipindi cha kuzuia hizo na kutupin mda wote tubaki nyuma.

Ushawah ona siku Poch kafanya tactical change????
 
Kwanini usiseme Arteta alimsoma Pochetino?
Yani hizo dk 15 ndo unaona unastahili kuwafunga arsenal.

Haujui Arsenal ndo the best team off the ball, kamuulizeni Gardiola
Ni rahisi sana kumtabiri Poch hana mbinu the way anavyoiset up team yake ndio hivyo nq arteta alichifanya kumsoma kidogo na 2nd half moto ukawaka.

Huku yule muargentina tactically kichwami ni zero
 
Yan we dogo kwa aina hii commrnts unaonesha ni kiazi na huwa upo humu kimashindano na unatafuta namna ya kuprove a point.

Toa comment yako kuhusiana na Poch na sio kuwananga wanaomzungumzia Poch kwa namna nyingine. Ndio maana nasema upo kushindana na huna unachojua
Sijakuzungumzia wewe Na hakuna sehemu nimekutukana hapo sawa.

Unajihisi ni wewe fresh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom