Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Unafki umeanza lini? 😄😄😄 kwetu umekuja kusema Chelkenge wanasema watatupiga nyingi. Nakuja huku kuwachimba biti nakuta umesema sisi tumesema tutawapiga nyingi
😂😂
Unafki umeanza lini? 😄😄😄 kwetu umekuja kusema Chelkenge wanasema watatupiga nyingi. Nakuja huku kuwachimba biti nakuta umesema sisi tumesema tutawapiga nyingi
Wanatoa Hoja gani ya kumbeza Alonso?Watu wengi wanawabeza hawa watu
Arne Slot
Ruben Amorim
Xabi Alonso
Sebastin Hoeness wa Stuttgart
Hawa wote niliowataja nibora na wazuri kuliko kocha tulienae sasa Poch
Yuko team ndogo + sio top coach😂😂😂😂Wanatoa Hoja gani ya kumbeza Alonso?
Huyo Pochettino amelaaniwa, hakuna maneno zaidi ya kumsemaDisasi na Badiashile😂😂😂
Tushafungwa mpk hapo
Usipoingia huu uzi na ukiwasoma kule kwetu hawa kenge, utafikiri huku kwao ni sherehe tupu 😄😄😄Kwa hiyo huu uzi ni lawama na kulalamika tu ila mkija majukwaa ya timu zingine mnajitunisha 🤣🤣🤣🤣
Pathetic
Hii hali yetu kuna mjinga mmoja ndio anataka tuishiUsipoingia huu uzi na ukiwasoma kule kwetu hawa kenge, utafikiri huku kwao ni sherehe tupu 😄😄😄
Pochetino ashabet😂 kwa combo ya badiashil n disasiOya wanangu wa Darajani leo tutoe wasiwasi leo Arsenal tunamla vizuri tu wala hatotusumbua ili tumshushe Manure nafasi ya 8 huko hata Conference League asishiriki.
Watu wana masihara. Hawaoni kazi anayoifanya? Kuitransform team kua ya ushindani, anasababisha hadi top talents za timu zigome kuuzwa zinabaki pale paleYuko team ndogo + sio top coach😂😂😂😂
🤣Hii hali yetu kuna mjinga mmoja ndio anataka tuishi
Mpaka atakapoondoka ndo tutakuwa sawa