Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ngoja nicheke 😂😂😂 Palmer yupi unamzungumzia wa mbagala
huyo huyo 'ice cold' wenu. mwacheni dogo aje akae benchi pale arsenal aangalie angalie japo kuwa kwenye champions league kukoje kukoje
 
20240422_193653.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20240422_095615_Instagram.jpg
    Screenshot_20240422_095615_Instagram.jpg
    141.6 KB · Views: 16
Toa maelezo yenye kujitosheleza
Stamford bridge hata wewe unaweza nunua hisa zake
Ukiingia kwenye tovuti ya chelsea kuna form unadownload unajaza then unasubir confirmation

Stamford bridge iko chini ya CPO (Chelsea Pitch Owner) na hawa ndio wenyehaki na jina la Chelsea
Maendelezo yoyote ya uwanja au kuhama lazima hawa watu wakubali.

Manager wengi wanaokuja huwa wananunua hisa za uwanja tu nahis hata Tuchel na yeye ni mmoja ya wenye hisa kama sijakosea
 
Regardless ya nafasi tutakayomaliza still Poch sio mtu sahihi.

Westham wako more ambitious kuliko sisi wameanza mazungumzo na Ruben Amorim soon Liverpool watamgeukia Arne Slot, Nyumbu nao tetesi za kumtaka Tuchel zimeshaanza, Barce watamchukua Hans Flick sis kwa akili za hawa madirector na mambo yao ya data watatubakishia Yule Mashavu ya Kiargentina Poch
Alonso 2025 atajiunga na Madrid,
 
Jana mlisema Palmer anaumwa kama mbinu ya kucheza na akili ya Arteta?
 
Arsenal kwenye Uzi wao eti wanasema watakupigeni nyingi.

FT:
Arsenal 1 - 2 Chelsea
 
Arsenal kwenye Uzi wao eti wanasema watakupigeni nyingi.

FT:
Arsenal 1 - 2 Chelsea
Unafki umeanza lini? 😄😄😄 kwetu umekuja kusema Chelkenge wanasema watatupiga nyingi. Nakuja huku kuwachimba biti nakuta umesema sisi tumesema tutawapiga nyingi
 
Kwahiyo na mimi nakuwa napata mafao?
Stamford bridge hata wewe unaweza nunua hisa zake
Ukiingia kwenye tovuti ya chelsea kuna form unadownload unajaza then unasubir confirmation

Stamford bridge iko chini ya CPO (Chelsea Pitch Owner) na hawa ndio wenyehaki na jina la Chelsea
Maendelezo yoyote ya uwanja au kuhama lazima hawa watu wakubali.

Manager wengi wanaokuja huwa wananunua hisa za uwanja tu nahis hata Tuchel na yeye ni mmoja ya wenye hisa kama sijakosea
 
So leo tunacheza na Arsenal tukiwa underdogs?
Chelsea ina rekodi mbaya inapokutana na Arsenal kwenye EPL
Wameshinda mara 82
Droo 60
Tumewafunga mara 66
1713867814789.png
 
Formation za leo:

Chelkenge: 3-2-5, Havertz hawamkabi
Arsenal: 2-3-5, Jackson na Sterling hawawakabi

Game itaamuliwa na wingi wa washambuliaji na shots na itayobahatika kuingia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom