Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa hiyo huu uzi ni lawama na kulalamika tu ila mkija majukwaa ya timu zingine mnajitunisha 🤣🤣🤣🤣

Pathetic
alafu ndo wanatuona sisi ni wasumbufu
kule kwetu wamejazana hadi yule aliyejifanya
kuhamia nyukesto,nimemwona amerudi
 
Bila mchango wa Cole Palmer wa mabao 29 kwenye Premier League, Chelsea wangekuwa kwenye eneo la kushushwa daraja 😬

Mauricio Pochettino amewataka wachezaji wake kuthibitisha kuwa sio tu 'Cole Palmer Football Club'.

Je, The Blues wamemtegemea sana nyota wao mchanga Cole Palmer kwenye ushindi wa mechi zake?

Leo kuanzia saa nne usiku tutajua pale Emirate

View attachment 2972086
Huwa sizipendi post na comments za aina hii. Cole Palmer anachokifanya Chelsea sio hisani alisajiliwa ili afanye yale anayofanya. Sasa post za aina hii zitaanza kumfanya mchezaji ajione special zaidi ya wengine na kuota mapembe. Yan kwamba Chelsea ipo pale ilipo kwa sababu yake.. smh!!
 
Watu wana masihara. Hawaoni kazi anayoifanya? Kuitransform team kua ya ushindani, anasababisha hadi top talents za timu zigome kuuzwa zinabaki pale pale
Humu ndani watu washazoea majina makubwa
 
Mbona Jackson hajapewa red card aisee? Tayari mmeshaanza kubebwa nyie
 
Nitarudia tena kusema Siku jackson akiweza tumia nafasi anazopata atakuja kuwa bonge la striker,
Mengine yote anayafanya kwa usahihi aboreshe tu umaliziaje wake na maamuzi katika nyakat sahihi
 
Jioni kocha wao alikuwa bize na mapenzi uswahilini wakati usiku wana mechi.✍🏾😂😂 Cheltako Bana
IMG-20240423-WA0698.jpg
 
Mbona Jackson hajapewa red card aisee? Tayari mmeshaanza kubebwa nyie
Nilishangaa mwenyewe

VAR kuna shida sana, yani matukio haya haya mwamuzi mwingine hapo chap.

Waamuzi wa Uk ni kama wa Ligi Kuu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom