Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi sioni kama ni kurekebisha, huyo bado mtoto. Ndio anakulia kujua mpira
Drogba japo alikuja Chelsea akiwa na miaka kama 25 hivi lakini season yake ya kwanza alikuwa na poor finishing za kizembe hivi hivi kama Jackson. Jackosn atakuja kuwa bonge la mchezaji akifikisha miaka 24 au 25 hivi
Tumvumilie kijana wetu
Uongozi unatakiwa tu umtafute striker mzoefu wa kucheza hiyo nafasi msimu ujao ili kama Jackson atapata dakiak acheze winga au namba 10
Mkuu huyu Jackson ana bahati kubwa hii Chelsea inatengeneza nafasi nyingi sana ambapo anahitaji akose 5 akupe goli 1. Hata kama sio kurekebisha basi aboreshe anahitaji ufanisi kwenye nafasi anazopata. Kipindi kile Tammy Abraham anafunga goli 15 hatukuwa tunatengeneza nafasi nyingi kama hivi sasa na tena Tammy alikua ni striker yule wa kusubiri mipira lakini aliweza kufikisha goli 15 PL.
 
Poleni THE BLUES kwa kuondolewa FA.
Chelsea ikicheza mashabiki wake wanapita mitaani huku wamevaa bikini na kutingisha makalio kama bata mzinga.
Kenge kabisa nyinyi.
1713636790346.jpg
 
Nilikuwa naongelea ukosaji wake wa magoli wa kijinga mno alioonyesha jana. Hata hivyo, hata hivyo vingine unavyosema amemzidi Kai sidhani kama ni kwa asilimia kubwa. Ni kwamba tu Kai ukimtazama sura yake amekaa kiboya boya huku Jackson ana sura ya kazi kazi hivyo watu wakiwaangalia hao wawili wanamuona Kai mbovu zaidi.
Sio kwamba ana sura ya koboya boya kai ni legelege akipewa pressure kidogo kanyan'gwa mpira kama ni hivyo mbona Palmer aambiwi kalegea kama kigezo ni sura
 
Just
Yaani wewe umeona ambao wengi hawaoni. Angekuwa ni fala wala hizo nafasi za kukosa asingezipata. Jackson anajua kujiposition ili apewe mpira, Siku hili pepo la kuogopa goli likiisha, Jackson atafunga magoli kama Didie Drogba hadi mtampigia magoti ninyi mnaomuita takataka
Jackson ni takataka
Madueke akili hakuna kama antony tu wa man u
Mudryik hajui anataka nini

Kama hatuwezi kufunga tutakuwa wa kufungwa na kama hatuwezi kutumia nafasi vizuri vizuri tusahau ubingwa wowote

Huyo Jackson mechi zote hizo bado tu hajipati
 
Hivi umemsahau Kai tulivyokuwa tunamtukana kwa kakosa nafasi za wazi na vile alivyolegelegea
Kai hayuko kwenye orodha ya wachezaji wanaomiss chances nyingiu kabisa, nafasi chache alizopata kafunga

1713692485309.png
 
Trevoh Chalobah:

"Game plan ya meneja tuliofanyia kazi siku chache zilizopita ulifanya kazi vizuri sana Tulishikilia hiyo game plan bali tu maboresho madogo madogo ya kufunga magoli ilitukwamisha… "
 
Kai hayuko kwenye orodha ya wachezaji wanaomiss chances nyingiu kabisa, nafasi chache alizopata kafunga

View attachment 2969851
Anavyotumiwa Arsenal ni tofauti na alivyokuwa Chelsea kai alikuwa anacheza false 9 ndio maana alikuwa anapoteza nafasi nyingi Arsenal anatumika kwenye midfielders na pia sio regular starter ndio maana huwezi kumkuta kwenye list ya wanakosa chance nyingi
 
Anavyotumiwa Arsenal ni tofauti na alivyokuwa Chelsea kai alikuwa anacheza false 9 ndio maana alikuwa anapoteza nafasi nyingi Arsenal anatumika kwenye midfielders na pia sio regular starter ndio maana huwezi kumkuta kwenye list ya wanakosa chance nyingi
Ndg kwanza tunazungumzia Kai wa sasa hivi sio yule wa Chelsea
Pili hata tukirudi nyuma Kai alichezeshwa nafasi zote za mbele,
CAM
LW
RW
Flase no. 9
Zote hizo alicheza
All in all hata alipokuwa Chelsea rate au frequencies za kukosa magoli sio kama ya Jackson
May be kwa sababu hawezi kujiposition vizuri kama Jackson, main agenda
Kama ukifuatilia kwenye EPL wachezaji wote wenye miss nyingi ni walke wanaojua kujiposition vizuri kwenye mkao wa kufunga magoli
Kwa hiyo mimi mchezaji anayekosa nafasi nyingi namuona kama ana potentia;l kubwa
Mfano Haaland ndie anaongoza kwa kukosa nafasi 30 hadi sasa
  1. Erling Haaland 30 misses
  2. Darwin nunez 25 misses
  3. Ollie Watkins 19 misses
  4. Nicolas Jackson 18 misses
  5. Alexander Isak 15 misses
Katika hiyo orodha niambieni takataka ni nani, Jackson ni moja wa forward wazuri sana kama mkiamua kuangalia kwa jicho la kimpira
 
Ndg kwanza tunazungumzia Kai wa sasa hivi sio yule wa Chelsea
Pili hata tukirudi nyuma Kai alichezeshwa nafasi zote za mbele,
CAM
LW
RW
Flase no. 9
Zote hizo alicheza
All in all hata alipokuwa Chelsea rate au frequencies za kukosa magoli sio kama ya Jackson
May be kwa sababu hawezi kujiposition vizuri kama Jackson, main agenda
Kama ukifuatilia kwenye EPL wachezaji wote wenye miss nyingi ni walke wanaojua kujiposition vizuri kwenye mkao wa kufunga magoli
Kwa hiyo mimi mchezaji anayekosa nafasi nyingi namuona kama ana potentia;l kubwa
Mfano Haaland ndie anaongoza kwa kukosa nafasi 30 hadi sasa
  1. Erling Haaland 30 misses
  2. Darwin nunez 25 misses
  3. Ollie Watkins 19 misses
  4. Nicolas Jackson 18 misses
  5. Alexander Isak 15 misses
Katika hiyo orodha niambieni takataka ni nani, Jackson ni moja wa forward wazuri sana kama mkiamua kuangalia kwa jicho la kimpira
Ila umekosea kumfananisha na kai
 
Kwa maoni yangu, mchezaji mchanga katika umri wa miaka 20-24 ambaye anakosa idadi kubwa ya fursa ana kipaji kikubwa sana ya kuja kuwa mfungaji bora hapo baadaye.

Kwa mfano, hebu tuangalie baadhi ya takwimu:
  1. Haaland (23) amekosa nafasi 30
  2. Darwin Nunez (24) amekosa 25
  3. Ollie Watkins (28) amekosa 19
  4. Nicolas Jackson (22) amekosa 18
  5. Alexander Isak. (24) amekosa 15
Sasa, tunapoichambua orodha hii, jiulize, ni nani utamchukulia kuwa hafanyi vizuri? Jambo la kushangaza ni kwamba Jackson anaonekana kuwa mmoja wa washambuliaji bora zaidi unapotazama kwa jicho pevu la soka.
 
Ila umekosea kumfananisha na kai
Sijamfananisha, coment yangu ya mwanzo kabisa nilisema Kai sio wa kumfananisha na Jackson, Jackson ni mchezaji bora kuliko Kai na nikatoa sababu
Ndg Jackson wala hafananii hata kidogo Havertz. Havertz yuko clinical zaidi ya Jackson ila Jackson anajua kucheza mpira kuliko Havertz. Hao ni watu wawili tofauti kabisa

Jackson anajua kucheza mpira, anaweza kuhold, kunyang'anya, na kuseserereka vizuri na mpira kuliko wachezaji wengi wa kule mbele. Anajua kutafuta space na haotei hovyo hovyo. Shida yake ni pale anapokuwa na goli tu. Na ndio maana tukipata striker mzuri Jackson akicheza LW. RW au namba 10 ni mzuri sana. Jackson anayeweza kumpita hapo mbele ni Palmer tu. Hayo ndio yanayompa Jackson credits
Fuatilia baadhi ya skills zake kwenye hii link

View: https://www.youtube.com/watch?v=ucIAZgPWKyo

View: https://www.youtube.com/watch?v=fOtEi_Xy2u4
 
Kwa jinsi tunavyocheza kwa kasi na kutengenza nafasi nyingi tunamhitaji striker ambaye ni very sharp na clinical kama akina
  1. Alexander Isak
  2. Viktor Gyokeres
  3. Santiago Gimenez
  4. Benjamin Sesko
Isak ni perfect fit sema ni ngum kumpata.

Gyokeres o Sesko ningependelea mmoja wapo aje
 
🚨Thiago Silva: “Miaka minne yangu hapa ilikuwa mizuri sana. Si kwamba sikujiamini, bali kwa umri wangu na ukali wa ligi hii...ni nadra kuona wachezaji wakiwa na kiwango cha juu wakiwa na miaka 39.” [@NizaarKinsella]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom