Hiki ni kikosi chakuchukua UEFA kabisaHii line up itabeba ubingwa msimu ujao
View attachment 2969911
Hiki ni kikosi chakuchukua UEFA kabisaHii line up itabeba ubingwa msimu ujao
View attachment 2969911
Simuoni Caicedo lakini namuona James ambaye anashinda kwa nesi kuliko uwanjani....Hii line up itabeba ubingwa msimu ujao
View attachment 2969911
😂😂😂😂Simuoni Caicedo lakini namuona James ambaye anashinda kwa nesi kuliko uwanjani....
Kama unakuwa na squad ambayo akina Caisedo, Gusto ndio sub hiyo itakuwa ni kikosi cha kutisha sanaSimuoni Caicedo lakini namuona James ambaye anashinda kwa nesi kuliko uwanjani....
kocha poch nene??Hiki ni kikosi chakuchukua UEFA kabisa
Hii mechi inahusiana vipi na jukwaa la Chelsea?El Clasico iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana ilifanyika Aprili 22, 2024, Santiago Barnabeu, na ilikuwa mechi kali kati ya Real Madrid na Barcelona.
Real Madrid walifanikiwa kupata ushindi mnono kwa mabao 3-2, shukrani kwa bao la hisia kubwa la Jude Bellingham dakika ya 91. Ushindi huu umeifanya Real Madrid kufikisha pointi 11 mbele ya mpinzani wao Barcelona, huku ikiwa imesalia mechi 6 pekee kuchezwa.
Mabao ya FC Barcelona yalifungwa na Andreas Christensen dakika ya 6 na Fermin Lopez dakika ya 69. Wakati huo huo, mabao ya Real Madrid yalifungwa na Vinicius Junior dakika ya 18 (kupitia kwa penalti), Lucas Vazquez dakika ya 73, na bao la ushindi la Jude Bellingham dakika ya 91.
Mechi hiyo ilionyesha ujuzi na vipaji vya ajabu vya wachezaji wachanga wa timu zote mbili, na kuufanya mchezo wa hisia, ustadi na burudani kushuhudia.
View attachment 2970592
El Clasico iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana ilifanyika Aprili 22, 2024, Santiago Barnabeu, na ilikuwa mechi kali kati ya Real Madrid na Barcelona.
Real Madrid walifanikiwa kupata ushindi mnono kwa mabao 3-2, shukrani kwa bao la hisia kubwa la Jude Bellingham dakika ya 91. Ushindi huu umeifanya Real Madrid kufikisha pointi 11 mbele ya mpinzani wao Barcelona, huku ikiwa imesalia mechi 6 pekee kuchezwa.
Mabao ya FC Barcelona yalifungwa na Andreas Christensen dakika ya 6 na Fermin Lopez dakika ya 69. Wakati huo huo, mabao ya Real Madrid yalifungwa na Vinicius Junior dakika ya 18 (kupitia kwa penalti), Lucas Vazquez dakika ya 73, na bao la ushindi la Jude Bellingham dakika ya 91.
Mechi hiyo ilionyesha ujuzi na vipaji vya ajabu vya wachezaji wachanga wa timu zote mbili, na kuufanya mchezo wa hisia, ustadi na burudani kushuhudia.
View attachment 2970592

Hivi mkuu game la Christensen as midfield lilikuwa linajulikana hapo Cobham?Wewe lazima utakuwa BarcelonaHii mechi inahusiana vipi na jukwaa la Chelsea?
Hili ni jukwaa la Chelsea boss. Post habari za Chelsea tu.Wewe lazima utakuwa Barcelona
Kwanza tuna vijana wetu huko
Pili kila Barcelona ikifungwa huwa nafurahi kwa sababu walitudhalilisha wakati wa usajili wa akina Kounde, Raphinha na wengineo
Nyinyi ndio mnapressureKwani kesho ni mbali basi.....
Tunawapiga halafu baada ya mechi Arteta atafanya mazungumzo na Palmer juu ya yeye kuvaa jezi nyekundu/nyeupe ya North London msimu ujaoNyinyi ndio mnapressure