Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jackson ni version nyeusi ya Kai Harvez, forward anaefika golini halafu anakosa maamuzi ya nini afanye huyo ni takataka kama takataka zingine.
Ndg Jackson wala hafananii hata kidogo Havertz. Havertz yuko clinical zaidi ya Jackson ila Jackson anajua kucheza mpira kuliko Havertz. Hao ni watu wawili tofauti kabisa
 
Poche anatakiwa kujua kuwa Silva na Chalobah wanaendana angalau Colwill akiwa bado anauguza majeruhi
 
Inabidi 2nd leg hao wanawake washikilie bomba kweli kweli, hao Barcelona Women ni wazuri mno nadhani wao ndio tishio katika soka la wanawake huko ulaya. Kabla ya kufugwa leo na Chelsea Women walikuwa hawajafungwa katika michezo 40 iliyopita katika mashindano yote, mara ya mwisho kufungwa ilikuwa May 21, 2023 dhidi ya Madrid CFF.
Barcelona 0 - 1 Chelsea
UEFA Women Champion League Semi-final
 
Kuna watu wanadai Pochettino asilalamikiwe
Pamoja na kwamba tulicheza vizuri ila bado anastahili lawama

Jukumu la kupanga kikosi ni la Kocha. Ningekuwa katika nafasi yake, nisingemlazimisha Enzo kucheza lakini badala yake, ningemchagua Sterling upande wa kushoto, Palmer katikati, na Madueke upande wa kulia. Mbali na hayo, kila kitu kingine kilikwenda sawa. Safu ya kiungo na mabeki ilionyesha kubalance na utulivu mkubwa, na mpito mpira ulikuwa bora sana kuliko hata Man city. Walakini, umaliziaji wa Jackson kama kawaida yake, ulikuwa ni janga kubwa.
Hayo yite unayoyasema ila stil tumecheza vizuri na chances tukatengeneza kama sio uzembe wa jackson enzo alikuwa anaondoka na assist leo,

Siwez mlaumj Poch kwa leo.
 
Marefa wa UK kuna baadhi ya matukio ni kama wanashindwa kuwa na consistenc na maamuzi ya hayo matukio japo kuna VAR

Ile swala la Grealish pale marefa wengi wanaweka penalt.

Na wala hakuona haja ya kwenda Kwenye VAR
 
Kuna maamuzi ya Chilwell ambae ni Experience player na ni Vice Captain sehem ya kupiga square pass kwa sterling yeye anaweka extra touch
 
Jackson huwa ana nini ambacho mimi huwa sikioni?
Jackson anajua kucheza mpira, anaweza kuhold, kunyang'anya, na kuseserereka vizuri na mpira kuliko wachezaji wengi wa kule mbele. Anajua kutafuta space na haotei hovyo hovyo. Shida yake ni pale anapokuwa na goli tu. Na ndio maana tukipata striker mzuri Jackson akicheza LW. RW au namba 10 ni mzuri sana. Jackson anayeweza kumpita hapo mbele ni Palmer tu. Hayo ndio yanayompa Jackson credits
Fuatilia baadhi ya skills zake kwenye hii link

View: https://www.youtube.com/watch?v=ucIAZgPWKyo

View: https://www.youtube.com/watch?v=fOtEi_Xy2u4
 
Hata bakambu akiwa YouTube ni bonge la superstar ila naendelea kusema ni takataka haitaji utetez huwezi cheza winger au forward alafu ushindwe kupachika bao .. hizo nafasi hapo mbele kaz ni moja tu kupachika mabao
 
Marefa wa UK kuna baadhi ya matukio ni kama wanashindwa kuwa na consistenc na maamuzi ya hayo matukio japo kuna VAR

Ile swala la Grealish pale marefa wengi wanaweka penalt.

Na wala hakuona haja ya kwenda Kwenye VAR
Grealish aligusa mpira ukatoka nje.
Kwann kama sio penalty,
Asingeweka kona .
 
Jackson sio Youtube, huyo ambaye hamfuatiliii ndie tunampa hizo za YouTube
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom