Alikuwa anamchezesha winga badala ya left backMnamuona Matsen🔥, Kuna kocha pale alimkataa 😁
Tupeni pauni 120m maana sisi wamarekani tunachotaka ni mapesa tu, hata makombe tusipobeba hatutajaliTuwape Nunez mtupe Cole palmer?
Vilabu vyote vya Uingereza vimeondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa ya UEFA 2023/24. Hata hivyo, vilabu mashuhuri PSG, Borussia Dortmund, Bayern Munich, na Real Madrid zimeibuka washindi na kusonga mbele kwa mchezo unaotarajiwa wa nusu fainali zitakazofanyika Mei 7, 2024. Hatua hii ya kusisimua itashuhudia PSG wakimenyana na Dortmund. , wakati Bayern Munich itamenyana na Real Madrid. Tia alama kwenye kalenda yako, kwani fainali ya UCL imepangwa kufanyika tarehe 1 Juni 2024.Meza zote jana zilizpinduliwa, leo naona hakuna meza za kupindua ila naona giza nene kwa Arsenal na Man City
Bayern Munich wako nyumbani na hawana ligi tena, wamebakiwa na hili kombe tu. Ebu tuone hawa watoto wa Arteta watafanya maajabu gani leo pale Alianz Arena
Kuna watu humu hawamkubali😂😂😂 halaf wanamkubal Poch🤣 hapo ndio inabidi nicheke tuSimkubali sana Luiz Enrique lakini nadhani angekuwa bora mara 5 ya Pochettino kama angeletwa hapa Chelsea. Sasa hivi tungekuwa tupo kwenye namba 5 pale kwenye epl au hata top 4
View attachment 2966193
Coefficient factor ya UEFA, Chelsea inayo kubwa kwa sababu ya kushiriki michuanoi ya UEFa mara nyingi na kujikusanyia alama nyingiWakuu, mm sijaelewa inakuwaje mpaka tunacheza club world cup
Manshit tunamfumua ,halafu ninyi final ni bora Msiingize timu uwanjani la sivyo mtajua kilichomtoa manyoya kuku kishingoNyie Kenge za darajani hivi mnataarifa kua leo saa 7:30 mpo dimbani mnakipiga na Mamacita?
Mtieni makwezi huyo kipara ngoto tukakutane fainali tuwapee kombe lenu. View attachment 2969207
Manshit tunamfumua ,halafu ninyi final ni bora Msiingize timu uwanjani la sivyo mtajua kilichomtoa manyoya kuku kishingo


Nyie wenetu sana, sisi Nyumbu wala hatuna baya na nyie tutawapea tu kombe lenu, kikubwa kazeni tu makalio mpite maana mkilegeza taco kidogo tu Manshit anawapitishia kono lake la sweta.Kocha wetu anapenda kuforce mambo yote hayo kwasababu yakutaka wacheze wote Enzo, Caicedo na GallagherMan city vs Chelsea
FA Cup Semi-final
4-2-3-1
------------------Jackson---------------------
Palmer --------- Gallagher ------------ Madueke
------Enzo -------------------- Caicedo --------
Cucurella -------Silva-------Chalobah ------Gusto
SUBS
My opinion
- Bettinelli
- Badiashile
- Disasi
- Gilchrist
- Chilwell
- Chukwuemeka
- Mudryk
- Sterling
- Washington
Palmer kucheza winga wa kushoto ni ujinga, safari ya mwisho alipocheza huko hakuonekana kama angecheza kulia au namba 10
Jackson ni mchezaji mzuri ila inabidi aboreshe sana maamuzi yake katika nyakat sahihi mengine yote anayafanya vizuri ila linapokuja swala la maamuzi hapo tu ndio anapowakera watu


Jackson ni version nyeusi ya Kai Harvez, forward anaefika golini halafu anakosa maamuzi ya nini afanye huyo ni takataka kama takataka zingine.