Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mauricio Pochettino kwenye tukio la penalti:

“Ni mara ya mwisho nataka kuona kitu kama hiki. Nataka kuwaomba radhi mashabiki. Walijua ni Cole. Cole ndiye anayechukua. Ni mfano wa wazi kuwa ni mchakato ambao bado tunahitaji kujifunza.”

"Sasa ni chaguo la Palmer kama anataka kumpa mtu mpira, nataka kuwaomba radhi mashabiki"
Hii nzuri maana yamekuwa yakijirudia na black tulivyo na lawama utasikia ni ubaguzi
 
Unadhani huwa sifuatili? Anakokota mipira sehemu ya kutoa pasi mpaka anapoteza mipira. Jamaa no takataka sana
Rekodi hayo makosa yake halafu rekodi na mazuri yake halafu linganisha, hapo ndipo sisi tunampa credits, bado ana umri wa ujinga, akifika miaka 23/24 atakuwa moto zaidi
Jana alihusika na magoli karibia nne, moja akifunga, lingine assists na mawili akijena build ups
Jackson pamoja na kuwa na maamuzi mabaya saa nyingine lakini ni mzuri kwenye kuhold mpira, kufanya sprint (Yaani kuserereka na mpira) na kuwachezesha wengine. Shida yake kubwa ni maamuzi kwenye kufunga na kutoa pasi ila sio mara zote
 
Wachukue kiatu cha mfungaji bora wampatie tu Palmer,
Nimekumbuka msimu mmoja hivi, mechi ya mwisho ndiyo ilikuwa inaamua bingwa wa Ligi kuu kati ya Chelsea na Man Utd.
Chelsea walikuwa na mechi na Wigan...ushindi wowote Chelsea bingwa, penalty ikapatikana then Drogba akaenda akachukua mpira ili apige kwa ajili ya kuwania kiatu cha mfungaji bora ila Lampard akamnyanganya akimwambia subiri kwanza tutafute ubingwa ndipo tuamie kwenye kiatu.
Baada ya dk 90, Chelsea 7 Wigan 0...Tukawa mabingwa.

Sasa badala ya Madueke kumsaidia Cole kutafuta Kiatu cha ufungaji, yeye anamvuta shati...Shenzi kabisa.
Baada ya Lampard kumnyima penalty, Drogba alitupia Goal la kujitafutia
 
Goli la kwanza la Palmer dhidi ya Everton jana

Goli la pili la Palmer dhidi ya Everton jana

Heshima yako kiongozi wetu
Cucurella akimpongeza Palmer baada ya mechi ya jana

Palmer anaweza asiwe mchezaji bora kwenye ligi ya Uingereza msimu huu lakini kwenye akili ya mpira hakuna mchezaji anayemkaribia for sure

1713247055340.png
 
View attachment 2964962
Kabisa kwani kwanini vigumu kwa young player kupewa mchezaji bora wa ligi? Hivi haiwezekani ukawa mchezaji bora kijana na same time ukawa mchezaji bora wa ligi?
 
Kama tukichanganya pace ya mpira na kasi ya Mudryk na akili ya mpira ya Cole Palmer tunaweza tukampata mchezaji hatari sana zaidi ya Messi na Maradona pale.
Kwa maneno mengine kama akili ya mpira ya Palmer itaingizwa ndani ya kichwa cha Mudryk, unapata mchezaji wa kubeba Ballon D'or kila mwaka kwa miaka 10+
Ni bahati mbaya Mungu hawezi mpa mtu vitu vyote
1713249704263.png
 
Kabisa kwani kwanini vigumu kwa young player kupewa mchezaji bora wa ligi? Hivi haiwezekani ukawa mchezaji bora kijana na same time ukawa mchezaji bora wa ligi?
Haaland last season alibeba tuzo za mchezaji bora na mchezaji kijana wa msimu.

Kwa Palmer msimu huu kuchukua mchezaji bora wa msimu itakua mgumu sababu hana kikombe na team ipo nafasi ya chini
 
Wachukue kiatu cha mfungaji bora wampatie tu Palmer,
Nimekumbuka msimu mmoja hivi, mechi ya mwisho ndiyo ilikuwa inaamua bingwa wa Ligi kuu kati ya Chelsea na Man Utd.
Chelsea walikuwa na mechi na Wigan...ushindi wowote Chelsea bingwa, penalty ikapatikana then Drogba akaenda akachukua mpira ili apige kwa ajili ya kuwania kiatu cha mfungaji bora ila Lampard akamnyanganya akimwambia subiri kwanza tutafute ubingwa ndipo tuamie kwenye kiatu.
Baada ya dk 90, Chelsea 7 Wigan 0...Tukawa mabingwa.

Sasa badala ya Madueke kumsaidia Cole kutafuta Kiatu cha ufungaji, yeye anamvuta shati...Shenzi kabisa.
Wakati wa hiyo penalti ya Drogba, Chelsea alikuwa anaongoza kwa goli ngap.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom