Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jackson anakasoro zake ila Kuna mda mnamkosea heshima mule kuna mchezaji ni vile tu bado ajawa na maamuzi sahihi katika wakat sahihi ila vitu vingine vyote uwanjan huwa anafanya kwa usahihi

Bila kusahau ana 10goal epl katika msim wake wa kwanza
Ukiacha assists ya leo magoli mengiune mawili ilikuwa juhudi ya Jackson, anakuwaje takataka, kwani kuna mchezaji asiye na kasoro?
 
Poch akiwa serious tunao uwezo wa kuipata namba 6/7 kwa mech zilizosalia ahakikishe tusifungwe kizembe
 
Kuna wakat sisi mashabiki huwa tunashida kwa baadhi ya wachezaji.
Rating ya leo against Everton

Wengi wamempa
Cole Palmer 10/10
Caicedo 8/10
Jackson 8/10

Wengine wako chini ya hapo halafu kuna mtu anamuita Jackson takataka, labda Jackson alimchukulia demu wake nini!!
 
Pochettino on if players do the same thing on a penalty again: “Next time they’re all out”

vizuri sasa unaact kama kocha sasa kwenye hilo.👏🏿👏🏿👏🏿
Nimeona kule Twitter, sasa Pochettino ndio ataanza kujenga mahusiano na mashabiki
Hujaleta yote aliyosema, alianza kwa kuwaomba mashabiki msamaha
Siku zote tunasema hawa watoto usipowakemea hawatafanya waliotumwa kufanya uwanjani

Jackson kwa mfano kabla ya goli la leo alikuwa na njano 9 na goli 9
 
Madueke, Jackson na Palmer wakigombania mpira wa penalti

 
Mauricio Pochettino kwenye tukio la penalti:

“Ni mara ya mwisho nataka kuona kitu kama hiki. Nataka kuwaomba radhi mashabiki. Walijua ni Cole. Cole ndiye anayechukua. Ni mfano wa wazi kuwa ni mchakato ambao bado tunahitaji kujifunza.”

"Sasa ni chaguo la Palmer kama anataka kumpa mtu mpira, nataka kuwaomba radhi mashabiki"
 
Nimeona kule Twitter, sasa Pochettino ndio ataanza kujenga mahusiano na mashabiki
Hujaleta yote aliyosema, alianza kwa kuwaomba mashabiki msamaha
Siku zote tunasema hawa watoto usipowakemea hawatafanya waliotumwa kufanya uwanjani

Jackson kwa mfano kabla ya goli la leo alikuwa na njano 9 na goli 9
Lembu mkuuu mwepesi kuamini sana naw utaanza kunsifu pochi nene
 
Unadhani huwa sifuatili? Anakokota mipira sehemu ya kutoa pasi mpaka anapoteza mipira. Jamaa no takataka sana
Jackson ni takataka naunga mkono hoja anacheza kama anaumwa hana mabao yakumtambulisha kama mshambuliaji ni bahat bahati tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom