Kuna watu wanadai Pochettino asilalamikiwe
Pamoja na kwamba tulicheza vizuri ila bado anastahili lawama
Jukumu la kupanga kikosi ni la Kocha. Ningekuwa katika nafasi yake, nisingemlazimisha Enzo kucheza lakini badala yake, ningemchagua Sterling upande wa kushoto, Palmer katikati, na Madueke upande wa kulia. Mbali na hayo, kila kitu kingine kilikwenda sawa. Safu ya kiungo na mabeki ilionyesha kubalance na utulivu mkubwa, na mpito mpira ulikuwa bora sana kuliko hata Man city. Walakini, umaliziaji wa Jackson kama kawaida yake, ulikuwa ni janga kubwa.