Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Haya ndio mambo huwa tunayasema. Poch inabidi awaambie hawa wachezaji Palmer ndio mpigaj n 2nd taker ni madueke labda wao ndio waamue
Jackson ni mpuuzi hakuna haja kuonesha reaction ya vile Poor

Galagher leo ndio kasimama kama Captain- Good
Kuna mtangazaji amesema Jackson alikuwa anamzuia Madueke asimnyang'annye mpira Palmer, Ngoja tuonae replay
 
Nachukia hii hali ya kila mara penalti inagombewa. Mwisho wa siku watatwangana uwanjani hawa watoto wa Pochettino
Ni wajinga hao watoto,
Palmer ndiye alipaswa kupiga hiyo penati,
Kwan alipaswa aongeze Goal ili amfikie Haaland kwa idadi ya Goal 20
 
Wachukue kiatu cha mfungaji bora wampatie tu Palmer,
Nimekumbuka msimu mmoja hivi, mechi ya mwisho ndiyo ilikuwa inaamua bingwa wa Ligi kuu kati ya Chelsea na Man Utd.
Chelsea walikuwa na mechi na Wigan...ushindi wowote Chelsea bingwa, penalty ikapatikana then Drogba akaenda akachukua mpira ili apige kwa ajili ya kuwania kiatu cha mfungaji bora ila Lampard akamnyanganya akimwambia subiri kwanza tutafute ubingwa ndipo tuamie kwenye kiatu.
Baada ya dk 90, Chelsea 7 Wigan 0...Tukawa mabingwa.

Sasa badala ya Madueke kumsaidia Cole kutafuta Kiatu cha ufungaji, yeye anamvuta shati...Shenzi kabisa.
 
Ngoja nifafanue kuhusu ile penalti

Kwanza penalti ilitolewa kwa sababu ya Palmer kukanyangwa kisigino na beki wa Evrton, so sio kwa ajili ya faulu aliyofanyiwa Madueke au Jackson
Hii iko confirmed

Pili, nadfhani Jackson hakuwa anataka kupiga penalti bali alikuwa akimtetea Madueke apige hiyo penalti akidhani kuwa yeye ndie aliyefanyiwa faulu. Unamuona kabia Gallagher akimnyang'anya Madueke mpira halafu Jacksopn anajaribu kumnyang'anya Galagher mpira amrudishie Madueke.

Tukumbuke kuwa Madueke ndie mpiga penalti namba mbili baada ya Palmer

Magoli manne ya Palmer sasa yanamfanya alingane na Haaland kwa ufungaji na pia kumfanya awe ndie mchezaji mwenye mchango mkubwa (29G/A) kwenye EPL msimu huu hadi sasa

Pia hat trick ya Palmer imevunja rekodi kwa kupata hat trick mbili nyumbani kwenye msimu mmoja

1713216072314.png
 
Cole Palmer aliiambia Sky yeye ndiye mpigaji wa penalti wa Chelsea. "Wachezaji wengine walitaka kuchukua, mchezo ulikuwa 4-0, lakini mimi ndiye mpigaji wa penalti na nilitaka kupiga, labda mabishano yalikuwa juu kidogo, lakini kila mtu anataka kushinda na kusaidia timu. Baadaye, tulikuwa kucheka na kutania kuhusu hilo, lakini meneja amezungumza nasi kuhusu hilo pia."

Cole Palmer tells Sky he is Chelsea's penalty taker. "Other players wanted to take it. The game was 4-0, but I am the penalty taker and I wanted to take it. Maybe the argument was a bit over the top, but everyone wants to win and help. Afterwards, we were laughing and joking about it, but the manager has spoken to us about it."

1713216553649.png
 
Leo Gallagher alikuwa kwenye form
Caicedo ni masterclass
Pivot imefanya kazi kiasi japo sio kipimo kwa sababu Everton leo wamekuja kama wamelazimishwa kuja kucheza darajani
 
Pochettino on the penalty incident: “It’s a shame. I was telling the players when they arrive. We cannot behave this way. It is the last time we accept this type of behaviour. I made it clear today. To the fans and everyone - Cole Palmer is Chelsea’s penalty taker”

👍👍
 
Tulimuuza Havertz kwa pauni 65m
Tukamnunua Palmer kwa Pauni 45m
Wakamvunda Havertz sasa ana dhamani ya pauni 55m
Tukamvunda Palmer sasa ana dhamani ya pauni 100m

Wale wafanyabiashara wazoefu ebu tuambieni hapa nani kafanya biashara nzuri

1713217253337.png
 
Jackson anakasoro zake ila Kuna mda mnamkosea heshima mule kuna mchezaji ni vile tu bado ajawa na maamuzi sahihi katika wakat sahihi ila vitu vingine vyote uwanjan huwa anafanya kwa usahihi

Bila kusahau ana 10goal epl katika msim wake wa kwanza
Jackson ni takataka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom