HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,688
- 7,195
Ninatumai sana kwamba Pochettino atachagua safu hii dhidi ya Shefield United. Wacha tuweke vidole vyetu na tumaini kwamba itatokea!
View attachment 2956323
Sheffield ndiye njia yenu ya kumkaribia United na kuwania Europa. Mkikaza mnawatoa manyumbu pale.