juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Team kama sheffield inatupa presha😂😂
Zero control ya gameTimu la hovyo
Wachezaji hawakabi, hawawezi kuruka wala hawapress. Ni Silva tu anaweza kuruka. Nikisema wachezaji wafupi naambiwa sio sababu. Niambiwe ni mchezaji gani pale anayeweza kuruka. Goli la pili ni wazi mpira wa juu umetuuaTunaongoza ila hatuna control ya game
Potter aliweka foundation, brighton wameuza ila na wale walioletwa wengi wamekuwa na majeruhiKwa hiyo unataka kusema Potter ndiye aliisuka timu. Tutarudi pale pale
Mkuu hoja ya ufupi ni ya hovyoo.Wachezaji hawakabi, hawawezi kuruka wala hawapress. Ni Silva tu anaweza kuruka. Nikisema wachezaji wafupi naambiwa sio sababu. Niambiwe ni mchezaji gani pale anayeweza kuruka. Goli la pili ni wazi mpira wa juu umetuua
Hata kuruka kocha kawazuiaMkuu hoja ya ufupi ni ya hovyoo.
Poch kwenye swala kujilinda ameshindwa na swala la Kucontrol game ameshindwa
Hata wakat wa Lampard tulikuwa tunaona wachezaj ni wafupi n mabeli ni wabovu alipokuja Tuchel defens ilikaaa sawa na hilo linakuka swala la Coaching
hawez kuwa na influenc ya game kama upande wake alikuwa Madueke, na yeye kucheza zaidi no 10 au kwenda LWLeo Palmer hajatubeba
Sasa imagine tusingekuwa na Palmer Chelsea unadhani ingekuwa wapi kwenye table??😀😀😀😀😀😀
Mwenyewe umesema hawaruki,sasa ufupi unaingiaje hapo,au gori lilikuwa la kichwa?,Timu lako kiujumla bovu na sio linafungwa et sababu wachezaji wafupiWachezaji hawakabi, hawawezi kuruka wala hawapress. Ni Silva tu anaweza kuruka. Nikisema wachezaji wafupi naambiwa sio sababu. Niambiwe ni mchezaji gani pale anayeweza kuruka. Goli la pili ni wazi mpira wa juu umetuua
Coaching coaching mkuuHata kuruka kocha kawazuia
Sasa usilete swala la ufupi, ndo maana tukasema timu bovu linashindwa hata kuruka,chelsea imejifia inaboa hata kuiangalia mechi zakeHata kuruka kocha kawazuia