Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tunaongelea ushindi ila midfield yetu haieleweki kucheza na enzo na Caisedo ni tatizo kubwa hakuna anayelinda back four ,hakuna anayenusa hatari wote unawakuta mbele huko gape ni kubwa kati ya midfields na mabeki wa kati ,jibu ya haya yote ni LAVIA ambaye ni mgonjwa 24/7
Halafu kuna watu wanawalaumu akina Disasi japo wanastahili kidogo kwa sababu na wao ni wazito na hasa Badiashile
Tunatakiwa kuwa na DM aina ya akina Makelele au Michael Osien. Pia tuwe na experienced CB angalau mmoja wa kucheza na Disasi. Nampenda Disasi kwa sababu ya mentality aliyonayo. Akicheza na CB bora na yeyye atakuwa hot
 
Cheltako kwa penat
Ngoja akutane na Luton sasa kuchezesha tu wowowo
1712384921388.png
 
Halafu kuna watu wanawalaumu akina Disasi japo wanastahili kidogo kwa sababu na wao ni wazito na hasa Badiashile
Tunatakiwa kuwa na DM aina ya akina Makelele au Michael Osien. Pia tuwe na experienced CB angalau mmoja wa kucheza na Disasi. Nampenda Disasi kwa sababu ya mentality aliyonayo. Akicheza na CB bora na yeyye atakuwa hot
Ni kama tuna bahati mbaya Lavia ,nkunku,fofana wote hawa wangeongeza quality kubwa ya kikosi cha kwanza
 
Mimi naamini wachezaji waliobaki Chelsea wakati Mount anaondoka walijua in and out kwa nini Mount aliondoka. Pia naamini walimsihi abaki halafu yeye akaweka kiburi. Hii imedhihirishwa jana Enzo walivyorushiana maneno na Mount nadhani baada ya mechi

Kwa hivyo hivi ndivyo Enzo alivyombia Mount jana kwa kilugha chao

🚨 Enzo Fernandez kwa Mason Mount: "Hii ni Chelsea, huwezi kuwa, mwoga, mwoga, mwoga."

Per ESPN, Enzo Fernandez called Mason Mount a 'Cagon' after Chelsea's winning goal vs Manchester United - which translates to 'Coward' or 'Chicken'.

1712387303698.png

Picha hizi zinasema kitu
 
Kumbe kilichomkasirisha jana Cole Palmer ni hii
Manchester United fans chanted “City reject” towards Cole Palmer before he scored a hat-trick. [telegraph] #cfc

1712390520212.png
 
Kwa mpira wa sasa hao Dm hawana ishu
Halafu kuna watu wanawalaumu akina Disasi japo wanastahili kidogo kwa sababu na wao ni wazito na hasa Badiashile
Tunatakiwa kuwa na DM aina ya akina Makelele au Michael Osien. Pia tuwe na experienced CB angalau mmoja wa kucheza na Disasi. Nampenda Disasi kwa sababu ya mentality aliyonayo. Akicheza na CB bora na yeyye atakuwa hot
 
Tumetoutiana point 5 na Man Utd aliye nafasi ya 6. Kama tutashinda mechi ya Jumapili ugenini dhidi ya Sheffield tunabakisha point 2 huku tukiombea Man Utd apoteze dhidi ya Liverpool J2 hiyohiyo na hapo tutakua bado na kiporo cha mechi moja.

Maana yake ni kwamba nafasi ya kuingia top 6 bado ipo mkononi mwetu.
Ratiba inaweza ikawa inatubeba ila kiuhalisia hatuna uhakika.

Yani mpaka game iishe. katika game za kushinda ndio unakuta tunadraw o tunapoteza
 
Ratiba inaweza ikawa inatubeba ila kiuhalisia hatuna uhakika.

Yani mpaka game iishe. katika game za kushinda ndio unakuta tunadraw o tunapoteza
Kutokua na uhakika ndio mpira wenyewe. Ndio maana mwishoni nikasema ni swala la wachezaji na bench haya yapo mikononi mwao kutufurah8sha au kutukera
 
Ebu angalia mentality ya Enzo kuanzia alipoenda kuchukua mpira ghafla akagundua kuwa Palmer anaomba pasi na akampasia paap Nyumba kifo cha mende.

Baada ya hapo akamuendea Mount na kuanza kumtapikia kwa kikwao

'Cagon,' mara nyingi

Cagon ina maana ya 'Coward'/'Chicken-herated'. au Mwoga kwa Kiswahili

Ila Havertz mbona yeye hakufanyiwa kama Mount. Lazima Mount alikuwa na matatizo

Kuna matahaira watakwambia SAKA.
Na wameshakuja
  • Saka yuko kwenye timu bora kabisa,
  • Yuko chini ya kocha mzuri
  • Ana uzoefu wa kucheza pamoja kama timu na bado kapitwa na Palmer
  • Palmer yuko chini ya kocha mbovu kabisa
  • Yuko kwenye timu ya watoto na wageni karibia wote
  • Je hayo yakibadilika na kuwa bora itakuwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom