Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Takwimu za Kai alipokuwa Chelsea hazina tofauti yoyote na za sasahivi ambazo yupo Arsenal. Hivyo hana alichoboresha.

Alifunga goli la Ushindi fainali ya Champion League akawapa Kombe. Hivyo ameshadeliver ndani ya Chelsea.

Kwa arsenal hajawapa chochote mpaka muda huu.

Sasa kujifanya ameshadeliver ndani ya Arsenal hamuoni kuwa munajitekenya na kucheka wenyewe?
Ameshatupa winning goals za kwny mechi nyingi tu...lakini pia overall performance ame improve sana tofauti na alipokuwa kwa Makenge....hili hamtaki kukubali🤠🤠🤠....yule Kai alowafanya mumnunue kutoka Leverkusen ndo hyu ambaye ameanza kuonekana Arsenal...alikuwa anahitaji kucheza na mafundi tu Ili aoneshe kile alichokionesha kule Ujerumani...hiyo klabu yenu ni sehemu inayoongoza kwa kuua vipaji vya watu....na nilishawahi kutoa mifano ya wachezaji wengi ambao Sasa ni world class players ambao walipokuwepo hapo walionekana hamna kitu...mna mazingira mabovu ya kufanyia kazi na Hili ndo kimeanza kuonekana sasahivi
 
Jibu swali huyo Havert amekuwa tofauti kwa lipi tofauti na Havertz wa Chelsea

Performance wise...G/A mpk Sasa ni nzuri tofauti na alipokuwa kwenu Makenge...na hapa kacheza roles tofautitofauti...nyny ni waua vipaji pambafu kabisa....Enzo na Caicedo imekuwa kama midoli...
 
Mbona maneno mengi bila kwenda kwenye hoja?
Kwa nafasi yake alitakiwa awe kwenye 15-20
G/A ya 20+ ndipo tutasema kaimprove, hii ya kufunga goli moja zaidi ya Chelsea halafu unasema kaimprove ni kioja kioja tupu
 
Huenda uko sahihi. Je, unadhani aina ya uchezaji wa Palmer akiwa Arsenal chini ya Arteta utakuwa sawa na aina ya uchezaji wake akiwa Chelsea chini ya Poch?
Sidhai kama ungebadilika kwa sababu opponents ni wale wale. Mimi nadhani angeimarika zaidi kwa sababu ya flow ya uchezaji wa Arsenal ni bora zaidi ya Chelsea. Labda swali la msingi ni hii, je Palmer asingekuwa mpiga penalti angekuwa na G/A nzuri? au je tukiondoa penalti kwa Saka na Palmer nani ana none penalty G/A nzuri?
Bukayo Saka amepiga 5 na Palmer 8
 
Wa kwanza kudowngrade kwenye mpira timu inapocheza vibaya ni kocha. Ebu muangalie Dizerbi aliyekuwa anapambwa na sifa nyingi sasa mashabiki wengi wanamponda mara alikuwa very hyped

Pia angalia Tuchel wa Chelsea alivyopambwa sana kwa sababu ya kubeba UCL, ila sasa Tuchel wa Bayern Munich hana tofauti na Pochettino wa Chelsea ya sasa
 
Nadhani Palmer amefanya kitu kizuri mpaka kuaminiwa kuwa mpiga penalty. Hivyo sitatoa penalties zake. Kuna positions Palmer anajikuta yupo ambazo Saka kwa Arsenal haziingii hizo nafasi kwa sana.

Kuna lile goli la juzi juzi hapo ambalo Palmer alifunga baada ya kupenyezewa pasi ya kisigino na Sterling akiwa ana turn. Palmer aliingia ndani ya box maeneo ya katikati hivi akafunga bottom right corner.

Kumkuta Saka katika position ya hivyo huwa si rahisi maana opponents wanalazimisha tucheze kwa kutanua uwanja so kama siyo kwa kubadilishana na Martinelli, Saka huwa yuko pembeni zaidi upande wa kulia na wakimuacha aingie ndani ndipo anawaadhibu wapinzani.

Labda nakosea, ila naona Palmer ana uhuru zaidi kufanya roaming pale mbele akiwa Chelsea kuliko Saka akiwa Arsenal.
 
Recruitment recruitment recruitment brighton wakeuza wachezaji wazuri na walioletwa bado + injury

Bayern inamatatizo mengi na wala sio swala la Kocha
 
Ameshatupa winning goals za kwny mechi nyingi tu...lakini pia overall performance ame improve sana tofauti na alipokuwa kwa Makenge....hili hamtaki kukubali🤠🤠🤠....yule Kai alowafanya mumnunue kutoka Leverkusen ndo hyu ambaye ameanza kuonekana Arsenal...alikuwa anahitaji kucheza na mafundi tu Ili aoneshe kile alichokionesha kule Ujerumani...hiyo klabu yenu ni sehemu inayoongoza kwa kuua vipaji vya watu....na nilishawahi kutoa mifano ya wachezaji wengi ambao Sasa ni world class players ambao walipokuwepo hapo walionekana hamna kitu...mna mazingira mabovu ya kufanyia kazi na Hili ndo kimeanza kuonekana sasahivi

Yani nimekuambia Kai ameshinda goli la ushindi wa Kombe wewe unaleta habari za magoli ya ushindi wa Mechi?

Huna akili kabisa hata kwa Luton wachezaji wanafunga magoli ya ushindi wa mechi 🚮🚮
 
Jumlisha goli la UEFA na pauni mil 65 walizotupa Arsenal ni biashara nzuri sana, sisi tunahesabu faida wao wanahesabu vimatukio vya ajabu ajabu
Na wanaweza maliza ligi bila mafanikio yeyote
Wao kukaa main table na wakuu wa nchi wanaona ndio mafanikio
 
Nadhani Palmer amefanya kitu kizuri mpaka kuaminiwa kuwa mpiga penalty. Hivyo sitatoa penalties zake. Kuna positions Palmer anajikuta yupo ambazo Saka kwa Arsenal haziingii hizo nafasi kwa sana.

Kuna lile goli la juzi juzi hapo ambalo Palmer alifunga baada ya kupenyezewa pasi ya kisigino na Sterling akiwa ana turn. Palmer aliingia ndani ya box maeneo ya katikati hivi akafunga bottom right corner.

Kumkuta Saka katika position ya hivyo huwa si rahisi maana opponents wanalazimisha tucheze kwa kutanua uwanja so kama siyo kwa kubadilishana na Martinelli, Saka huwa yuko pembeni zaidi upande wa kulia na wakimuacha aingie ndani ndipo anawaadhibu wapinzani.

Labda nakosea, ila naona Palmer ana uhuru zaidi kufanya roaming pale mbele akiwa Chelsea kuliko Saka akiwa Arsenal.
Saka ni mzuri kwa mguu wa kushoto tu, akija kulia hataweza kucheza, tofauti na Palmer ambaye anatumia zote anacheza wide
 
Recruitment recruitment recruitment brighton wakeuza wachezaji wazuri na walioletwa bado + injury

Bayern inamatatizo mengi na wala sio swala la Kocha
Kwa hiyo unataka kusema Potter ndiye aliisuka timu. Tutarudi pale pale
 
Saka ni mzuri kwa mguu wa kushoto tu, akija kulia hataweza kucheza, tofauti na Palmer ambaye anatumia zote anacheza wide

jitahidi kuangalia mechi nzima na sio matukio peke yake.. palmer sikatai ni

mchezaji mzuri na mwenye kipaji ila tukizungumzia all-round play.. kwa kile kinachoonekana uwanjani na tukaacha ku base sana na stats ambazo wkt

mwingine hazina uhalisia kamili.. at present ,saka bado kamzidi palmer hususani kama wote wakiwa wanatokea wide.
 
Marc Cucurella:

"Sisi kidogo ni timu isiyo thabiti, lakini tunahitaji kuwa na utulivu na kushinda kila wiki.

"Tuna mchezo muhimu (leo) kwa sababu ikiwa hatutashinda basi pointi tatu (dhidi ya United) ni bure."
 
jitahidi kuangalia mechi nzima na sio matukio peke yake.. palmer sikatai ni

mchezaji mzuri na mwenye kipaji ila tukizungumzia all-round play.. kwa kile kinachoonekana uwanjani na tukaacha ku base sana na stats ambazo wkt

mwingine hazina uhalisia kamili.. saka bado kamzidi palmer hususani kama
wote wakiwa wanatokea wide.
Nakubaliana na wewe stats hazina uhalisia hasa kwa Palmer kwa sababu ni msimu wake wa kwanza, Saka ana misimu mitatu akicheza kwa kiwango kile kile. May be tumpe muda naye afikishe misimu angalau mitatu
 
Nakubali na wewe hazina uhalisia hasa kwa Palmer kwa sababu ni msimu wake wa kwanza, Saka ana misimu mitatu akicheza kwa kiwango kile kile. May be tumpe muda naye afikishe mismu angalau mitatu

yhaa! palmer ni kipaji kile na ana room ya ku improve.. pep nahis pia hajajiskia poa sana kuondoka kwake.
 
Ninatumai sana kwamba Pochettino atachagua safu hii dhidi ya Shefield United. Wacha tuweke vidole vyetu na tumaini kwamba itatokea!
1712483833675.png
 
Saka ni mzuri kwa mguu wa kushoto tu, akija kulia hataweza kucheza, tofauti na Palmer ambaye anatumia zote anacheza wide
Labda kama Palmer ni mzuri zaidi kwa mguu wa kulia kuliko Saka, lakini Saka yuko vizuri na mguu wa kulia pia, hasa kwenye shooting.
 
Dean Saunders:

“Bowen! Je, unaweza kumweka Bowen kwenye timu? Ningemweka Bowen kwenye kichwa cha Cole Palmer katika timu yoyote! Nampenda Bowen.”
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom