Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Coaching coaching mkuu
Angalia Arsenal wanvyodefend unahisi ni individual zile bali yote yanaanzia mazoezini na jinsi kocha alivyoisuka
Saliba na gabriel ni wachezaji wa kawaida tu lakini jinsi wanavyocheza ule muungniko ni hatari sijaona pale epl
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani nyie ni Makenge kwelikweli, jumatano tumewapea points3 za bure ili mjivutevute tukacheza wote Europa halafu leo eti mmegawa uroda kwa timu inayo buruza mkia, hii timu kwa sasa haina tofauti yoyote na wadangaji [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wana-Chelsea hongereni kwa kuwa wazalendo wa timu hii.

07/04/2024 baada tu ya kuangalia mpira Man U vs Liverpool leo niliondoka kujipumzikia home na familia sababu nilijua lazima Chelsea SC utanipatia BP isiyo na ulazima kimatokeo, kumbe ni kweli kabisa.

Pochetinho ni mid table EPL coach tukubali tukatae, tangu 28/10/2023 tupokee kichapo 2-0 kwa Brentford nilisusa kabisa kuteseka kwa kubinya korodani kwenye vibanda umiza ili Chelsea SC ishinde lakini nilikuwa natwanga maji tu kwenye kinu sababu Bodi ya Chelsea SC imechukua Dereva wa bajaji (kocha mdogo kiuwezo) ikamkabidhi fuso mpya (Chelsea SC yenye Wachezaji wapya) inayohitaji Dereva mbobevu na mkubwa kiuwezo (Kocha mwenye mafanikio toka klabu kubwa) duniani.

Tuendelee kuugulia maumivu Wana-Chelsea maana bodi haijitambui kwa kutokuwa na chaguo sahihi la Kocha na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

Muhimu tusife na tai shingoni maana starehe ni nyingi sana zaidi ya football pekee, see you next time the Blues fans if the God wishes.
 
Angalia tulivyozidiwa

MASHUTI:

Sheffield United - 11 - Chelsea -6

MASHUTI KWENDA GOLINI:

Sheffield United - 6 - Chelsea - 3

NAFASI KUBWA ZILIZOTENGENEZWA:

Sheffield United- 3 - Chelsea - 1

MASHUTI NDANI YA BOX:

Sheffield United - 8 - Chelsea - 3

MIPIRA YA JUU ZILIZOFANIKIWA:

Sheffield United - 55 - Chelsea - 47

KONA

Sheffield United - 7 - Chelsea - 6
Tuendelee kuwalaumu wachezaji 😂😂😂😂😂😂 kama mnavyotaka
 
Wana-Chelsea hongereni kwa kuwa wazalendo wa timu hii.

07/04/2024 baada tu ya kuangalia mpira Man U vs Liverpool leo niliondoka kujipumzikia home na familia sababu nilijua lazima Chelsea SC utanipatia BP isiyo na ulazima kimatokeo, kumbe ni kweli kabisa.

Pochetinho ni mid table EPL coach tukubali tukatae, tangu 28/10/2024 tupokee kichapo 2-0 kwa Brentford nilisusa kabisa kuteseka kwa kubinya korodani kwenye vibanda umiza ili Chelsea SC ishinde lakini nilikuwa natwanga maji tu kwenye kinu sababu Bodi ya Chelsea SC imechukua Dereva wa bajaji (kocha mdogo kiuwezo) ikamkabidhi fuso mpya (Chelsea SC yenye Wachezaji wapya) inayohitaji Dereva mbobevu na mkubwa kiuwezo (Kocha mwenye mafanikio toka klabu kubwa) duniani.

Tuendelee kuugulia maumivu Wana-Chelsea maana bodi haijitambui kwa kutokuwa na chaguo sahihi la Kocha na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

Muhimu tusife na tai shingoni maana starehe ni nyingi sana zaidi ya football pekee, see you next time the Blues fans if the God wishes.
Unamaanisha 28/10/2023 maan hiyo yako haijafika bado
 
Tuendelee kuwalaumu wachezaji 😂😂😂😂😂😂 kama mnavyotaka
Issue hapa tujiulize, kwa nini wachezaji wanachoka haraka na kukata breki?
Hayo mazoezi au kuna jambo jingine wanafanya huko Conham?
 
Mkuu hoja ya ufupi ni ya hovyoo.

Poch kwenye swala kujilinda ameshindwa na swala la Kucontrol game ameshindwa

Hata wakat wa Lampard tulikuwa tunaona wachezaj ni wafupi n mabeli ni wabovu alipokuja Tuchel defens ilikaaa sawa na hilo linakuka swala la Coaching
Mkuu hoja ya ufupi nilichomeka tu ila kocha anaonyesha kabisa ameishindwa hii squad
Angalia hata anavyoreact wakati wachezaji wanacheza hovyo
Angalia maamuzi ya kumuweka Palmer kushoto ilivyoadhiri ile rekodi yake
Angalia wachezaji wengi walichoka lakini sub inakuja kufanyika too late
Alipoulizwa kuhusu Badiashile akasema "Rested"
Maana yake ataanza tukicheza na Everton ili atuchome tena
 
Tuendelee kuwalaumu wachezaji 😂😂😂😂😂😂 kama mnavyotaka
Lakini hapo sijalaumu wachezaji na sijawahi kuwalaumu wachezaji, mimi naamini wachezaji wanafuata wanachofundishwa na kuelekezwa na kocha, inaposhindikana maana yake aidha walishindwa kumuelewa au mafunzo na maelekezo ni duni
 
Pochettino:
"Mchakato daima huchukua muda. Si jambo la uchawi. Ni mradi, mchakato wa miaka mitatu (3) au mitano (5) kujenga timu”

Kwa hiyo tusubiri hadi miaka mitano, ana kicha a huyu nini!

Bado anahubiri bila kuchoka na kufanya juhudi kubwa kutugeuza sote kuwa waumini waaminifu wa mafundisho na falsafa zake za uwongo. Lo, utani ulioje!

1712518075268.png
 
Pochettino: "At 52-years-old, you identify really quick whether the team is ready to compete or not. Maybe this group is not mature enough to compete in games every three days.

😂😂😂😂 sahiv hoja imekuwq kila baada ya siku 3 wakat kunawakat tumecheza mara 1 kila baada ya wiki na sasa hiv. Na bado matokeo yalikuwa poor

Fikiria kama tungekuwa tunacheza uefq😂😂😂 hizi kauli ni kama zile za Lampard. Ila alipkuja Tuchel tukabeba kombe
 
"Sawa game imeisha 2-2, ila mmeiona assist ya Cold Palmer? "

Alisikika KENGE
 
Issue hapa tujiulize, kwa nini wachezaji wanachoka haraka na kukata breki?
Hayo mazoezi au kuna jambo jingine wanafanya huko Conham?
Sijasemq kwa ajili yako ila nimesema kwa wale wa Watu wanaohisi Wachezaj ndio shida
 
Kama angekuwa ni Rudiger, McBurnie asingeugusa ule mpira. Premier League inahitaji mabeki wakatili.

Sisemi kwamba Badiashile lazima awe kama Rudiger, bali tu kwamba mkatili hawezi ruhusu hilo kutokea. Hata kama ni mfupi, shindania tu mpira na kumkosesha raha. Ikibidi cheza rafu.

Martinez wa Man United ni mfupi, lakini hafanyi hivyo kwa urahisi kwa McBurnie. Kwangu mimi naona tunakosa ukatili huko nyuma. Ni Fofana pekee ndie mkatili lakini yuko hospitali. Thiago anaondoka. Natumaini tutafanya usajili sahihi.

1712524178272.png
 
Mauricio Pochettino adai kuwa kikosi cha vijana cha Chelsea hakijazoea ratiba ya EPL iliyosongamana.

"Ukiwa na umri wa miaka 52, unatambua kwa haraka kama timu iko tayari kushindana au la. Labda kundi hili halijakomaa vya kutosha kushindana katika michezo kila baada ya siku tatu...

"Ni timu mpya na bado tunajifunza kuhusu wasifu wao. Mchakato siku zote huchukua muda, sio jambo la ajabu ni mradi, mchakato wa miaka mitatu au mitano wa kujenga timu...

"Tuko katika nusu fainali ya Kombe la FA. Hatukuwa katika nafasi nzuri mwanzoni, lakini hiyo ni kawaida. Tunatakiwa kukubali sasa na kufanya kazi kujaribu kurekebisha matatizo yetu."

Juzi alisema ni majeruhi, leo timu haiwezi kucheza kila baada ya siku 3, kesho sijui atakuja na sababu ipi
Mlalamikaji sana huyu kocha, hiyo inatosha kujua picha yake halisi ya moyoni. Hayuko tayari kupambana bali kutoa visingizio tu

Hivi makocha wengine wanalalamika hivi kweli?
 
Tumefungwa mabao 21 katika mechi 22 chini ya Potter na mabadiliko pekee ya ulinzi ambayo tumefanya ni kumuuza Koulibaly ambaye amefanya makosa makubwa kuliko Disasi. - Nafasi zingine hazijabadilika.

Chini ya Pochettino tumeruhusu mabao 52 katika mechi 30 za ligi. Mtu anaelezeaje kuwa hii sio shida ya kocha?

Je, ni nani mpangaji mkuu wa safu hii ya ulinzi? Defense inavuja sana kuliko meli inayozama! Ni kama mabeki wana ushindani wa siri kuona nani anaweza kufanya makosa mengi zaidi. janga hili la ulinzi ni bora kuliko onyesho lolote la vichekesho huko duniani!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tatizo la Chelsea lilianza baada ya kumuajiri muhasibu wa kihindi Sanjay Pochettino Kumar awe ndio kocha wa timu.
Kwa huyo kocha wenu mkitaka mfanikiwe ibadilisheni hiyo timu yenu iwe ni timu ya Cricket halafu mtakuja kunishukuru baadae[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mauricio Pochettino adai kuwa kikosi cha vijana cha Chelsea hakijazoea ratiba ya EPL iliyosongamana.

"Ukiwa na umri wa miaka 52, unatambua kwa haraka kama timu iko tayari kushindana au la. Labda kundi hili halijakomaa vya kutosha kushindana katika michezo kila baada ya siku tatu...

"Ni timu mpya na bado tunajifunza kuhusu wasifu wao. Mchakato siku zote huchukua muda, sio jambo la ajabu ni mradi, mchakato wa miaka mitatu au mitano wa kujenga timu...

"Tuko katika nusu fainali ya Kombe la FA. Hatukuwa katika nafasi nzuri mwanzoni, lakini hiyo ni kawaida. Tunatakiwa kukubali sasa na kufanya kazi kujaribu kurekebisha matatizo yetu."

Juzi alisema ni majeruhi, leo timu haiwezi kucheza kila baada ya siku 3, kesho sijui atakuja na sababu ipi
Mlalamikaji sana huyu kocha, hiyo inatosha kujua picha yake halisi ya moyoni. Hayuko tayari kupambana bali kutoa visingizio tu

Hivi makocha wengine wanalalamika hivi kweli?
Na hapo ndio hatupo kweny michuano ya ulaya

Wakat 80% ya mechi msim huu tumecheza mara moja kwa wiki na bado matokeo yako vibaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom