Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,884
lol bado sijaanza kununua naona bei kubwa nasubiri mpaka ijumaa nadhani wachezaji watashuka bei.bado wameweka bei za last season.
...naaaam, tunasubiria 'bei ya jioni!' tena raha yake unapata na nyongeza humo humo.
...nyie Chelski furaha yenu ya bure, Charity shield nuksi! 'ukishalitwaa' hilo hubahatiki kubeba kombe la EPL wala UEFA CL...