Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na kubebwa kote na penati wameshindwa
 
asante mkuu Peasant and Invisible...niekuwa na wakati mzuri as if niko kwenye luninga natazama hii mechi
 
Chelseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeea 4-1
Raha sana yani...

Wacha nifurahie kimtindo... teh teh teh...!

Namkumbuka sana Icadon... Mida hii atakuwa yupo kanuna si kawaida teh teh teh teh

Peasant, pamoja mkuu!

Mpita Njia na Kigogo, tufurahi pamoja wakuu!

MTM, wacha tuanze msimu kwa raha mkuu.

BaK, Pamoja kamanda wangu

Teh teh teh teh
 
Viva la chelsea, tunajipongeza kwa ushindi wa leo na kuonyesha kweli tumedhamiria kuchukua vikombe vyote msimu huu.

Cheeeeerzzzzz
 
teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na kubebwa kote na penati wameshindwa

da ebwana ulikuwa unaangali mpira wa temeke nini? Nani kabebwa? bwa! ha! ha!

Au ndio mambo ya kusikiliza BBC Radio...he he he
 
Asanteni sana wote mliojitahidi kutuletea mpambano huu live kupitia Jamii tunashukulu sana hata sisi tulio Gamboshi tumefuatilia kwa umakini na ukaribu sana asanteni.
 
Asanteni sana wote mliojitahidi kutuletea mpambano huu live kupitia Jamii tunashukulu sana hata sisi tulio Gamboshi tumefuatilia kwa umakini na ukaribu sana asanteni.
progress.gif
 
Hongereni watani kwa kuchukua kombe lenu la kwanza na la mwisho la msimu huu.

**Naona washabiki wa Arsenal na Liverpool walijoin forces dhidi ya Manchester United hehehehehe.
 
Hongereni watani kwa kuchukua kombe lenu la kwanza na la mwisho la msimu huu.

**Naona washabiki wa Arsenal na Liverpool walijoin forces dhidi ya Manchester United hehehehehe.
hakuna forces ziliungana sie tulikuwa tumetulia tuna enjoy kuangalia weakness za timu zote mbili na tumeziona nyingi mno kiasi cha kwamba matumaini makubwa tunayo hapa emirates.
 
hakuna forces ziliungana sie tulikuwa tumetulia tuna enjoy kuangalia weakness za timu zote mbili na tumeziona nyingi mno kiasi cha kwamba matumaini makubwa tunayo hapa emirates.

Yani leo washabiki wote wa Chelsea watatokea, watu kama akina Peasant, AljuniorTZ etc etc.

vipi ushaanza kununua wachezaji kwenye Fantasy League kule?
 
Yani leo washabiki wote wa Chelsea watatokea, watu kama akina Peasant, AljuniorTZ etc etc.

vipi ushaanza kununua wachezaji kwenye Fantasy League kule?
lol bado sijaanza kununua naona bei kubwa nasubiri mpaka ijumaa nadhani wachezaji watashuka bei.bado wameweka bei za last season.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom