Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
sasa kwenye mikwaju ndio foster anatoka from zero to hero.
mmebahatisha kiukweli...
Mwenye nia njema aniPM penalt shout out naenda Pub!
Dakika ya 90 Rooney anasawazisha
Mwenye nia njema aniPM penalt shout out naenda Pub!
... Au wamebebwa vile vile, bila shaka belo anaweza kubeba kombe!!!
Mmebahatisha kiukweli...
Jamani hizo pen bado hazijaanza?
HahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaSio ya 90, sema 93!
3-1 kwa chelsea mpaka sasa, second save by Chech
manure kakosa babu giggs, lampard kachoma ndani, balaack ndaye ndani, 2-0