Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndugu kuna wakati uwe na brake. Timu za Championship zinacheza Futsol au Judo?

Kumuongelea mtu unayemchukia kila wakati ni kujiongezea magonjwa ya moyo mwenyewe. Ona vitu unavyo andika
Unahis kucheza against championship club na ushinde unaweza jitapa mbele za watu?? A championship club kutufunga hiyo ni story kuliko sisi kupata ushindi ni kama routine vile.

Semi final tuko na City hapo ndio real test

FYI, Sina chuki na Poch akifanya vizuri nitampongeza akifanya vibaya nitamkanda

Kama yeye anavyojiaminisha kwa mashabiki ila anasahau kwamba mashabiki ukiwapa wanachokitaka utakuwa nao upande wako

Angalia Bond ya Tuchel na Mashabaki, Jose na mashabiki, Conte na mashabiki angalia bond walizonazo na mashabiki unahisi zililitwa kwa maneno sijui nimeenda wembley .
 
Tujadiliane kidogo wakuu wanasema hii ni project
Hivi inakuwaje atuwapi nafasi vijana wetu kutoka academy? Waanze kukomaa taratitib taratib
Tunavijana wazuri wakina Tyrique George, Deivid Washngton,Kiano Dyer,Achaempong,Ollie Harison etc

Huku kwenye mkopo tuna Omar Hutchnson anafanya vizuri sana pale Ipswich, Angel pale strasbourg

Kipi kinatufanya tusiwape nafasi hawa watoto hata mara moja moja esp wale wa academy

Tuna academy bora ulaya kipi kinatufanya tushindwe kuwaingiza kwenye seniour team taratibu,

Kuna madogo tukiwapa nafasi hapo naamini tutaokoa hela zaidi kwenye usajil

Man utd msim uliopita walimpa nafasi Garnacho n msim huu matokeo yanaanza onekana, Maino msim huu

Liver wamewapa Bradley,Quansah,Clark

City taratibu wanamuingiza Oscar Bob kwenye kikosi chao

Sisi tunashida gani? Wakat tuna academy nzuri
 
Kocha popoma lililoshauriana na bodi kumrudisha Casadei. Halafu hachezi
Kocha lililokariri sub ni Mudryk wakati kuna chezaji linazurura uwanjani na kibyongo
Kocha linaloamini kwenda Wembley ni achievement kwa timu kama Chelsea
Kocha lisiloweza kusoma mchezo na kukemea wachezaji waache utoto uwanjani
Sasa hapa ndugu kichwa panzi hii ukiipatia watoto wa academy ni championships moja kwa moja
 
Tujadiliane kidogo wakuu wanasema hii ni project
Hivi inakuwaje atuwapi nafasi vijana wetu kutoka academy? Waanze kukomaa taratitib taratib
Tunavijana wazuri wakina Tyrique George, Deivid Washngton,Kiano Dyer,Achaempong,Ollie Harison etc

Huku kwenye mkopo tuna Omar Hutchnson anafanya vizuri sana pale Ipswich, Angel pale strasbourg

Kipi kinatufanya tusiwape nafasi hawa watoto hata mara moja moja esp wale wa academy

Tuna academy bora ulaya kipi kinatufanya tushindwe kuwaingiza kwenye seniour team taratibu,

Kuna madogo tukiwapa nafasi hapo naamini tutaokoa hela zaidi kwenye usajil

Man utd msim uliopita walimpa nafasi Garnacho n msim huu matokeo yanaanza onekana, Maino msim huu

Liver wamewapa Bradley,Quansah,Clark

City taratibu wanamuingiza Oscar Bob kwenye kikosi chao

Sisi tunashida gani? Wakat tuna academy nzuri
Kwa maoni yangu wale walioko kwenye mkopo na wanafanya vizuri sina shida nao, nao ni sehemu ya mradi
Mimi nina shida na hawa walioko chini ya Pochettino, wa first team na wale wa development team na academy. Kama ulivyosema hakuna mpango hata kidogo ya kuwapa nafasi hao vijana hata wakati ule majeruhi ni 12/13
Huku matajiri bado wako addicted kununua watoto na kuwajaza academy huku hakuna plan ya kuwaendeeleza na sheria sasa hivi ya mkopo imebana sio kama wakati ule wa Roman Empire
 
Bao la Chukwuemeka Cole Palmer Akitoa assist katika mechi ya FA CUP dhidi ya Leicester City bao la ajabu na asisti nzuri sana

Kama kuna watu wanasema dirisha lililopita lilikuwa baya basi wao ndio wabaya
Kosa la matajiri wapya ni kuwa na sera ya kutosajili wachezaji zaidi ya 25yrs ila kwa hawa makinda, tutakuja kuelewa huu usajili ndani ya miaka miwili au mitatu ijayo
Uhamisho mzuri sana chini ya umiliki mpya wa Chelsea.
Wachezaji wote ambao tayari wako wanafanya vizuri au bila shaka watafanya vizuri juu ya matarajio ya ada zao ya uhamisho.
  1. Cole Palmer — £42m
  2. Nicolas Jackson — £32m
  3. Noni Madueke — £29m
  4. Malo Gusto — £27m
  5. Lesley Ugochukwu — £23.1m
  6. Carney Chukwuemeka — £20m
  7. Kendry Páez — £17m
  8. Djordje Petrovic — £14m
  9. Ângelo Gabriel— £13m
  10. Andrey Santos — £13m
  11. Cesare Casadei —£12.6m
  12. David Datro Fofana —£10.6m
  13. Hutchinson — £0m
  14. Levi Colwill — £0m
 
Chelsea fc ya Blueco ni Project UCHWARA na KITAPELI.

1. Wakurugenzi - Ovyo
2. Kocha - Kilaza
3. Wachezaji - Mazagazaga
4. Mashabiki - Sumu

"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
Mashabiki na wachezaji wanaingiaje kwenye swala la academy kupata dakika?
 
Kama kuna watu wanasema dirisha lililopita lilikuwa baya basi wao ndio wabaya
Kosa la matajiri wapya ni kuwa na sera ya kutosajili wachezaji zaidi ya 25yrs ila kwa hawa makinda, tutakuja kuelewa huu usajili ndani ya miaka miwili au mitatu ijayo
Uhamisho mzuri sana chini ya umiliki mpya wa Chelsea.
Wachezaji wote ambao tayari wako wanafanya vizuri au bila shaka watafanya vizuri juu ya matarajio ya ada zao ya uhamisho.
  1. Cole Palmer — £42m
  2. Nicolas Jackson — £32m
  3. Noni Madueke — £29m
  4. Malo Gusto — £27m
  5. Lesley Ugochukwu — £23.1m
  6. Carney Chukwuemeka — £20m
  7. Kendry Páez — £17m
  8. Djordje Petrovic — £14m
  9. Ângelo Gabriel— £13m
  10. Andrey Santos — £13m
  11. Cesare Casadei —£12.6m
  12. David Datro Fofana —£10.6m
  13. Hutchinson — £0m
  14. Levi Colwill — £0m
Lesley Ugochukwu ndio sioni akitoboa kabisa hapo naona anatalend ndogo huwezi ukawa no 6 alafu hauna uwezo wa kukaba Mzuri akiwa na mpira but sio Mzuri kwenye ukubaji
 
Mashabiki huwa wanatema sumu kali pale kocha anapo poteza mechi, hivyo kocha anaogopa kurisk kuwapanga academy, bora awapange ma seniors apate matokeo.

Na THE BLUES sio club ya kuwapa academy players air time. Ni club ya matokeo sio kukuza vipaji.

Only Lampard ndio alijaribu hilo baada ya kupigwa burn ya usajili.
umemiss point

Nafasi sio kupewa ghafla tu, unawaingiza taratibu kwenye team kuna game unaweza ukawa unaongoza zaidi ya goal 3 unawapa nafasi madogo hicho

Hao masenior ni hata kama unawachezesha nje ya nafas zao nabado ukafungwa 4 kipi ni bora?

Angalia jinsi Sarri alivyokuwa anawaingiza Odoi na Loftus cheek kwenye team hakuna pressure yoyote Hicho ndio nachozungumzia
 
Unahis kucheza against championship club na ushinde unaweza jitapa mbele za watu?? A championship club kutufunga hiyo ni story kuliko sisi kupata ushindi ni kama routine vile.

Semi final tuko na City hapo ndio real test

FYI, Sina chuki na Poch akifanya vizuri nitampongeza akifanya vibaya nitamkanda

Kama yeye anavyojiaminisha kwa mashabiki ila anasahau kwamba mashabiki ukiwapa wanachokitaka utakuwa nao upande wako

Angalia Bond ya Tuchel na Mashabaki, Jose na mashabiki, Conte na mashabiki angalia bond walizonazo na mashabiki unahisi zililitwa kwa maneno sijui nimeenda wembley .
unaweza niambia ni sehemu gani kajitapa? Nadhani una mis interpret maneno na kuhisi kuna ujivuni hiyo inatokana na chuki.

BTW pia sijawahi kuona unamsifia kama hapo ulivyosema.

Paragraph ya pili kutoka mwisho na ya mwisho sijaelewa mantiki yake. Mi nadhani anafanya kazi yake ni sisi mashabiki ndio tuna wajibu wa kuelewa kilichopo na sio kocha afanye wanachotaka mashabiki. What a NONSENSE
 
Tujadiliane kidogo wakuu wanasema hii ni project
Hivi inakuwaje atuwapi nafasi vijana wetu kutoka academy? Waanze kukomaa taratitib taratib
Tunavijana wazuri wakina Tyrique George, Deivid Washngton,Kiano Dyer,Achaempong,Ollie Harison etc

Huku kwenye mkopo tuna Omar Hutchnson anafanya vizuri sana pale Ipswich, Angel pale strasbourg

Kipi kinatufanya tusiwape nafasi hawa watoto hata mara moja moja esp wale wa academy

Tuna academy bora ulaya kipi kinatufanya tushindwe kuwaingiza kwenye seniour team taratibu,

Kuna madogo tukiwapa nafasi hapo naamini tutaokoa hela zaidi kwenye usajil

Man utd msim uliopita walimpa nafasi Garnacho n msim huu matokeo yanaanza onekana, Maino msim huu

Liver wamewapa Bradley,Quansah,Clark

City taratibu wanamuingiza Oscar Bob kwenye kikosi chao

Sisi tunashida gani? Wakat tuna academy nzuri
hao wachezaji wa kununuliwa tu wanapangwa daily na leo tuko nafasi ya 10, FA semi final ya kimazabe. Wakipangwa madogo si ndio hali itakua mbaya zaidi. Yan hata ikitokea wanapewa dakika chache bado hatutakua salama kwa sababu bado hatuna 1st inayoeleweka.

Lakini pia tusisahau aliwahi kumpanga Alfie Gilchrist mwingine simkumbuki. Nadhani kwa msimu huu hawa watoto watuache kwamza bado tunajipanga.
 
20240319_104405.jpg
 
unaweza niambia ni sehemu gani kajitapa? Nadhani una mis interpret maneno na kuhisi kuna ujivuni hiyo inatokana na chuki.

BTW pia sijawahi kuona unamsifia kama hapo ulivyosema.

Paragraph ya pili kutoka mwisho na ya mwisho sijaelewa mantiki yake. Mi nadhani anafanya kazi yake ni sisi mashabiki ndio tuna wajibu wa kuelewa kilichopo na sio kocha afanye wanachotaka mashabiki. What a NONSENSE
Kajitapa sana huyo kilaza wenu, kwenda Wembley mara mbili sasa kwenye press huko hatulali, anajisifia ndio mafanikio makubwa kwake. Anaifananisha Chelsea na Soton. Katamba tena sana mkuu labda wewe hufuatiliagi Press Conference zake
 
Unashangaa academic players hawapewei nafasi ya kucheza, mbona hushangai wamiliki kununua wachezaji wengi wadogo ili hali wanapatikana academic yetu?

Upi mustakabali academic players wetu?
Mimi namsubiri tu Kendry Paez akija sijui Poche atamtendaje??
 
unaweza niambia ni sehemu gani kajitapa? Nadhani una mis interpret maneno na kuhisi kuna ujivuni hiyo inatokana na chuki.

BTW pia sijawahi kuona unamsifia kama hapo ulivyosema.

Paragraph ya pili kutoka mwisho na ya mwisho sijaelewa mantiki yake. Mi nadhani anafanya kazi yake ni sisi mashabiki ndio tuna wajibu wa kuelewa kilichopo na sio kocha afanye wanachotaka mashabiki. What a NONSENSE
 
Attachments

  • IMG_2323.jpeg
    IMG_2323.jpeg
    868.1 KB · Views: 11

Similar Discussions

Back
Top Bottom