Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nadhani hii project ni big failure ,hapa hatutoboi wazee
Kwanza hizi young talents zote nahisi zitafubaa kabla ya kung'aa
Na huyu mashavu ya paka Poch

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
mbona hata hatujawahi kuona wakicheza, sasa wamekuaje mbarara na hawajawahi kucheza?
Hao kumbe ndio wanasabisha chelsea haifanyi viziri eeh?
Nimeqmini jamaa hafatiliii mchezaj yupo u21,u20 wengine wametolewa kwa mkopo na wanafanya vizuri ila yeye anakwambia wako hovyo

Mchezaj km Kendry Paez anamiaka 16 ila ashaitwa team ya taifa na sasa kaitwa tena halaf huku kuna mtu kashiba zake maharage anakwambia ni mchezaj wa hovyo.
FYI, Paez atajiunga na chelsea mwakan akitimiza miaka 18

Kingine ulizia best player u18. South America utakutana na jina lake pale kweny top 5
 
Sasa chief binafsi huwa nalalamikia sajili za wachezaji injuries wanaokula mshahara bure, ujinga anaofanya paparazi, uchanga wa kikosi na maamuzi ya ovyo ya kiutendaji yanayofanywa na wamiliki wa timu.

Chelsea fc ya Blueco ni Project UCHWARA na KITAPELI.

1. Wakurugenzi - Ovyo
2. Kocha - Kilaza
3. Wachezaji - Mazagazaga
4. Mashabiki - Sumu

"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
We jamaa hujui unachokiandika umetaja wachezaj ambao huwafatilii unaanza lalamika

Fatilia hao wachezaji huko walipo wanafanya nini
 
Nimeqmini jamaa hafatiliii mchezaj yupo u21,u20 wengine wametolewa kwa mkopo na wanafanya vizuri ila yeye anakwambia wako hovyo

Mchezaj km Kendry Paez anamiaka 16 ila ashaitwa team ya taifa na sasa kaitwa tena halaf huku kuna mtu kashiba zake maharage anakwambia ni mchezaj wa hovyo.
FYI, Paez atajiunga na chelsea mwakan akitimiza miaka 18

Kingine ulizia best player u18. South America utakutana na jina lake pale kweny top 5
Yaani Kendry Paez anatakiwa aje timu imekomaa na Poche kaondoka
Yule ni mchezaji wa level ya Balondor, siamini hata kama akija Chelsea atadumu
Level yake akiwa na miaka 16 ni ya timu ya kwanza
Angekuwa Liverpool Klopp angempanga kila leo
Angekuwa Barcelona Xavi angempanga kila mechi
Ila akija kwa Poche hatamuweka hata Benchi
Pumbaf
 
Barua ya CST iliyotolewa kwa ChelseaFC tarehe 8.3.24.

Hali ya supporters iko chini kabisa, mara mwisho kuwa chini kiasi hiki ilikuwa ni miaka ya 1980. Hali hii duni imesababishwa na ukosefu wa mwelekeo/mawasiliano kutoka kwa bodi.

Kukosekana kwa ushirikiano na mashabiki wengi kunaweza kusababisha sumu isiyoweza kutenduliwa.

Ongezeko lolote kubwa la £ kwa wafuasi litakuwa jambo lisilo la busara.

1711032419144.png

1711033796023.png
 
Chelsea wako karibu kupewa adhabu ‘kali’ ya Ligi Kuu ya England.
Tukipokonywa point 15 tunakuwa wapi kwenye table wandugu
Sasa tuna 39
Tukitoa 15 baki 24
 
Matt Law yuko kwenye utume wa kipekee kusababisha mgawanyiko na utengano kwa mashabiki ambao tayari wamegawanyika.
Tusimruhusu.
Je hujagundua kuwa hakuna story yake hata moja juu yetu ambayo ni chanya na huwekwa kimkakati kila wakati. Wachezaji wanahitaji sapoti yetu kwa uhakika kwa sababu tuna mambo ya kucheza kwa msimu huu.
juan david ni mshabiki sana wa Mat Law, uwe makini naye

View: https://twitter.com/ElliotGCFC/status/1770805411106484288
 
Huyu jamaani shabiki wa Villa vile vile ni tier 1 Kwenye habar zetu za usajil.

Kuna hbr ukiona tu unajua hii ni ya chuki na jamaa mara nyingi huwa anaonekan wkt hatufany vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom