Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

we need to enjoy and we need to trust more

Unataka kusema hii ndio kauli ya kujitapa? Hapana huu ni ujumbe kwenu msiwe na haraka na kila kitu kinachukua muda kukamilika. Ndio maana nikasema una mis enterpret maneno yake.
 
Pochettino kuhusu kwa nini alimtoa Mudryk:
"Nilimwona Mudryk, tulimchambua na alikuwa amechoka.
Alikuwa akifanya mazoezi ya kunyoosha na tulidhani hatamaliza mchezo. Tuliamua kwenda kwanza kwa Mudryk na kisha Raheem."
 
we need to enjoy and we need to trust more

Unataka kusema hii ndio kauli ya kujitapa? Hapana huu ni ujumbe kwenu msiwe na haraka na kila kitu kinachukua muda kukamilika. Ndio maana nikasema una mis enterpret maneno yake.
Kwa hiyo mkuu kwenye press conference yake yote baada ya kumfunga Leicester city umeona huo mstari mmoja tu
 
Mauricio Pochettino kwa kutinga nusu fainali ya Kombe la FA na kutoridhika kwa mashabiki.

"Ni jambo kubwa kucheza Wembley tena kwa mara ya pili msimu huu. Sisi ni [kikosi] cha karibu. Mashabiki wanahitaji kutuiamini. Niko hapa kwa sababu wamiliki wana imani nami."
1710871490373.png
 
we need to enjoy and we need to trust more

Unataka kusema hii ndio kauli ya kujitapa? Hapana huu ni ujumbe kwenu msiwe na haraka na kila kitu kinachukua muda kukamilika. Ndio maana nikasema una mis enterpret maneno yake.
Mauricio Pochettino kwa kutinga nusu fainali ya Kombe la FA na kutoridhika kwa mashabiki.

"Ni jambo kubwa kucheza Wembley tena kwa mara ya pili msimu huu. Sisi ni [kikosi] cha karibu. Mashabiki wanahitaji kutuiamini. Niko hapa kwa sababu wamiliki wana imani nami."
View attachment 2939315
 
we need to enjoy and we need to trust more

Unataka kusema hii ndio kauli ya kujitapa? Hapana huu ni ujumbe kwenu msiwe na haraka na kila kitu kinachukua muda kukamilika. Ndio maana nikasema una mis enterpret maneno yake.
Mkuu we ushakuwa na mawazo kila post yangu au ya lembu unahisi watu wanachuki kila wanapomzungumzia kocha wako

Vitu vingine viko wazi ila kwa kuwa unahisi ni chuki okay,
Tufunge huu mjadala maana nitakachoongea mimi utahisi ni chuki
 
Tangia umeanza kuishabikia THE BLUES makocha wangapi wameliwahi kuwapa nafasi academic players?

Umemtaji Sarri na Lampard, makocha wengine?
Kila kocha alikuwa anawapa baadhi ya wachezaj (FA n Carling Cup wakat huo )japo wapo ambao baadae walitolewa kwa mkopo na ndio ukawa mwisho wao na wapo walioendelea vizuri na wapo waliopotezwa na poor loan
Unamfaham McEchran, Jeffrey Bruma,Mancienne,Solanke,Lucas Piazon,Nathan Ake, Boga,Robert huth,Betrand

mkuu kuna kitu unakimiss, siongelei kuhus Roman Era, Naongelea about hii project mpya inayohusu U23
 
Tangia umeanza kuishabikia THE BLUES makocha wangapi wameliwahi kuwapa nafasi academic players?

Umemtaji Sarri na Lampard, makocha wengine?
Tulikuwa na timu ya kubeba makombe wakati huo, na msisitizo haukuwekwa kwenye kuwapa nafasi hao watoto, ndio maana akina Salah, Kelvin na wengine wengi waliikimbia Chelsea
Ila kwa hii Chelsea ya sasa ni ya mradi wa watoto, walengwa wakubwa ni hao waliotajwa, tukiwabagua sasa hivi mradi ukikomaa watawekwa wapi? Ebu tupe jibu hapo
 
Huo ni mstari kutoka kwenye screenshot alipost Juan
Kwenye huo mstari uliouchukua hukuchukua sentensi yote na ndio shida yangu hapo. Kama unasema kweli unge quote sentensi yote aliyosema Poche. Soma ujumbe kwenye hiyo picha, ndicho alichokiongea huyo mtaalamu wenu kwamba anaifananisha Chelsea na Soton, kwamba mafanikio pekee ni kwenda kucheza kwenye uwanja wa Soton, tena kavunja rekodi ya Soton na Spurs kwa kuipeleka Chelsea Wembley mara mbili ndani ya miezi tisa, amei-downgrade Chelsea vibaya sana. Sisi sio wa kwenda Wembley tu bali na kushinda vikombe. Mwambieni ajue hayo
1710900480007.png
 
Project mpya imekusajilia mbarara nyingi kuliko za academy, hizo za academy utazitumia saa ngapi ili hali hizo zilizosajiliwa tuu nyingine hazijatumika?

Blueco imekuja na sera ya vijana tulitegemea academic players ndio wangepewa kipaumbele cha kwanza kuliko kusajili vijana wengi kutoka academy nyingine.
nAomba unitajie hizo mbarara mkuu?
 
Project mpya imekusajilia mbarara nyingi kuliko za academy, hizo za academy utazitumia saa ngapi ili hali hizo zilizosajiliwa tuu nyingine hazijatumika?

Blueco imekuja na sera ya vijana tulitegemea academic players ndio wangepewa kipaumbele cha kwanza kuliko kusajili vijana wengi kutoka academy nyingine.
Bado ni walengwa hata urembe je! aidha wapewe nafasi au wapelekwe kwenye mkopo ili wakapate comnpetitive matches. Kocha anatakiwa aweze kusimamia hayo
 
Morgan
Smith
Matos
Moreira
Omari
Gabriel
Angelo
Washington
Paez
Casedei
Santos

List ni ndefu sana
We jamaaa hiv hao unawafatilia kweli? Au umeandika ilimradi umeandika
ulichokiandika inaonesha hufatilii habar za team yako

Kaangalie Golden Boys wa 2024 utamkuta Paez wa ngapi halaf kwa Paez kama hujui haruhusiwi kuja UK mpka atimize 18yrs

Kaangalie U21 umuone Washngton,Moreira
Huyo matos yuko Huddersflied

Angelo alikuwa anafnya vizuri Strasbourg saiv kaumia

Kama ulikuwa unafatilia championship muangali Casadei kabla chelsea hawajakatisha loan yake
Etc
Yani mkuu sasa na amini huwa hufatilii habar wala wachezaj ndio maana kila siku unalalamika
 
Kama kuna watu wanasema dirisha lililopita lilikuwa baya basi wao ndio wabaya
Kosa la matajiri wapya ni kuwa na sera ya kutosajili wachezaji zaidi ya 25yrs ila kwa hawa makinda, tutakuja kuelewa huu usajili ndani ya miaka miwili au mitatu ijayo
Uhamisho mzuri sana chini ya umiliki mpya wa Chelsea.
Wachezaji wote ambao tayari wako wanafanya vizuri au bila shaka watafanya vizuri juu ya matarajio ya ada zao ya uhamisho.
  1. Cole Palmer — £42m
  2. Nicolas Jackson — £32m
  3. Noni Madueke — £29m
  4. Malo Gusto — £27m
  5. Lesley Ugochukwu — £23.1m
  6. Carney Chukwuemeka — £20m
  7. Kendry Páez — £17m
  8. Djordje Petrovic — £14m
  9. Ângelo Gabriel— £13m
  10. Andrey Santos — £13m
  11. Cesare Casadei —£12.6m
  12. David Datro Fofana —£10.6m
  13. Hutchinson — £0m
  14. Levi Colwill — £0m
Huyo WA 13 tumemtoa wap?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom