Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nitajie timu tatu Bora kwa Uingereza hivi Sasa...tuanzie hapo
Bora kwa sex football au? Arsenal anaongoza then brighton.
Chukueni chochote ndio muwe bora ubora hausemwi bila chochote,ndio mana bado Arteta ni mbabaishaji tu kama mwenzie pochi nene.
 
Napata wakati mgumu sana unapoanza kumfananisha Arteta na Pochettino 🤠🤠...yaani wale ni mbingu na ardhi aisee...halafu unaposema Arsenal then Brighton unachekesha pia...maana msimamo ndo unakupa picha halisi kwmba nani ni Bora kuliko nani...mfano mdogo tu kwa Sasa Aston Villa ni Bora sana kuliko Chelkenge...hutaki refer to the EPL table🤠🤠
 
huo ni msimamo wa ligi ila sio ubora wa timu? Unachanganya ubora wa timu na msimamo wa ligi, Hata Aston Vila walishaongoza ligi basi na wao ni bora kuliko Arse88.

Kwa hiyo Ars888 ni bora kuliko city kisa mnaongoza ligi, aisee nyie jamaa dah!
 
Unaweza kuongoza ligi bila kuwa Bora🤠🤠🤠...unaongea nn ww jamaa...unanimalizia ATP zangu kukuelewesha aisee...tutasema msimu huu Chelsea sio Bora kwa sababu mpo nafasi za madongo kuporomoka huko...
 
Kocha wa timu ya wanawake ya Chelsea Emma Hayes, ambaye atahamia USA national team, ameweka wazi kinacho sababisha Chelsea kufanya vibaya. Kwamba wachezaji wana geuzana wenyewe kwa wenyewe (intrasquad relationships). Kwa mfano WSL: Jess Carter anafanyana (bonking) na Ann-Katrin Berger na Sam Kerr anamgonga Kristie Mewis. Wanaume majina naya hifadhi.
Madhara makubwa yanakuja pale mmoja kati ya hao wapenzi anapokuwa kwenye hatua za mwisho kukamilisha mkataba wake na mwingine mkataba wake ungali bado. Matokeo yake, anayekaribia kuondoka ku- influence ambaye bado ili waondoke wote
 
Unaweza ukawa sahihi ila kipindi hicho tulikuwa vizuri sana, ww mwnyw unajua tulikutana na nani huko njiani na tukawabandua
Chelsea haikuwa nzuri sana ila TT alifanikiwa kumtumia at maximum Baadhi ya wachezaji muhimu kama akina Edourd Mendy, akina Rudiger, Christansen, Silva na Chalobah vizuri kwenye backline ya 3. Kumbuka kwamba tulikuwa worse kule mbele kuliko hata hii Chelsea ya Poche. Hii frontline ya Plamer, Jackson na Sterling/Mudryk inafunga sana tofauti na ile ya akina Havertz, Mount, Werner, Ziyech, Odoi, Giroud na Tammy Abraham. Chilwell na James walikuwa kwenye form na Kante at his best especially kwenye QF hadi Final. Tukumbuke kuwa tulikuwa the least kwenye ufunguaji
 
Unaweza kuongoza ligi bila kuwa Bora🤠🤠🤠...unaongea nn ww jamaa...unanimalizia ATP zangu kukuelewesha aisee...tutasema msimu huu Chelsea sio Bora kwa sababu mpo nafasi za madongo kuporomoka huko...
una ubora gani bhana? hauna ht kikombe chochote cha maana, acha kutupotezea muda, tafteni kwanza kikombe cha maana ile muwe bora. West ham wenyewe ni bora kuliko nyie.
 
Kikombe cha maana ni cha Ulaya sio 🤠🤠🤠....mnaishi kwa Historia na ndo maana umewataja West Ham na hyo conference cup...ww zaidi ya UEFA na Europa kwny collection yako ya vikombe kipi umenipita hasa...idadi ya makombe overall huniwezi pia...Sasa unaongea kitu gani ww...
 
Embu tambulika kwanza kama mwenzio west ham, ndio uanze kupiga kelele. Nyie bado ni katimu kamchangani. Hivyo vikombe vyako vya FA unavyotaka kunihesabia embu kahesabianeni na kina Luton.
 
🤣🤣🤣...Asante mkuu....vingekuwa vikombe vya mchangani usingeshiriki braza...na mkitolewa mnakasirika kabisa...halafu naanza kuona una kama miaka 5 mbele ndo urudi Champions league...hili lishaanza kuonekana wazi kabisa
 
Kikombe cha maana ni cha Ulaya sio 🤠🤠🤠....mnaishi kwa Historia na ndo maana umewataja West Ham na hyo conference cup...ww zaidi ya UEFA na Europa kwny collection yako ya vikombe kipi umenipita hasa...idadi ya makombe overall huniwezi pia...Sasa unaongea kitu gani ww...
Historia?? UEFA 2021, mara ya mwisho kuchukua ligi lini, sisi tulibeba 2017. Ni bora wakaongea Man city kuliko ninyi. Kwa ubora wa decade iliyopita hutaiacha Chelsea. Tuko likizo tu sasa hivi tutawakuta hamjabeba chochote. Muwe na heshima hata kidogo basi. Arsenal ndio timu ya historia na Manure. Bora hata Liverpool wana EPL na UEFA ya hivi karibuni
 
Bado tunarudi palepale it's history ndo maana ukasema mara ya mwsho....halafu kingine hampo likizo ndo maana michuano yte mnashiriki na mnatwangwa kama kawaida...kwasasa hamna uwezo na tunawaangalia msimu ujao pia mkiwa hvihvi basi tutawapachika jina ramsi kwmba nyny ni mid table team...kama mlivyokuwa Enzi za kabla tajiri Ibrahimovic hajawanunua
 
huyu dogo siku akija aje akiwa ameshamkuta kocha mzuri .

Anavyocheza sasq unaweza hisi anauzoefu wa kutosha ndio kwanza anamiaka 16 na tayar ashaitwa team ya taifa ya Ecuador
 
Attachments

  • IMG_2308.jpeg
    IMG_2308.jpeg
    56.1 KB · Views: 16
Bado tunarudi palepale it's history ndo maana ukasema mara ya mwsho....halafu kingine hampo likizo ndo maana michuano yte mnashiriki na mnatwangwa kama kawaida...kwasasa hamna uwezo na tunawaangalia msimu ujao pia mkiwa hvihvi basi tutawapachika jina ramsi kwmba nyny ni mid table team...kama mlivyokuwa Enzi za kabla tajiri Ibrahimovic hajawanunua
Arsenal mnastahili kufunga mdomo kabisa, hamjavuka mto na mmeanza kutukana mamba
Hii njia tuliyopita sio rahisi, hata Manure alishashika nafasi ya pili EPL chini ya MOU na hatuwezi sema wamefanikiwa
Utakuja kula matapishi yako ndg
 
huyu dogo siku akija aje akiwa ameshamkuta kocha mzuri .

Anavyocheza sasq unaweza hisi anauzoefu wa kutosha ndio kwanza anamiaka 16 na tayar ashaitwa team ya taifa ya Ecuador
Akimkuta Poche atakula benchi hadi atolewe mkopo
Halafu chini ya pochettino ataonekana kilaza wa ajabu. Kama tu Caicedo na Enzo sasa hivi wanatukanwa na kuonekana flop wa karne
 
Chelsea haikuwa nzuri sana ila TT alifanikiwa kumtumia at maximum Baadhi ya wachezaji muhimu kama akina Edourd Mendy, akina Rudiger, Christansen, Silva na Chalobah vizuri kwenye backline ya 3. Kumbuka kwamba tulikuwa worse kule mbele kuliko hata hii Chelsea ya Poche. Hii frontline ya Plamer, Jackson na Sterling/Mudryk inafunga sana tofauti na ile ya akina Havertz, Mount, Werner, Ziyech, Odoi, Giroud na Tammy Abraham. Chilwell na James walikuwa kwenye form na Kante at his best especially kwenye QF hadi Final. Tukumbuke kuwa tulikuwa the least kwenye ufunguaji
Sio kwamba tulikuwa wabovu sema tulikuwa tunakosa chance nyingi team nzuri inapimwa na ubora wakutengeneza nafasi na namna gani mnavyojilinda chelse chini ya TT ilikuwa nzuri ila si bora kinachofanya isiwe bora ni kwasababu tu walikuwa wanapoteza nafasi za magoal nyingi mfano ile game dhidi ya Madrid ilitakiwa wafe si chini ya 6 sema kwasababu ya ubutu wetu pale mbele tukawapiga goal 2
 
Enzo + Caicedo = £222M, Chelsea tunachezea pesa sana.
Ni wachezaji wazuri sio kwamba awe flop kama mnavyoaminishwa sema watu wanawathaminisha na price tag zao waliosajiliwa but ni wachezaji wanacheza vizuri sema wangepata kocha wa maana wangekuwa vizuri zaidi ya hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom