OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kwani nini kinaendelea hapa?
TT katumia maujanja ujanja tu, tulikuwa na wachezaji wachache wa kuwahesabu ambao walikuwa wazuriSio kwamba tulikuwa wabovu sema tulikuwa tunakosa chance nyingi team nzuri inapimwa na ubora wakutengeneza nafasi na namna gani mnavyojilinda chelse chini ya TT ilikuwa nzuri ila si bora kinachofanya isiwe bora ni kwasababu tu walikuwa wanapoteza nafasi za magoal nyingi mfano ile game dhidi ya Madrid ilitakiwa wafe si chini ya 6 sema kwasababu ya ubutu wetu pale mbele tukawapiga goal 2
Naona unaanza kukubali kuwa Poch hqmna kituNi wachezaji wazuri sio kwamba awe flop kama mnavyoaminishwa sema watu wanawathaminisha na price tag zao waliosajiliwa but ni wachezaji wanacheza vizuri sema wangepata kocha wa maana wangekuwa vizuri zaidi ya hapo
Hujaweka ya ChilwellNkunku £53M + Fofana £75MM + Lavia = £58M = £186M
£186M for injury players, THE BLUES tunarupuka sana kwenye usajili. Wastage of money and time
Lakini Nkunku alianza kuumia mara kwa mara baada ya kuhamia Chelsea. Idara yetu ya matibabu ndiyo yenye tatizo hilo, kiufundi walitakiwa kulishughulikia kwa kushirikiana na makocha husika ili kuhakikisha afya za wachezaji zinakuwa salama.Nkunku £53M + Fofana £75MM + Lavia = £58M = £186M
£186M for injury players, THE BLUES tunarupuka sana kwenye usajili. Wastage of money and time
7.Kuna jorginho 8.Mount wote hawa walikuwa wachezaji wazuri sema umewasahau in short tulikuwa na team nzuri kilichomuangusha TT ni safu ya ushambuliajiTT katumia maujanja ujanja tu, tulikuwa na wachezaji wachache wa kuwahesabu ambao walikuwa wazuri
Wengine waliobaki walikuwa ni ordinary players
- Rudiger
- Thiago Silva
- James
- Chilwell
- Kante
- Kovacic
Nkunku anaweza kukatwa mguu
Sijui anampendea nini?Pazia Sanchez limeanza 1st eleven