lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,691
- 25,901
Ninaamini kwa uhakika kabisa kwamba Chelsea haiko mbali na kufanikiwa kama wengi wanavyosema.
Mfumo wa uhamisho inahitaji kunyumbulishwa zaidi kwa kuchnganya na wazoefu, na tunaweza kuhitaji kocha tofauti.
wachezaji wengi waliosajiliwa hivi karibuni wamekuwa wazuri na timu inajengwa polepole.